NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Mnamsagia sumu masihi wa Beans!!?Tunasaga Sumu mpaka Kieleweke tu.
Subirini kipigo kwenu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnamsagia sumu masihi wa Beans!!?Tunasaga Sumu mpaka Kieleweke tu.
Unauliza Bange / Bangi Kwetu Tarime?Kwa hyo unamchongea
Hivyo hivyo nitapambana nae Mkuu.Daah sasa mbona vita naye hata humuwezi mkuu?
Mama ni noma.. mambo yake ni kimyakimya.Nina hamu hili lifanyike upesi na Serikali ya sasa ya Rais Samia kwani anamkubali Hayati kuliko Yeye.
Bin Adam ni kiumbe bora na wa ajabu."Hayati Dk. Magufuli ndiyo Rais pekee aliyefanya Kazi za Baraka zaidi na Watanzania tutamkumbuka na tunamkumbuka hadi sasa" amesema Mtume Wao ( siyo wangu ) Mwamposa Ibadani Kwake leo.
Haya Rais Samia Kazi Kwako kwa Mtu ambaye umeshammilikisha eneo la Tanganyika Packers aendelee na Huduma yake na Asifukuzwe au Asiondoshwe tena hapo.
Wakati ukionyesha Kumkubali na muda mwingine hata Kumuomba akuombee na Watendaji wako Serikalini Mwenzako ndiyo Kwanza tena kwa Dharau, Jeuri na Kiburi kingi anaonyesha Kumkubali zaidi Mtangulizi wako Hayati Dk. Magufuli kwa Utawala wake ila Wewe wala hakukubali kabisa na anakukubali Kinafiki tu huku Akikusanifu pia ili tu Usimtoe hapo anapopategemea Kuwadanganya Wavivu wa Kufikiri Tanganyika Packers ili aendelee Kuwachuna ( Kupiga Pesa ) zao huku Akitajirika na Wao wakiendelea kuwa Masikini na Wengine hata Kurukwa na Akili ( Kudata ) mazima.
We mzee, kwani ni lazima kumkubali Samia?"Hayati Dk. Magufuli ndiyo Rais pekee aliyefanya Kazi za Baraka zaidi na Watanzania tutamkumbuka na tunamkumbuka hadi sasa" amesema Mtume Wao ( siyo wangu ) Mwamposa Ibadani Kwake leo.
Haya Rais Samia Kazi Kwako kwa Mtu ambaye umeshammilikisha eneo la Tanganyika Packers aendelee na Huduma yake na Asifukuzwe au Asiondoshwe tena hapo.
Wakati ukionyesha Kumkubali na muda mwingine hata Kumuomba akuombee na Watendaji wako Serikalini Mwenzako ndiyo Kwanza tena kwa Dharau, Jeuri na Kiburi kingi anaonyesha Kumkubali zaidi Mtangulizi wako Hayati Dk. Magufuli kwa Utawala wake ila Wewe wala hakukubali kabisa na anakukubali Kinafiki tu huku Akikusanifu pia ili tu Usimtoe hapo anapopategemea Kuwadanganya Wavivu wa Kufikiri Tanganyika Packers ili aendelee Kuwachuna ( Kupiga Pesa ) zao huku Akitajirika na Wao wakiendelea kuwa Masikini na Wengine hata Kurukwa na Akili ( Kudata ) mazima.
Wacha mazezeta tununue hayo mafuta, kwani tunatumia hela zetu na sio zako. By the way, mambo ya Imani ni magumu sana kuyaelewa. Kukosoa imani yangu tena ambayo haivunji sheria ya nchi , ni sawa na kutaka niamini unachokiamini wewe. Huo ni ubinafsi mkubwa sana.Tapeli Hilo🙏mbona hakwenda Kuhiji chato nakuhubiri kwenye mji huo kama anaamini ayasemayo? haha anajua chato hawezi pata mazezeta ya kununua mafuta ya alizet na maji ya kandoro, kalaghabaho 😅😅
Wapi huyo Rais wako ameitwa Takataka!?Unamwita Rais wa Jamhuri takataka?futa kauli yako ndugu hiko kitekno Cha kariakoo kisikupe kiburi,we ni kajitu kadogo Sana nchi hii 😅
Kuhusu miradi ya barabara ameongea kweli...Samia ana mradi gani mkubwa?Hivyo hivyo nitapambana nae Mkuu.
Superwoman hujambo?Unamwita Rais wa Jamhuri takataka?futa kauli yako ndugu hiko kitekno Cha kariakoo kisikupe kiburi,we ni kajitu kadogo Sana nchi hii 😅
Pole sana. Mimi namuamini sana.As usual Chief. I hate than Kawe Conman.
Msishughulike na matatizo ya wananchi, mnashughulika na Mwamposa. Aisee, wajinga sana nyie.Mwamposa ana KIBRI.. atashughulikiwa kimyakimya.
Amekutapeli nini wewe!? Acha hizi chuki. Heshimu imani ya mtu. Hakuna anayelazimishwa kwenda kwa Mwamposa. Wanaoenda wanajua kwa nini wanaenda. By the waya Biblia kila mtu ana namna yake ya kuisoma na kuielewa.Hawa hata biblia huwa wanatulia wakaisoma kweli au wanaangalia upepo tu wa waumini. Mataleli wakubwa
kama ulikuwa unafaidika katika awamu iliyopita na sasa imekula kwako, unabaki unabweka tu kama kidogi njaa.Huo ndiyo UKWELI.Nadhani mleta mada ni moja kati ya watu wenye mtindio wa Ubongo au mlambishwa asali maana inahitaji ujasiri wa hali ya juu kufumbia macho juhudi zilizofanyika awamu ya tano na kulinganisha na hii TAKATAKÀ ya awamu hii.Ni UPUMBAVU kujaribu kulinganisha awamu ya maendeleo nyanja zote (elimu, afya,nishati, miundombinu n.k) na awamu ya hafla,semina,pongezi,asali,asali,asali....chawa, ziara 😀.Awamu hii ni awamu ya hovyo kuwahi kutokea Tz.
Hii Laana yako Kwangu ikurudie Wewe na Koo zako zote mbili Maradufu kabisa.wachonganishi kama wewe hamfai kuwapo nchini, una chuki na msema kweli...utalaaniwa wewe na uzao wako kuwa makini
Wife ana wiki harudi home yupo kwa manabii wa mchongo huko.Amekutapeli nini wewe!? Acha hizi chuki. Heshimu imani ya mtu. Hakuna anayelazimishwa kwenda kwa Mwamposa. Wanaoenda wanajua kwa nini wanaenda. By the waya Biblia kila mtu ana namna yake ya kuisoma na kuielewa.
Aende akamfufue huyo shetaniMwamposa anamkubali zaidi Hayati Dk. Magufuli kuliko Rais Samia hivyo wanampa tu hilo eneo hapo la Tanganyika Packers bure wakati Yeye hampendi Mama ( Rais ), ila anampenda Kinafiki huku Akimsanifu. Wamwondoe haraka hapa Kawe Tanganyika Packers tafadhali.