Rais Samia: Wakuu wa wilaya hamfanyi kazi, mnasubiri mkeka

Muda wa kuwaza maendeleo ya kisayansi, elimu na mapinduzi ya kilimo tunautumia kwenye vita vya madaraka as if hayo madaraka yana impact kwa issues za kitaifa.

Waendelee kusheherekea teuzi na kupanga safu za wakuwatunza lakini wajue kwamba Kids are growing na wataujua ukweli watakuja kuchukua hatua
 
Kweli hapa KAZI Tu na KAZI iendelee inawaumiza watanzania
 
Wafanye kaz gan wakat hamna cha kufanya? Hivi vyeo vya rc na dc havina mana yan mkoa mmoja unakuta una wabunge zaid ya wa3, dc,rc,ras,das na wote wanalipwa kupitia kodi na tozo za wananch
Sio wabunge watatu pekee mfano morogoro kuna wabunge zaidi ya 10

Majimbo..
Morogoro mijini
moro vijijini
kilosa
mikumi
Turiani
Kilombero
Mlimba
Malinyi
Ulanga
Gairo

Wilaya
ifakara mji
Kilombero
Malinyi
Ulanga
Kilosa
Gairo
Moro vijijini
Moro mjini
Mvomero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…