Hizi sio tetesi, Wala Nini Wana jamvi,mwanangu mmoja aliyekarbu na Rais anadai VIMEMO vya wakubwa ndani ya ccm,wenye chama Chao vinamchanganya Bi Mdashi mpaka anashindwa kufanya uteuzi.
Mchizi moxa anaenda mbali anadai, wazee wakongwe waliopo ndania ya chama Chao wanataka majina Yao yarudi, mama anapokea vimemo ila Sasa nae roho inamuuma anadai yeye hakufika hapo kwa njia ya kimemo so far hataki kuwateua wakuu WA Wilaya wa vimemo.
Mchizi moxa anasema wanapoelekea nguvu ya. Wazee itashinda soon mama atatandaza mkeka maana Kuna baadhi ya wakuu WA wilaya wameisha jijua yakuwa safi hijayo hawapo kabisa so wammeamua kuanza kujipanga dhidi ya uchaguzi ujao kabsa wengine wanajiandaa kuwa wakulima
Za chini chini ni yakuwa wakuu WA wilaya VIMEMO soon watashinda na watatangazwa maana naskia mama kafatwa na mtu na kuambiwa ''hata wewe hasingekuwa Mzee wa msoga usingekuwa hapo,pitisha hayo majina yetu sisi wazee tupate wa kututunza
Uwezi amini eti Kuna mwamba kajigeuza OLe sabaya anachukua pesa za vijana wa umoja wa vijana ccm akiwaidi kuwapigania wapate nafasi jaman
Mchizi moxa yupo hapa kale jaman hizi ni za chini chini.