Nyie Machawa na Viroboto wa CCM tangu enzi ya Mwendazake mmekuwa watetezi wakubwa wa wezi wa mali za umma. Unscruplous individuals within CCM circles are the best Swindlers and Embezzlers of Public Funds for personal financial gains. Yet you treat them as Heros. PhweeeehLeo kaongea kwa hasira sana na matusi kibao hhaaa wabongo bila nguvu hawaeleweki
USSR
Nani kati yenu anajua bei za zile Ndege za awali? Bei zake zilikuwa confidential utadhani ni siri za usalama wa nchi. Hongera Rai's SSH kwa kuwa muwazi, walau tunaendelea kuthibitisha awamu ile ilichezea hela ya wananchi kwa manunuzi ya ajabuajabu kwa maslahi ya wachache.Naona Rais anaanza kuelewa kwamba Watanzania bila kupelekea kama punda Huwa hawaelewi ni wezi kuliko unavyodhani..
Sakata la Radar sio wizi per se wa kwenye invoice.Highly unlikely wakati Radar tu ilipigiwa hela. Huo ununuzi sio wa nyanya mzee. Thats billions of money ambazo ni USD millions karibia 50. Mzungu gani hataki kuwa sehemu ya hio pesa 🤣?
Usitufanye sisi wajinga, kauli ya kwanza alisema anajua kwamba wanakula lakini akahoji mbona wanakula sana? Watavimbiwa.Mbona kama mna akili ndogo sana ,hivi kula Kwa urefu wa kamba Yako Kuna shida kwenye hiyo Kauli?
Kwamba Ile methali ya Kila mbuzi hula Kwa urefu wa kamba yake Ina walakini?
Wewe Ukiwa muajikiwa hujui urefu wa kamba Yako? Kuiba si ndio kuvuka kamba? Hapo Kuna tatizo gani mbona mna shida mahala kwenye uwezo wenu wa kufikiri?
Muwe wajinga mara ngapi? Shule mlienda kukuza mavuziUsitufanye sisi wajinga, kauli ya kwanza alisema anajua kwamba wanakula lakini akahoji mbona wanakula sana? Watavimbiwa.
Hahahah i used to be a fan but now i am Air Condition 🤣🤣🤣Muwe wajinga mara ngapi? Shule mlienda kukuza mavuzi
Hahahahah jamaa anatuona wendawazimu🤣Wewe jifanye unakijua sana Kiswahili wenzako huko wanapiga,mama yenu aliwasisitiza kabisa "kuleni (ibeni) lakini msiibe mpaka mkavimbiwa (mkastukiwa)" na hao wameiba mpaka wakavimbiwa ndo maana wamestukiwa.
Na aliyewashauri waibe hana cha kuwafanya hizo mbwembwe tu.
Wakuu nujuzeni, nani anasemwa hapo?Kuna watu wameongezeka 110% kwenye gharama za Ununuzi wa Ndege ya Mizigo. Nadhani Sasa Mh. Rais ameanza kuwafahamu Watanzania. Hawa watu msiishie kuwafuta kazi waende mahakamani.
Hii Nchi watu Kuiba ni sehemu ya maisha Yao so kuwasimamia Kwa kuwabembeleza watakutafuna Hadi ukome. Watanzania wanatakiwa kuendeshwa kama punda ndio wanaleta.
Mwisho waboresheeni maslahi Yao pia vinginevyo Kuna syndicate kubwa sana ya wizi.
==============
Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuchukizwa na kitendo cha ongezeko la fedha za manunuzi ya Ndege mpya ya mizigo kinyume na fedha ambazo zilikuwepo kwenye mkataba wa awali huku akiwataka Watumishi wa Serikali waliokubali ongezeko hilo bila kuhoji waachie nafasi zao kwakuwa hawana uchungu na fedha za Watanzania.
“Kuna mradi hapa tumetengeneza Ndege ya mizigo ambayo tunakaribia kuipokea, last Installments ilikuwa tulipe dola milioni 37, invoice imekuja dola milioni 86….. unauliza mkataba ulisemaje? hii imetokana na wapi?, ooh vifaa vimepanda bei, vipi? mkataba wetu ulisemaje”
“Na bado aliyepokea anakuletea Serikalini hii ilipwe ndio invoice tumepokea….. stupid, ulipopokea umechukua hatua gani? umeuliza nini? umefanya nini? ukilitazama kwa undani hili ongezeko limeanzia huku ndani kuna Watu wameongea huko”
“Hatuwezi kwenda hivyo na nadhani hawa wanaopokea hizo invoice wakazileta kwa raha zao kabisa Serikalini watupishe, hawafai kuwa kwenye hizo nafasi, kama wanafaa angepokea huko akalihoji”
“Baada ya kuhoji akasema nilipokea hivi, nimeambiwa hivi lakini bado nimeoka tufanye hivi, huyu unamuelewa lakini Mtu anapokea kwa raha zake tu analeta Serikali ‘Kuna hiyo invoice imekuja, vifaa vimeongezeka baada ya covid, pumbavu haiwezekani….. Mawaziri tusaidieni over-invoicing zipo nyingi sana” ——— Rais Samia.
We ni mandazi kweli kweli.Mbona kama mna akili ndogo sana ,hivi kula Kwa urefu wa kamba Yako Kuna shida kwenye hiyo Kauli?
Kwamba Ile methali ya Kila mbuzi hula Kwa urefu wa kamba yake Ina walakini?
Wewe Ukiwa muajikiwa hujui urefu wa kamba Yako? Kuiba si ndio kuvuka kamba? Hapo Kuna tatizo gani mbona mna shida mahala kwenye uwezo wenu wa kufikiri?
Sahizi kila mtu anajenga sheli yani zinaota kama uyoga.Acha watu wanunue mabasi na wajenge mavituo ya mafuta wewe acheni wivu
Usitetee wizi, hiyo siyo ndege ya kwanza kuundwa duniani.Ndugu ununuzi wa ndege mpya auna tofauti sana na construction contract. Unalipa kwa hatua kadri kazi inavyofanyika ni matakwa pia ya IFRS 15 in recognition of revenue.
Hatua ya kazi ikiisha ujalipa on time kuna penalties and fines; ukichelewa kulipa na interest juu.
Kingine hakuna kampuni ya kigeni inafanya biashara ya muda mrefu bila ya discounting factor hiyo ni automatic inflation mitigation risk, pamoja na hayo contractor wa ujenzi makini anatuambia prices might go way beyond their expectation na hayo mambo yatakuwa kama sehemu ya ‘variable consideration’.
Ni hivi sitetei au sipingi, busara ni kusikiliza upande wa pili. Boeing siyo hizi kampuni zetu eti waongeze bei kwenye receipt upewe cha juu. That is highly unlikely, management inafanya kazi kwa niaba ya shareholders. Any income itakuwa correctly recorded in their books na wanakuwa audited thoroughly. So sioni how mtanzania anaweza faidika hapo, it’s close to zero possibilities ya mtu kupata mgao hapo.
Hakuna sehemu niliyotetea, nilichosema busara ni kusikia upande wa pili na kueleweshwa kuhusu huo mkataba.Usitetee wizi, hiyo siyo ndege ya kwanza kuundwa duniani.
Kuna zilizotengenezwa kama hizo in thousands.
Watanzania naona wafeerwe tu maana hakuna namna ingine. Ni wanafiki wa kiwango cha kutukuka.Sasa akifukuza wote si mtasema Mama nae ni Dikteta Kama Mwendazake!!? Watanzania mnatuchanganya sana,na hata sijui mnataka nini!? Mkipewa Jua mnataka Mvua, na mkipewa Mvua mnataka Jua!! Mnatuvuruga kabisa!!
[emoji23][emoji23][emoji23]ungefanya nn mkuu?Ndio maana wengine Mungu hakupenda tuwe Viongozi...hakika kwa mtu kama mimi Leo kungekuwa na Maturubai sehemu nyingi sana.
Naona Rais anaanza kuelewa kwamba Watanzania bila kupelekea kama punda Huwa hawaelewi ni wezi kuliko unavyodhani..
Mtu kapiga 115 billions halafu commander in chief anasema anaomba lifanyiwe kazi dahKwenye Hotuba yote ya mheshimiwa Rais naweza kusema alikuwa anasema kwa moyo wa dhati na wenye lengo la kuwataka watendaji walisaidie taifa.
Lakini hadi kufika eneo hili kwenye clip hii hapa chini, mama alikasirika sana yaani sana hadi kutoa lugha inayoonyesha alikerwa hasa.
View attachment 2570051