Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Unless by authorization you mean a person in charge of paying. Either way you’d pay it, unless you have contractual disagreement.You receive the invoice and authorize it Okay
Kwa katiba ya sasa ilivyo inataka mtawala mkali! Hio mifumo mnayoongelea ni nadharia tu sababu imeshaletwa mifumo na tumeona ambacho hao hao wasimamizi wa mifumo wamekifanya.Tanzania inahitaji mfumo imara katika sekta zake zote. Na siyo mtawala mkali na mwenye mihemko kama alivyokuwa Magufuli. Mfumo imara katika nchi, ni rahisi kudhibiti upigaji kama huu.
Ondoka hapo ulipo kwanza!.Mzee naomba connection ianzie kwako basi mkuu.
Kwani anayelipa ni nani, si wizara ya fedha kwa kumwambia gavana benk kuu, kuchoma hicho kitita kipelekwe kwa wadai au ni tofauti jamani, naomba kuelemishwa.Kama MWIGULU hayupo kwenye iyo list basi tena
Mjinga ana miguu mingapi?
Ficha ujinga wako hapa tunajadili mambo muhimu yanayogusa maisha ya watu maskini ambao wanakufa kila siku kwa kukosa huduma muhimu kwa sababu majizi yamechukua hela za Uma please let’s respect the poorMjinga ana miguu mingapi? 🤣
Before you pay an invoice you verify it right??Unless by authorization you mean a person in charge of paying. Either way you’d pay it, unless you have contractual disagreement.
So it’s unfair to criticise a person whose role is just to verify the source and authorise payments.
The sensible thing is to get the perspective of the other side. Because by listening to the speech alone it appears there is missing information from the president perception to conclude on the merit of her accusations.
Yeye mwenyewe mwiziNaona Rais anaanza kuelewa kwamba Watanzania bila kupelekea kama punda Huwa hawaelewi ni wezi kuliko unavyodhani..
Ndio maana wengine Mungu hakupenda tuwe Viongozi...hakika kwa mtu kama mimi Leo kungekuwa na Maturubai sehemu nyingi sana.
Hawa ndio wanakwambia nchi imefunguliwaKuna jirabmni angu Ni mtumish wa serkalini amejenga nyumba kamaliza Yuko kwenye finishing SAS usipme hzo finishing anazo let's Ni ya gharama ya juu Zaid ,Jana kaleta nyasi kutoka Moshi ,Kisha kaja na maarumaru paving za Chini kafikisha na lorry tatu jamaa walishusha vifaha Hadi asubuhi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkenda ni timu ya Magufuli she has to be careful don’t trust the guy eitherAmewahi kumtukana prof Adolf Mkenda akiwa waziri wa kilimo mbele ya Rais Mseven hivo hivo " stupid"
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
That’s the sensible and obvious thing, but then for your part, what do you imply by verifying the term is broad in this circumstance and could distort the truth; depends on how you use it.Before you pay an invoice you verify it right??
Ukicheka na nyani utavuna mabuaKuna watu wameongezeka 110% kwenye gharama za Ununuzi wa Ndege ya Mizigo. Nadhani Sasa Mh. Rais ameanza kuwafahamu Watanzania. Hawa watu msiishie kuwafuta kazi waende mahakamani.
Hii Nchi watu Kuiba ni sehemu ya maisha Yao so kuwasimamia Kwa kuwabembeleza watakutafuna Hadi ukome. Watanzania wanatakiwa kuendeshwa kama punda ndio wanaleta.
Mwisho waboresheeni maslahi Yao pia vinginevyo Kuna syndicate kubwa sana ya wizi.
==============
Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuchukizwa na kitendo cha ongezeko la fedha za manunuzi ya Ndege mpya ya mizigo kinyume na fedha ambazo zilikuwepo kwenye mkataba wa awali huku akiwataka Watumishi wa Serikali waliokubali ongezeko hilo bila kuhoji waachie nafasi zao kwakuwa hawana uchungu na fedha za Watanzania.
“Kuna mradi hapa tumetengeneza Ndege ya mizigo ambayo tunakaribia kuipokea, last Installments ilikuwa tulipe dola milioni 37, invoice imekuja dola milioni 86….. unauliza mkataba ulisemaje? hii imetokana na wapi?, ooh vifaa vimepanda bei, vipi? mkataba wetu ulisemaje”
“Na bado aliyepokea anakuletea Serikalini hii ilipwe ndio invoice tumepokea….. stupid, ulipopokea umechukua hatua gani? umeuliza nini? umefanya nini? ukilitazama kwa undani hili ongezeko limeanzia huku ndani kuna Watu wameongea huko”
“Hatuwezi kwenda hivyo na nadhani hawa wanaopokea hizo invoice wakazileta kwa raha zao kabisa Serikalini watupishe, hawafai kuwa kwenye hizo nafasi, kama wanafaa angepokea huko akalihoji”
“Baada ya kuhoji akasema nilipokea hivi, nimeambiwa hivi lakini bado nimeoka tufanye hivi, huyu unamuelewa lakini Mtu anapokea kwa raha zake tu analeta Serikali ‘Kuna hiyo invoice imekuja, vifaa vimeongezeka baada ya covid, pumbavu haiwezekani….. Mawaziri tusaidieni over-invoicing zipo nyingi sana” ——— Rais Samia.
Are you stupid or what who’s paying an invoice without verifying unless there’s a hidden motive??please don’t believe Tanzania is full of naive people who works in the government and just pay random amounts without questions. Who’s the pay Master that’s the final parson who’s going to clear the billThat’s the sensible and obvious thing, but then for your part, what do you imply by verifying the term is broad in this circumstance and could distort the truth.
Akaongezea "msigombane", muachiane safari....watumishi siku hizi wanagombania mishahara?Kwanini awatahadharishe wasile hadi wakavimbiwa.
Kwa akili zako Tanzania hii kuna mfanyakazi anapokea mshahara unamtosha hadi kuvimbiwa?
KabisaMswahili hata umlipe milioni 100 bado ataiba tu
Na kuna waadilifu anaridhika na mshahara wa laki na haibi
Ni hulka ya wengi kuiba especially hao wakubwa
Ngoja tusubiri huruma yaoYuko soft sana.
Haitoshi kusema watupishe angesema tukutane mahakamani
This is why I asked, what do you mean by verification.Are you stupid or what who’s paying an invoice without verifying unless there’s a hidden motive??please don’t believe Tanzania is full of naive people who works in the government and just pay random amounts without questions. Who’s the pay Master that’s the final parson who’s going to clear the bill