Rais Samia: Waliopokea ongezeko la gharama za ununuzi wa ndege ya mizigo waachie nafasi zao watupishe

Rais Samia: Waliopokea ongezeko la gharama za ununuzi wa ndege ya mizigo waachie nafasi zao watupishe

Kuna watu wameongezeka 110% kwenye gharama za Ununuzi wa Ndege ya Mizigo. Nadhani Sasa Mh. Rais ameanza kuwafahamu Watanzania. Hawa watu msiishie kuwafuta kazi waende mahakamani.
Alikuwa hawajui ?

Kwamba yeye ni Alien yaani ni mgeni hapa duniani ndio kwanza ameshuka katika hii sayari ndio anajifunza na kuwaelewa watu ? Hii orientation itamalizika lini sababu siku zinasonga....
 
 
Yes who authorized the invoice ? Is he/she unknown ? That's the question and madam president said watupishe watupishe yaan watoke hao wapigaji waishie kunawa tu hakuna kula
This is the most surprising saga in Tanzania you can steal with impunity???
 
Majizi tupu
20230319_203626.jpg
 
Hivi kweli from 37 to 86$ kweli? Hapana aisee, viongozi wa hili taifa kuweni na huruma wananchi wanaishi kwenye tope la ufukara.

Ndege haiwezi kupanda bei kiasi hiki sema tu hawa wajuba wamemzoea Rais kupita kiasi jamani, inafika wakati unajiuliza nchi yetu inaenda wapi?

Kwa mfumo huu kama mwalimu anapewa laki tatu anaoga vumbi la chokaa la kutosha huku kiongozi anatembelea VXR V8 ya millioni mia saba, anapiga pesa za umma millions of dollars halafu akija anasema CCM oyeeeee! [emoji22]
Alafu mwizi wa kuku anafungwa miaka 6 jela stupid kabisa
 
Leo Rais Samia amekasirishwa sana na hotuba ya wizi wa mali za umma baada ya uwasilishaji wa CAG na TAKUKURU ikabidi aseme pumbavu na kisha kurudi na Kingereza 'stupid'.

Sikuwahi kujua kama ipo siku moja Rais Samia Suluhu Hassan awe na hasira kali kama hizi.

USSR
Amewahi kumtukana prof Adolf Mkenda akiwa waziri wa kilimo mbele ya Rais Mseven hivo hivo " stupid"


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Yuko soft sana.
Haitoshi kusema watupishe angesema tukutane mahakamani
 
Back
Top Bottom