Hii invoice ata Shetwani akiiona lazima akasirike.Huyo alieongeza gharama za ndege ya mizigo Toka 37 million USd mpaka 87 million.
Stupid yake kabisa.
Kuweni wazalendo japo kidogo jamani.
Huu wizi hata shetani haibi namna hii.
Wapi Papaa Mwigulu na mukati ya Iramba!Huyo alieongeza gharama za ndege ya mizigo Toka 37 million USd mpaka 87 million.
Stupid yake kabisa.
Kuweni wazalendo japo kidogo jamani.
Huu wizi hata shetani haibi namna hii.
Hata wewe uliibia mtihani wa ualimu stupid kabisa!Pumbavu kabisa.
Hahaha hukumsikiliza vizuri, kasema lilianzia hapo hapo Ikulu. cha kujiuliza ni nani aliziagiza hizo ndege kutokea Ikulu?Kwa hiyo watawaambia hao jamaa wa cancel Invoice au itabidi walipe tu? Nadhani kuna jambo tofauti hapo... Hakuna over Invoice ya namna hiyo. Hata tutusa wa la saba A hawezi fanya ujinga wa hivyo.
Hapo labda wasema walifanya some changes in specifications and customization ya hiyo ndege. Otherwise huyo muhusika kama ni over Invoice wamuweke pale Taifa Kati Watu wajifunzie shabaha tu. Maana hiyo ni stupid kabisa..
Ameshaanza kufoka si alisema hatafoka kama mtangulizi wake sasa anakwama wapiHii nchi kuna watu stupid sana! Pumbavu!! Yaani wanafikiria kuiba tu. Stupid! Ahh sorry! Pumbavu zao.
Navyoona mimi yeye namba moja ndoa anapaswa kutupisha sisi 2025 maana ameshindwa kila mahala anachukua mikopo huko halafu anawaachia wezi hizo hela kwa gharma za watanzania kama hawez kuwa rais si atoke hapa jamani atupisheMaza mpole sana anasema walioongeza bei watupishe wenyewe badala ya kula vichwa.
Ukipata chance ya kupiga hela ya serikali zibua kweli kweli, ukionea huruma wenzako hawana huruma.
Kama 80 bilion hivi za walala hoi nasikia mabarawa anajenga bonge la ghorofa pale kinondoni .ni michongo hii hii tu lazimaHii invoice ata Shetwani akiiona lazima akasirike.
Kamba yake ina urefu ganiHuyo alieongeza gharama za ndege ya mizigo Toka 37 million USd mpaka 87 million.
Stupid yake kabisa.
Kuweni wazalendo japo kidogo jamani.
Huu wizi hata shetani haibi namna hii.
Wapi huko? Weka mambo hadharani ndugu mabasso .Kule kwetu kuna barabara ambayo iko kwenye mpango wa kujengwa kwa kiwango cha lami siku zote inajulikana ni kilometa 17 lakini imetajwa kuwa na kilomita 35
Sijui hawa watu hizi pesa huwa wanapeleka wapi
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kweli hapa inabidi tuwaanike boeing.Tuliwahi kuwadai Uk kwenye deal ya rada tukarudishiwa cha juu tulichopigwa, vipi kwa hapa haiwezekani? Boeing kweli wanakubali image yao ichafuliwe kindezi namna hii?
Ivi ukitukana huku umefungaHuyo alieongeza gharama za ndege ya mizigo Toka 37 million USd mpaka 87 million.
Stupid yake kabisa.
Kuweni wazalendo japo kidogo jamani.
Huu wizi hata shetani haibi namna hii.
Shabaha ya nini hizo silaha si Bora tumsaidie Ukraine ........huyo waandae futa Tu.....na watu kutoka jela wenye vifungo vya miaka Saba Saba.........kama ishirini Tu .ili I njoy shughuliKwa hiyo watawaambia hao jamaa wa cancel Invoice au itabidi walipe tu? Nadhani kuna jambo tofauti hapo... Hakuna over Invoice ya namna hiyo. Hata tutusa wa la saba A hawezi fanya ujinga wa hivyo.
Hapo labda wasema walifanya some changes in specifications and customization ya hiyo ndege. Otherwise huyo muhusika kama ni over Invoice wamuweke pale Taifa Kati Watu wajifunzie shabaha tu. Maana hiyo ni stupid kabisa..
PKwa hiyo watawaambia hao jamaa wa cancel Invoice au itabidi walipe tu? Nadhani kuna jambo tofauti hapo... Hakuna over Invoice ya namna hiyo. Hata tutusa wa la saba A hawezi fanya ujinga wa hivyo.
Hapo labda wasema walifanya some changes in specifications and customization ya hiyo ndege. Otherwise huyo muhusika kama ni over Invoice wamuweke pale Taifa Kati Watu wajifunzie shabaha tu. Maana hiyo ni stupid kabisa..
Kwa hiyo watawaambia hao jamaa wa cancel Invoice au itabidi walipe tu? Nadhani kuna jambo tofauti hapo... Hakuna over Invoice ya namna hiyo. Hata tutusa wa la saba A hawezi fanya ujinga wa hivyo.
Hapo labda wasema walifanya some changes in specifications and customization ya hiyo ndege. Otherwise huyo muhusika kama ni over Invoice wamuweke pale Taifa Kati Watu wajifunzie shabaha tu. Maana hiyo ni stupid kabisa..
Wakati mwingine ukifikiria sana, wizi na mambo mengine ya ovyo yanayofanyika Tz, unaweza ishia kucheka kwa hasira......Mama jana naona kachukia kweli na kachoka kabisa watz wanavyocheza rafu za wizi', naona labda kazi ya miaka 62 iendelee tu hakuna namna........yaani aiseee haya mambo ya wizi bongo imekuwa kizungumkuti..... hahahahaHii nchi kuna watu stupid sana! Pumbavu!! Yaani wanafikiria kuiba tu. Stupid! Ahh sorry! Pumbavu zao.