Rais Samia: Waliopokea ongezeko la gharama za ununuzi wa ndege ya mizigo waachie nafasi zao watupishe

Huyo alieongeza gharama za ndege ya mizigo Toka 37 million USd mpaka 87 million.

Stupid yake kabisa.

Kuweni wazalendo japo kidogo jamani.

Huu wizi hata shetani haibi namna hii.
Hii invoice ata Shetwani akiiona lazima akasirike.
 
Huyo alieongeza gharama za ndege ya mizigo Toka 37 million USd mpaka 87 million.

Stupid yake kabisa.

Kuweni wazalendo japo kidogo jamani.

Huu wizi hata shetani haibi namna hii.
Wapi Papaa Mwigulu na mukati ya Iramba!
 
Kwa hiyo watawaambia hao jamaa wa cancel Invoice au itabidi walipe tu? Nadhani kuna jambo tofauti hapo... Hakuna over Invoice ya namna hiyo. Hata tutusa wa la saba A hawezi fanya ujinga wa hivyo.

Hapo labda wasema walifanya some changes in specifications and customization ya hiyo ndege. Otherwise huyo muhusika kama ni over Invoice wamuweke pale Taifa Kati Watu wajifunzie shabaha tu. Maana hiyo ni stupid kabisa..
Hahaha hukumsikiliza vizuri, kasema lilianzia hapo hapo Ikulu. cha kujiuliza ni nani aliziagiza hizo ndege kutokea Ikulu?

Hapo sasa.
 
Maza mpole sana anasema walioongeza bei watupishe wenyewe badala ya kula vichwa.

Ukipata chance ya kupiga hela ya serikali zibua kweli kweli, ukionea huruma wenzako hawana huruma.
Navyoona mimi yeye namba moja ndoa anapaswa kutupisha sisi 2025 maana ameshindwa kila mahala anachukua mikopo huko halafu anawaachia wezi hizo hela kwa gharma za watanzania kama hawez kuwa rais si atoke hapa jamani atupishe
 
Huyo alieongeza gharama za ndege ya mizigo Toka 37 million USd mpaka 87 million.

Stupid yake kabisa.

Kuweni wazalendo japo kidogo jamani.

Huu wizi hata shetani haibi namna hii.
Kamba yake ina urefu gani
 
Tuliwahi kuwadai Uk kwenye deal ya rada tukarudishiwa cha juu tulichopigwa, vipi kwa hapa haiwezekani? Boeing kweli wanakubali image yao ichafuliwe kindezi namna hii?
Kweli hapa inabidi tuwaanike boeing.
Inabidi waandishi wahabari watupe jiwe kwenye mzinga wa nyuki tujue mchawi nani. Maanaile ya radar tulitajiwa majina ya wahusika, process za kuhamisha pesa, account zao huko ughaibuni na kila kitu.
 
Ukipata nafasi ya kupiga pesa za serikali basi hakikisha unazipiga kisawa sawa hadi uwekwe kwenye vitabu vya kumbukumbu.
 
Huyo alieongeza gharama za ndege ya mizigo Toka 37 million USd mpaka 87 million.

Stupid yake kabisa.

Kuweni wazalendo japo kidogo jamani.

Huu wizi hata shetani haibi namna hii.
Ivi ukitukana huku umefunga
Swaumu inakaaje[emoji3]
 
Kwa hiyo watawaambia hao jamaa wa cancel Invoice au itabidi walipe tu? Nadhani kuna jambo tofauti hapo... Hakuna over Invoice ya namna hiyo. Hata tutusa wa la saba A hawezi fanya ujinga wa hivyo.

Hapo labda wasema walifanya some changes in specifications and customization ya hiyo ndege. Otherwise huyo muhusika kama ni over Invoice wamuweke pale Taifa Kati Watu wajifunzie shabaha tu. Maana hiyo ni stupid kabisa..
Shabaha ya nini hizo silaha si Bora tumsaidie Ukraine ........huyo waandae futa Tu.....na watu kutoka jela wenye vifungo vya miaka Saba Saba.........kama ishirini Tu .ili I njoy shughuli
Kwa hiyo watawaambia hao jamaa wa cancel Invoice au itabidi walipe tu? Nadhani kuna jambo tofauti hapo... Hakuna over Invoice ya namna hiyo. Hata tutusa wa la saba A hawezi fanya ujinga wa hivyo.

Hapo labda wasema walifanya some changes in specifications and customization ya hiyo ndege. Otherwise huyo muhusika kama ni over Invoice wamuweke pale Taifa Kati Watu wajifunzie shabaha tu. Maana hiyo ni stupid kabisa..
P

Hii nchi kuna watu stupid sana! Pumbavu!! Yaani wanafikiria kuiba tu. Stupid! Ahh sorry! Pumbavu zao.
Wakati mwingine ukifikiria sana, wizi na mambo mengine ya ovyo yanayofanyika Tz, unaweza ishia kucheka kwa hasira......Mama jana naona kachukia kweli na kachoka kabisa watz wanavyocheza rafu za wizi', naona labda kazi ya miaka 62 iendelee tu hakuna namna........yaani aiseee haya mambo ya wizi bongo imekuwa kizungumkuti..... hahahaha
 
Back
Top Bottom