Rais Samia: Waliopokea ongezeko la gharama za ununuzi wa ndege ya mizigo waachie nafasi zao watupishe

Huyo alieongeza gharama za ndege ya mizigo Toka 37 million USd mpaka 87 million.

Stupid yake kabisa.

Kuweni wazalendo japo kidogo jamani.

Huu wizi hata shetani haibi namna hii.
Na yeye atuambie B7 za royal tour ni nini..!??

CCM ni makupee.
 
Huyo alieongeza gharama za ndege ya mizigo Toka 37 million USd mpaka 87 million.

Stupid yake kabisa.

Kuweni wazalendo japo kidogo jamani.

Huu wizi hata shetani haibi namna hii.
😁😁😁😁🤣🤣🤣 Sasa ukiwaita stupid ndio umechukua hatua tayari? Si ulisema wale kwa kujipimia na wakukune vizuri 🙄😀😀😀😀😀😀. Inasikitisha sana, ila ndio somo hilo. Wale chawa wa kusifu na kuabudu kazi iendelee.
 
Magufuli alidili na hao wezi wakamwita dikteta.

Sasa hivi wamepewa nafasi ya kuiba kelele hakuna wanadai nchi imefunguliwa.
Pumbavu Magufuli gani ambae aliambiwa wizi wa Serikali yake akafukuza CAG?
 
 
hata kama kuiba huku kumezidi sasa yaani iliyopigwa ni kubwa kuliko gharama halisi ya mradi😂
 
Mzee alimwachia watendaji wazuri, yeye akawafukuza, hao watamla hela mpaka basi, kufikia 2025, kapu halina kitu.

Sijui nani alimshauri kufuta wale watendaji. Mbaya zaidi Waziri Mkuu Majaliwa ni kama kafumbwa macho na mdomo.

Hatari sana
 
Kuna jengo moja la kiwanja cha ndege lilikuwa liishe ndani ya miezi sita, pesa zikapigwa sasa hivi ni mwaka wa tatu halijaaisha, dana dana zinaendelea. Hatua ziwe zinachukuliwa haraka vita vya kiuchumi na ulinzi wa raslimali ni ngumu vinataka ujasiri na uthubutu bila kujali hali.
 
Hadi uwe kwenye mfumo sasa
Na sisi walimu tunafaidika vipi
Wewe tayari upo kwenye mfumo nani mwalimu hila haujui kama upo kwenye mfumo, unategemea walio front watakufumbua macho?.
 
Leo namuona yule mnafiki wa ACT Ayatollah Zitto Kabwe anakazania eti iundwe tume ya Kijaji kuchunguza pesa za Plea Bargaining wakati TRC tumepigwa parefu sana!
 
Wewe tayari upo kwenye mfumo nani mwalimu hila haujui kama upo kwenye mfumo, unategemea walio front watakufumbua macho?.
Nifundishe jinsi ya kupata hiyo mi billion na mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…