BakiliMuluzi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2022
- 1,578
- 2,353
Kwani pana rais basi hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na yeye atuambie B7 za royal tour ni nini..!??Huyo alieongeza gharama za ndege ya mizigo Toka 37 million USd mpaka 87 million.
Stupid yake kabisa.
Kuweni wazalendo japo kidogo jamani.
Huu wizi hata shetani haibi namna hii.
😁😁😁😁🤣🤣🤣 Sasa ukiwaita stupid ndio umechukua hatua tayari? Si ulisema wale kwa kujipimia na wakukune vizuri 🙄😀😀😀😀😀😀. Inasikitisha sana, ila ndio somo hilo. Wale chawa wa kusifu na kuabudu kazi iendelee.Huyo alieongeza gharama za ndege ya mizigo Toka 37 million USd mpaka 87 million.
Stupid yake kabisa.
Kuweni wazalendo japo kidogo jamani.
Huu wizi hata shetani haibi namna hii.
Kwani walishalipa?Tuliwahi kuwadai Uk kwenye deal ya rada tukarudishiwa cha juu tulichopigwa, vipi kwa hapa haiwezekani? Boeing kweli wanakubali image yao ichafuliwe kindezi namna hii?
Hawa saccos akili zao wanazijua wenyewe na faru John wao 🤣🤣😁Chadema wakiona hii, watasema ni JPM kasababisha
Ccm oyeeeHuyo alieongeza gharama za ndege ya mizigo Toka 37 million USd mpaka 87 million.
Stupid yake kabisa.
Kuweni wazalendo japo kidogo jamani.
Huu wizi hata shetani haibi namna hii.
Pumbavu Magufuli gani ambae aliambiwa wizi wa Serikali yake akafukuza CAG?Magufuli alidili na hao wezi wakamwita dikteta.
Sasa hivi wamepewa nafasi ya kuiba kelele hakuna wanadai nchi imefunguliwa.
Ujinga na Upumbavu ni pale mnapojadili hoja kwa misingi ya Kidini badala ya Masilahi ya Taifa. Jizi ni jizi tu.Wizi wa Lukuvi huujui?,upumbavu wa Kabudi huujui?...wewe ni juha.
hata kama kuiba huku kumezidi sasa yaani iliyopigwa ni kubwa kuliko gharama halisi ya mradi😂Maana yake Invoice imejidouble 🤣🤣🤣
Ongezeko la $ 49 Million. Zaidi ya Billion 112 za Kitanzania.
Kuwaondoa kazini ni kuwapa nafasi ya kuzitumia hela zao kwa uwazi na uhuru. Hakuna mtumishi wa Umma atastaafu na ukwasi wa walau Billion 3.
Kama Mh Rais ana nia basi waondolewe na moja kwa moja mahakamani.
Mzee alimwachia watendaji wazuri, yeye akawafukuza, hao watamla hela mpaka basi, kufikia 2025, kapu halina kitu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Muwe wajinga mara ngapi? Shule mlienda kukuza mavuzi
HAO SIO CHAWA, HAO NI WAHUJUMU UCHUMI, WAHOJIWE WACHUKULIWE HATUA STAHILI.Walivyoanza kujiita chawa wa mama ina maana hamkuelewa tu maana yake?
Wewe tayari upo kwenye mfumo nani mwalimu hila haujui kama upo kwenye mfumo, unategemea walio front watakufumbua macho?.Hadi uwe kwenye mfumo sasa
Na sisi walimu tunafaidika vipi
Leo namuona yule mnafiki wa ACT Ayatollah Zitto Kabwe anakazania eti iundwe tume ya Kijaji kuchunguza pesa za Plea Bargaining wakati TRC tumepigwa parefu sana!View attachment 2570297
Kuna watu wameongeza 110% kwenye gharama za Ununuzi wa Ndege ya Mizigo. Nadhani Sasa Mh. Rais ameanza kuwafahamu Watanzania. Hawa watu msiishie kuwafuta kazi waende mahakamani.
Hii Nchi watu Kuiba ni sehemu ya maisha Yao so kuwasimamia Kwa kuwabembeleza watakutafuna Hadi ukome. Watanzania wanatakiwa kuendeshwa kama punda ndio wanaleta.
Mwisho waboresheeni maslahi Yao pia vinginevyo Kuna syndicate kubwa sana ya wizi.
==============
Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuchukizwa na kitendo cha ongezeko la fedha za manunuzi ya Ndege mpya ya mizigo kinyume na fedha ambazo zilikuwepo kwenye mkataba wa awali huku akiwataka Watumishi wa Serikali waliokubali ongezeko hilo bila kuhoji waachie nafasi zao kwakuwa hawana uchungu na fedha za Watanzania.
“Kuna mradi hapa tumetengeneza Ndege ya mizigo ambayo tunakaribia kuipokea, last Installments ilikuwa tulipe dola milioni 37, invoice imekuja dola milioni 86….. unauliza mkataba ulisemaje? hii imetokana na wapi?, ooh vifaa vimepanda bei, vipi? mkataba wetu ulisemaje”
“Na bado aliyepokea anakuletea Serikalini hii ilipwe ndio invoice tumepokea….. stupid, ulipopokea umechukua hatua gani? umeuliza nini? umefanya nini? ukilitazama kwa undani hili ongezeko limeanzia huku ndani kuna Watu wameongea huko”
“Hatuwezi kwenda hivyo na nadhani hawa wanaopokea hizo invoice wakazileta kwa raha zao kabisa Serikalini watupishe, hawafai kuwa kwenye hizo nafasi, kama wanafaa angepokea huko akalihoji”
“Baada ya kuhoji akasema nilipokea hivi, nimeambiwa hivi lakini bado nimeoka tufanye hivi, huyu unamuelewa lakini Mtu anapokea kwa raha zake tu analeta Serikali ‘Kuna hiyo invoice imekuja, vifaa vimeongezeka baada ya covid, pumbavu haiwezekani. Mawaziri tusaidieni over-invoicing zipo nyingi sana” ——— Rais Samia.
Nifundishe jinsi ya kupata hiyo mi billion na mimiWewe tayari upo kwenye mfumo nani mwalimu hila haujui kama upo kwenye mfumo, unategemea walio front watakufumbua macho?.
Hao TAKUKURU ni kwetu wa Tamisemi na hao intelligence wengi wao wakishakuwa chawa ndo wanapewa hivyo vitengoNaomba kuuliza hivi TAKUKURU na watu wa intelligence hawawezi zuia haya mambo Hadi waache wizi umefanyika?