Rais Samia: Waliopokea ongezeko la gharama za ununuzi wa ndege ya mizigo waachie nafasi zao watupishe

Rais Samia: Waliopokea ongezeko la gharama za ununuzi wa ndege ya mizigo waachie nafasi zao watupishe

Report iliyopita hatua gani zimechukuliwa?
Ripoti zilizopita za wizi Magufuli alimfukuza mkaguzi kwa hiyo kama Magufuli alichukia wizi wa mali za Uma angetunga sheria ya kudhibiti lakini alikuwa anatunga sheria za kujikinga yeye mwenye akiiba na ndugu zake asifanywe chochote
 
Huyu rais ni dhaifu sana
Sasa ndugu yangu unataka afanyeje? Mhe. Rais ametoa option watu wawajibike. Hivi Rais akishakwambia jiondoe unasubiri kufukuzwa kwa taarifa ya Ikulu? Hiyo ni amri tayari.🙏🙏🙏
 
Sasa ndugu yangu unataka afanyeje? Mhe. Rais ametoa option watu wawajibike. Hivi Rais akishakwambia jiondoe unasubiri kufukuzwa kwa taarifa ya Ikulu? Hiyo ni amri tayari.🙏🙏🙏
Tangu lini mwizi akawajibika??!!!kibaka anakamatwa na kuku mkononi anasema mkono sio wangu.
 
Busara ni kusikia na upande wa pili pia.

Mkataba una kipengele cha ‘determination of transaction price’ zipo sababu kadhaa.

Moja ya determinant kwenye transaction price ni ‘variable consideration’ hiko kipengele kina adjust inflation kama contract ya muda mrefu, kuna fines za kuchelewesha malipo na mambo luluki ya kutazama.

Ni hela nyingi sana chances kuna ufisadi, ila busara ni kusikiliza na upande wa pili pia kwanini invoice imekuwa kubwa. Lakini kudhani transaction price lazima iwe fixed ni dhana potofu, things change with time.
 
Mzee alimwachia watendaji wazuri, yeye akawafukuza, hao watamla hela mpaka basi, kufikia 2025, kapu halina kitu.
Hakuna hiyo kitu ni wale wale wa Magufuli ndio wamesha hitimu doctorate ya wizi with impunity and they don’t give a damn
 
Mwizi aliwaambia wezi wenzie waibe kwa urefu wa kamba zao. Wamefuata agizo lake anataka awaachishe kazi tena?!
 
Busara ni kusikia na upande wa pili pia.

Mkataba una kipengele cha ‘determination of transaction price’ zipo sababu kadhaa.

Moja ya determinant kwenye transaction price ni ‘variable consideration’ hiko kipengele kina adjust inflation kama contract ya muda mrefu, kuna fines za kuchelewesha malipo na mambo luluki ya kutazama.

Ni hela nyingi sana chances kuna ufisadi, ila busara ni kusikiliza na upande wa pili pia kwanini invoice imekuwa kubwa. Lakini kudhani transaction price lazima iwe fixed ni dhana potofu, things change with time.
Hapana usidanganye Watanzania kama ndege inauzwa dola 1 na unanunua kwa hiyo bei na ukishalipa down payment contract closed if you don’t pay in a certain time then you might loose your down payment lakini since we have never seen the contract this is just a tragic comedy because buying a plane is a very simple transaction why’s Tanzanian always get screwed when they purchase a foreign items??Someone need to investigate the procurement office the lay’s there in plain sight
 
Screenshot_20230329-182918.png

Katika sayansi ya siasa, umma ni wananchi wakilinganishwa na serikali ambayo hudhaniwa kuwa mtu. Serikali humiliki mali (mali ya umma) kwa niaba ya wananchi wake. Vilevile, huduma zozote zinazotolewa na serikali husemekana kuwa za umma kwa sababu umma (wananchi) ndio huigharamia serikali kwa wafanyakazi, kodi, ushuru, n.k. Kwa mfano, shule za umma

Kwa utangulizi huo nadhani wahusika wa ubadhirifu ulioibuliwa kwenye ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali wanapaswa kuwa chini ya ulinzi wa polisi kama watuhumiwa huku taratibu za kisheria zikichukua mkondo wake.

ULINZI WA RAIA NA MALI ZAO
 
Kuna watu wameongezeka 110% kwenye gharama za Ununuzi wa Ndege ya Mizigo. Nadhani Sasa Mh. Rais ameanza kuwafahamu Watanzania. Hawa watu msiishie kuwafuta kazi waende mahakamani.

Hii Nchi watu Kuiba ni sehemu ya maisha Yao so kuwasimamia Kwa kuwabembeleza watakutafuna Hadi ukome. Watanzania wanatakiwa kuendeshwa kama punda ndio wanaleta.

Mwisho waboresheeni maslahi Yao pia vinginevyo Kuna syndicate kubwa sana ya wizi.

==============

Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuchukizwa na kitendo cha ongezeko la fedha za manunuzi ya Ndege mpya ya mizigo kinyume na fedha ambazo zilikuwepo kwenye mkataba wa awali huku akiwataka Watumishi wa Serikali waliokubali ongezeko hilo bila kuhoji waachie nafasi zao kwakuwa hawana uchungu na fedha za Watanzania.

“Kuna mradi hapa tumetengeneza Ndege ya mizigo ambayo tunakaribia kuipokea, last Installments ilikuwa tulipe dola milioni 37, invoice imekuja dola milioni 86….. unauliza mkataba ulisemaje? hii imetokana na wapi?, ooh vifaa vimepanda bei, vipi? mkataba wetu ulisemaje”

“Na bado aliyepokea anakuletea Serikalini hii ilipwe ndio invoice tumepokea….. stupid, ulipopokea umechukua hatua gani? umeuliza nini? umefanya nini? ukilitazama kwa undani hili ongezeko limeanzia huku ndani kuna Watu wameongea huko”

“Hatuwezi kwenda hivyo na nadhani hawa wanaopokea hizo invoice wakazileta kwa raha zao kabisa Serikalini watupishe, hawafai kuwa kwenye hizo nafasi, kama wanafaa angepokea huko akalihoji”

“Baada ya kuhoji akasema nilipokea hivi, nimeambiwa hivi lakini bado nimeoka tufanye hivi, huyu unamuelewa lakini Mtu anapokea kwa raha zake tu analeta Serikali ‘Kuna hiyo invoice imekuja, vifaa vimeongezeka baada ya covid, pumbavu haiwezekani….. Mawaziri tusaidieni over-invoicing zipo nyingi sana” ——— Rais Samia.

Aah tulishaongea mapema sana kwamba ile kauli ya

"Mimi sitatumbua mtu maana naamini wote ni watu wazima humu, kila mtu afanye majukumu yake"

Itakuja kumfurahisha siku moja, naona sasa yametimia 🤣🤣🤣
 
Hapana usidanganye Watanzania kama ndege inauzwa dola 1 na unanunua kwa hiyo bei na ukishalipa down payment contract closed if you don’t pay in a certain time then you might loose your down payment lakini since we have never seen the contract this is just a tragic comedy because buying a plane is a very simple transaction why’s Tanzanian always get screwed when they purchase a foreign items??Someone need to investigate the procurement office the lay’s there in plain sight
Ndugu ununuzi wa ndege mpya auna tofauti sana na construction contract. Unalipa kwa hatua kadri kazi inavyofanyika ni matakwa pia ya IFRS 15 in recognition of revenue.

Hatua ya kazi ikiisha ujalipa on time kuna penalties and fines; ukichelewa kulipa na interest juu.

Kingine hakuna kampuni ya kigeni inafanya biashara ya muda mrefu bila ya discounting factor hiyo ni automatic inflation mitigation risk, pamoja na hayo contractor wa ujenzi makini anatuambia prices might go way beyond their expectation na hayo mambo yatakuwa kama sehemu ya ‘variable consideration’.

Ni hivi sitetei au sipingi, busara ni kusikiliza upande wa pili. Boeing siyo hizi kampuni zetu eti waongeze bei kwenye receipt upewe cha juu. That is highly unlikely, management inafanya kazi kwa niaba ya shareholders. Any income itakuwa correctly recorded in their books na wanakuwa audited thoroughly. So sioni how mtanzania anaweza faidika hapo, it’s close to zero possibilities ya mtu kupata mgao hapo.
 
Highly unlikely wakati Radar tu ilipigiwa hela. Huo ununuzi sio wa nyanya mzee. Thats billions of money ambazo ni USD millions karibia 50. Mzungu gani hataki kuwa sehemu ya hio pesa 🤣?
 
Awaache wafanyakazi wa serikali mpaka watakapokuwa na nidhamu ya moyoni.
Eeh atulie maana mwenzie alisema watu walimuheshimu kwa uoga. Sahizi walafi wanashughulikia pochi yake. 😀😀😀 Atulie mpaka wawe na nidhamu ya moyoni.

Wafanyakazi wa umma ni washenzi na hawapaswi kudekezwa hata kidogo.
 
Back
Top Bottom