Rais Samia, wananchi tuna haki ya kujua kilichomo kwenye ripoti uliyoiunda kuchunguza pesa za BoT

Yawezekana Mama kaamua tusijue kilichomo ndani labda kinaweza kuwa na madhara makubwa hasa kwa CCM.
 
Tangazo la UCHUNGUZI LILITOLEWA HADHARANI KWANINI RIPOTI IWE SIRI?
 
tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chini
 
Yawezekana Mama kaamua tusijue kilichomo ndani labda kinaweza kuwa na madhara makubwa hasa kwa CCM.
Kwa hiyo mama analinda uhuni kwa ajili ya manufaa ya CCM? —Basi atakuwa ni dissapointment akifanya hivyo
 
Hawezi ! Kuna SAIDO NTIBANZOKINZA😂😂🤣🤣....anachungulia! anaona MAJI marefu !!🤣🤣🤣🤣

So kumweka bench SAIDO NTIBANZOKINZA ni shidaaaa!!🤸‍♀️🤸‍♀️😂🤣🤣🤣
 
Kwa msingi ule ule wa ukweli na uwazi, ni vema ripoti kama imekamilika ibandikwe kila mtu asome dhahiri shahiri
 
Yapo mambo yanatokea,wahusika pengine wanakiri na kuomba radhi na pengine kurejesha fedha husika shida inakuwepo wapi?
 
Yapo mambo yanatokea,
Kama yapi? Wewe unayajua? Kama unayajua shida iko wapi kutujuza?
wahusika pengine wanakiri na kuomba radhi
Pengine, my foot! Kwa nini alitangaza hadharani? Si uchunguzi nao ungeweza kuendeshwa kimya kimya bila kututangazia hadharani?
na pengine kurejesha fedha husika
Wewe sasa unakuwa mpiga ramli! Kuna shida gani kutupa taarifa? Kumbuka sisi ndio waajiri wake na hela ni zetu. Au umetumwa?
shida inakuwepo wapi?
Kama huoni ilipo shida iko wapi hata ukiambiwa itakuwa kazi bure. Je wahusika ni ndugu zako?
 
NIMEPIKA RAMLI IMEONYESHA HIVYO...KIOO CHANGU KIKALI SANA QUI QUI QUI (JOKES).
 
Labda hawataki kufukua makaburi

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 

Kwenye hili si muda mrefu uzalendo utatushinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…