wazanaki
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 1,092
- 808
Hata wasiposema na ikabaki siri. Wananchi mtafanya nn? 0 hakuna mtachofanya zaidi ya mayoweHata zikirudishwa kwa siri, kama ni siri unadhani zitarudi zilipokuwepo hapo awali? Kwasababu ni siri, hakuna atakayeuliza. Ndiyo maana ninaamini wanaweza wakawa wamegawana.