Rais Samia, wananchi tuna haki ya kujua kilichomo kwenye ripoti uliyoiunda kuchunguza pesa za BoT

Hata zikirudishwa kwa siri, kama ni siri unadhani zitarudi zilipokuwepo hapo awali? Kwasababu ni siri, hakuna atakayeuliza. Ndiyo maana ninaamini wanaweza wakawa wamegawana.
Hata wasiposema na ikabaki siri. Wananchi mtafanya nn? 0 hakuna mtachofanya zaidi ya mayowe
 
Yaliyomo yanatisha na kusikitisha...

Pesa zilikua zinachotwa kuliko hata zile za singa singa wa IPTL...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…