Mama yetu piga kazi, hachana na mitandao.

Hata JK alitukanwa sana lakini wala hakuangaika nao baadae walichika.
Tunasema kwa kauli moja kuwa Mama chapa kazi na songa mbele kwa kishindo maana mamillioni ya watanzania wapo nyuma yako na wanakuunga mkono.
 
Tutalipa na tutaendelea kukopa sana tu kwa ajili ya kujenga uchumi wetu kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo. Tunachoangalia na kuzingatia ni masharti nafuu ya mkopo.
Mnakopa halafu watu wanafanya misappropriation ya mikopo halafu unasema mtalipa wakati mzigo unawaangukia wananchi huku viongozi wakificha pesa ughaibuni?
 
Mpaka sasa CHADEMA wameshachanganyikiwa kwa spana na nyundo kali walizotwangwa nazo hii leo. Huku mitaani ni mpoteano kwa CHADEMA.wananchi wameripuka kwa shangwe na furaha sana .
Sema mambumbumbu yamelipuka.Ma it I zimekurupushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…