Watanzania hatuhitaji kuona Rais wetu akitukanwa.
 
Aisee, hivi mna kipi bora cha kujivunia na huyo?
Njaa mbaya sana.
 
Kama anawajali watanzania mbona soko la Buhongwa likapelekwa dampo ambako hakuna wateja ?
 
Hilo soko lenu lipo chini ya nani? Nani aliyewahamisha eneo mlilokuwepo awali? Nachoelewa ni kuwa masoko mengi sana yapo chini ya halmashauri.
Poa imeisha hio kosa langu kutofanya utafiti husika ila bado nitakuwa pale pale tu maana rais alipo kuja mwanza si alitakiwa ajibu kero kama hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…