Nenda kaishi Rwanda kama umepapenda sana. Tuondolee kelele hapa.Rwanda huwa wanaenda kujifunza usafi tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kaishi Rwanda kama umepapenda sana. Tuondolee kelele hapa.Rwanda huwa wanaenda kujifunza usafi tu?
Yote ni majangili tupuSi huyu tu , CCM yeyote ni sifuri , hawawezi kufanya chochote hata wapewe miaka 1000
Mpuuzi wewe tunalala gizani tunashinda gizani, mfumuko wa bei vitu havishikiki, mafisadi yote yapo ndani ya chama na serikali, tuambie ni mradi gani wa kwake mpya kaanzisha? SGR, bwawa, ndege sijui nini ni zao la marehemu? yeye amefanya nini? kuongeza posho za kwao kutoka 120,000 - 250,000 katikati ya umasikini huu?Aidha ninyi hamna shukrani au ni chuki zenu tu kwake. Ulitaka kwa mwaka wake mmoja wa bajeti afanye miujiza gani? Nionavyo mimi ameweza kutimiza mambo mengi sana ndani ya muda mfupi wa utawala kuliko marais wote waliomtangulia.
Angalia madarasa na madawati ya shule za msingi na sekondari, kaondoa ada kwa kidato cha sita, ameongeza fedha za mikopo ya elimu ya juu, ameondoa retention fee kwa wadaiwa wa mikopo ya elimu ya juu, amepandisha madaraja ya watumishi, amelipa malimbikizo ya mishahara kwa wengi tu, ameongeza kiwango cha mshahara (mtangulizi wake alishindwa kwa miaka sita), amekamilisha reli ya Dar to Dodoma, amekamilisha ujenzi wa ikulu Dodoma, amepeleka umeme wa gridi ya taifa Kigoma, amesaini contract ya reli ya SGR kutoka Tabora kwenda Kigoma, amekuza utalii katika nchi yetu kupitia filamu yake ya royal tour, amekamilisha daraja la mto wami, daraja la Busisi-Mwanza linaelekea kukamilika, ujenzi wa barabara ya kutoka manyovu-Kasulu mpaka Nyakanazi unaendelea vema na mengine mengi.
Yote hayo ni kwa bajeti moja tu anayoisimamia yeye. Watanzania punguzeni malalamiko yasiyo na msingi wowote ule. Usikute mnaombeza ni wale wa awamu iliyopita mliokosa fursa katika awamu yake. Kwenu kila analolifanya, amekosea utadhani ninyi mmeyaweza yote katika familia zenu. Tulieni tu, inchi inaenda vizuri mno.
JPM aliturudisha nyuma kama taifa kwa miaka 20 na, nyie ni wale ambao mnaangalia majengo na barabara lakini micro economy yetu elisimama kipindi cha JPM alikua mbabe asio kua na dira wala sera inao julikana.You are really sick!! Unalinganisha JPM na Samia? JPM alikuwa Rais (President); Samia ni De facto! JPM alikuwa ana Vision; achia mbali ukatili wake, are you guys serious in your lives; you are going to waste 10 more years the way you wasted with Mr. Da Gama
Hata robo hatujafikiaHata hiyo USA ya miaka 200 iliyopita sidhani kama tumeifikia
Uhuru wa US ni April 1775 kutoka uingereza ni miaka mingapi kwa sasa. Na Tz december 1961 lakini watoto walio zaliwa miaka ya 90 wanataka dar es salaam ifanane na Washington DC au Mwanza iwe kama NEWYORK morogoro iwe kama Lo sangers USHata robo hatujafikia
Ngozi nyeusi tuna matatizo sana mkuu......Yaani unapewa kila aina ya sifa bandia.
247, unataka kusemaje?Uhuru wa US ni April 1775 kutoka uingereza ni miaka mingapi kwa sasa.
Ni laana tupuNgozi nyeusi tuna matatizo sana mkuu......
Lakini si alikuwa CCM mwenzenu?JPM aliturudisha nyuma kama taifa kwa miaka 20 na, nyie ni wale ambao mnaangalia majengo na barabara lakini micro economy yetu elisimama kipindi cha JPM alikua mbabe asio kua na dira wala sera inao julikana.
Nasema hivi Geita haiwezi kulingana na Califonia haiwezikani tumpe mda mama.247, unataka kusemaje?
Apewe muda gani? hatuoni la maana anafanyaNasema hivi Geita haiwezi kulingana na Califonia haiwezikani tumpe mda mama.
Mpuuzi namba moja wewe. Ustaarabu ni kuanzisha miradi mipya au kumalizia iliyoanzishwa kwa wingi na mtangulizi wake? Halafu ulitaka aondoe tatizo la umeme ndani ya mwaka mmoja? Mkosa fursa mkubwa wewe. Utakonda sana awamu hii.Mpuuzi wewe tunalala gizani tunashinda gizani, mfumuko wa bei vitu havishikiki, mafisadi yote yapo ndani ya chama na serikali, tuambie ni mradi gani wa kwake mpya kaanzisha? SGR, bwawa, ndege sijui nini ni zao la marehemu? yeye amefanya nini? kuongeza posho za kwao kutoka 120,000 - 250,000 katikati ya umasikini huu?
Ni wapiga kura, lakini umesahau jeuri ya tambo zote wanajua kura za wananchi sio zinazo amua mshindi. Tanzania mshindi anaamuliwa na tume ya uchaguzi.Kauli kama hizi zinatia aibu sana, kwamba vijana wa 1990 sio wananchi na hawana haki ya kuhoji serikali
Kumbuka hao wa 1990 pia ni wapiga kura
Matusi ni kukosa hoja. Viongozi wanakosa hoja kujibu malalamiko ya wananchi wanatoa maneno ya kwenye kanga, wapambe wao wanatumia matusi kuwatetea.Kwa hiyo uongozi apple mamako? Huyu mama anajitahidi sana, ndani ya muda mfupi amefanya mambo makubwa. Hizo hizi chuki mpelekee mamako
Hapa ndio shida zooote zinapoanza, sijui tutaamka lini kwenye huu usingiziNi wapiga kura, lakini umesahau jeuri ya tambo zote wanajua kura za wananchi sio zinazo amua mshindi. Tanzania mshindi anaamuliwa na tume ya uchaguzi.
Si ameshasema atakopa tu hata kama tukipiba keleleApewe muda gani? hatuoni la maana anafanya
Anasema tusijilinganishe na Marekani lakini yeye kila kukicha anajilinganisha na marekani, kwenye tozo alitukinganisja na marekani ila kwenye maendeleo hataki tujilinganishe naoMama anapenda sana Reference za Marekani, maana hata bei ya Petrol alisema kwetu ni nafuu ukilinganisha na Marekani
Nenda kaishi Rwanda kama umepapenda sana. Tuondolee kelele hapa.