Rais Samia: Wanaopinga mabahewa ni watoto waliozaliwa mwaka 1990

WaTanzania hamko serious; kama wewe unaamini huyu mama ni Rais atakayekufikisha; basi you are another Mr. ZERO
Kama JPm aliweza kututawala miaka 6, kwanini huyu mama mstarabu mwenye huruma na hofu ya Mungu asitupeleke?
 
Yuko hapo kwa maslahi ya watu.

Wajanja wa mjini wanahesabu kali sana.
Wanamweka dhaifu wao ili mambo yao yafanikiwe.
Lakini c alikua makamu wa JPM na alichaguliwa na watanzani wote, mbona hamkuliona kipindi nachaguliwa mara ya pili muache unafiki wenu mama mpe na fasi afanye majukumu yake
 
Sahivi wakiimba wanamuandalia tuzo
Naye anaviimba akiamini anasifiwa kweli.
Nakumbuka enzi za JK akina Rostam walimpiga vita Sitta asigombee uspika kwa kipindi cha 2 ili wamweke spika dhaifu zaidi yule bibi na wakaweza.

Wakaliongoza bunge nje ya bunge kwa maslahi yao.
Ogopa sana mafisadi
 
hatutaki kulingana na marekani, tunataka kulingana na indonesia tulio kuwa nao sawa kimaendeleo miaka ya 60

uongozi wa mfano wake hata wapewe miaka 200 hawawezi fikia maendeleo ya marekani achana na china, india huko
Aidha ninyi hamna shukrani au ni chuki zenu tu kwake. Ulitaka kwa mwaka wake mmoja wa bajeti afanye miujiza gani? Nionavyo mimi ameweza kutimiza mambo mengi sana ndani ya muda mfupi wa utawala kuliko marais wote waliomtangulia.

Angalia madarasa na madawati ya shule za msingi na sekondari, kaondoa ada kwa kidato cha sita, ameongeza fedha za mikopo ya elimu ya juu, ameondoa retention fee kwa wadaiwa wa mikopo ya elimu ya juu, amepandisha madaraja ya watumishi, amelipa malimbikizo ya mishahara kwa wengi tu, ameongeza kiwango cha mshahara (mtangulizi wake alishindwa kwa miaka sita), amekamilisha reli ya Dar to Dodoma, amekamilisha ujenzi wa ikulu Dodoma, amepeleka umeme wa gridi ya taifa Kigoma, amesaini contract ya reli ya SGR kutoka Tabora kwenda Kigoma, amekuza utalii katika nchi yetu kupitia filamu yake ya royal tour, amekamilisha daraja la mto wami, daraja la Busisi-Mwanza linaelekea kukamilika, ujenzi wa barabara ya kutoka manyovu-Kasulu mpaka Nyakanazi unaendelea vema na mengine mengi.

Yote hayo ni kwa bajeti moja tu anayoisimamia yeye. Watanzania punguzeni malalamiko yasiyo na msingi wowote ule. Usikute mnaombeza ni wale wa awamu iliyopita mliokosa fursa katika awamu yake. Kwenu kila analolifanya, amekosea utadhani ninyi mmeyaweza yote katika familia zenu. Tulieni tu, inchi inaenda vizuri mno.
 
Yuko hapo kwa maslahi ya watu.

Wajanja wa mjini wanahesabu kali sana.
Wanamweka dhaifu wao ili mambo yao yafanikiwe.
Kama kibabu Mugabe aliendelea kuwepo madarakani na zaidi ya miaka 90 haishangazi kwa chifu mkuu kuendelea kukaa hapo, hata Nyerere aliwashtukia kipindi kile wakimshawishi aendelee kubaki kwamba hakuna mtu wa kuziba nafasi yake, kumbe wao ndo walikuwa wanalinda maslahi yao kwa yeye kuendelea kuwa rais.......ngozi nyeusi ni wabinafsi sana.
 
Anapotoa mfano wa USA wa miaka 200 asisahau na mfano wa Korea ya Kusini, Singapore, Malaysia, Indonesia hawa tulikuwa nao sawa kimaendeleo na tulipata nao uhuru pamoja miaka 60 iliyopita.
Umejijibu mwenyewe. Kwahiyo ulitarajia ndani ya mwaka wake mmoja wa bajeti awe amekamilisha yote? Acheni chuki, mama anajitahidi sana tena sana.
 
Kama kibabu Mugabe aliendelea kuwepo madarakani na zaidi ya miaka 90 haishangazi kwa chifu mkuu kuendelea kukaa hapo, hata Nyerere aliwashtukia kipindi kile wakimshawishi aendelee kubaki kwamba hakuna mtu wa kuziba nafasi yake, kumbe wao ndo walikuwa wanalinda maslahi yao kwa yeye kuendelea kuwa rais.......ngozi nyeusi ni wabinafsi sana.

Yaani unapewa kila aina ya sifa bandia.
 
Sure yupo hapo kujaza nafasi na siyo kutumikia nafaSI
Aidha ninyi hamna shukrani au ni chuki zenu tu kwake. Ulitaka kwa mwaka wake mmoja wa bajeti afanye miujiza gani? Nionavyo mimi ameweza kutimiza mambo mengi sana ndani ya muda mfupi wa utawala kuliko marais wote waliomtangulia.

Angalia madarasa na madawati ya shule za msingi na sekondari, kaondoa ada kwa kidato cha sita, ameongeza fedha za mikopo ya elimu ya juu, ameondoa retention fee kwa wadaiwa wa mikopo ya elimu ya juu, amepandisha madaraja ya watumishi, amelipa malimbikizo ya mishahara kwa wengi tu, ameongeza kiwango cha mshahara (mtangulizi wake alishindwa kwa miaka sita), amekamilisha reli ya Dar to Dodoma, amekamilisha ujenzi wa ikulu Dodoma, amepeleka umeme wa gridi ya taifa Kigoma, amesaini contract ya reli ya SGR kutoka Tabora kwenda Kigoma, amekuza utalii katika nchi yetu kupitia filamu yake ya royal tour, amekamilisha daraja la mto wami, daraja la Busisi-Mwanza linaelekea kukamilika, ujenzi wa barabara ya kutoka manyovu-Kasulu mpaka Nyakanazi unaendelea vema na mengine mengi.

Yote hayo ni kwa bajeti moja tu anayoisimamia yeye. Watanzania punguzeni malalamiko yasiyo na msingi wowote ule. Usikute mnaombeza ni wale wa awamu iliyopita mliokosa fursa katika awamu yake. Kwenu kila analolifanya, amekosea utadhani ninyi mmeyaweza yote katika familia zenu. Tulieni tu, inchi inaenda vizuri mno.
 
WaTanzania hamko serious; kama wewe unaamini huyu mama ni Rais atakayekufikisha; basi you are another Mr. ZERO
Aidha ninyi hamna shukrani au ni chuki zenu tu kwake. Ulitaka kwa mwaka wake mmoja wa bajeti afanye miujiza gani? Nionavyo mimi ameweza kutimiza mambo mengi sana ndani ya muda mfupi wa utawala kuliko marais wote waliomtangulia.

Angalia madarasa na madawati ya shule za msingi na sekondari, kaondoa ada kwa kidato cha sita, ameongeza fedha za mikopo ya elimu ya juu, ameondoa retention fee kwa wadaiwa wa mikopo ya elimu ya juu, amepandisha madaraja ya watumishi, amelipa malimbikizo ya mishahara kwa wengi tu, ameongeza kiwango cha mshahara (mtangulizi wake alishindwa kwa miaka sita), amekamilisha reli ya Dar to Dodoma, amekamilisha ujenzi wa ikulu Dodoma, amepeleka umeme wa gridi ya taifa Kigoma, amesaini contract ya reli ya SGR kutoka Tabora kwenda Kigoma, amekuza utalii katika nchi yetu kupitia filamu yake ya royal tour, amekamilisha daraja la mto wami, daraja la Busisi-Mwanza linaelekea kukamilika, ujenzi wa barabara ya kutoka manyovu-Kasulu mpaka Nyakanazi unaendelea vema na mengine mengi.

Yote hayo ni kwa bajeti moja tu anayoisimamia yeye. Watanzania punguzeni malalamiko yasiyo na msingi wowote ule. Usikute mnaombeza ni wale wa awamu iliyopita mliokosa fursa katika awamu yake. Kwenu kila analolifanya, amekosea utadhani ninyi mmeyaweza yote katika familia zenu. Tulieni tu, inchi inaenda vizuri mno.
 
Kama JPm aliweza kututawala miaka 6, kwanini huyu mama mstarabu mwenye huruma na hofu ya Mungu asitupeleke?
You are really sick!! Unalinganisha JPM na Samia? JPM alikuwa Rais (President); Samia ni De facto! JPM alikuwa ana Vision; achia mbali ukatili wake, are you guys serious in your lives; you are going to waste 10 more years the way you wasted with Mr. Da Gama
 
Back
Top Bottom