Rais Samia: Wanaopinga mabahewa ni watoto waliozaliwa mwaka 1990

Rais Samia: Wanaopinga mabahewa ni watoto waliozaliwa mwaka 1990

kweli mkuu ndani ya muda mfupi deni limepaa hadi bili 90+, amejitahidi kwenye nini ama kutuletea vichwa vya mtumba kwenye tren mpya
Jpm ndo alie azisha madeni kwa kutuongopea eti tunatumia pesa za ndani, mama anaendeleza legacy yake
 
Nani ajiudhuri hapa Tz you are living in utopian world, unalinganisha kiangozi wa uingereza na Bongo kijana utapata stress bure na pressure mwishowe utakufa depressed person.
Am flabbergasted with your opinion 🙌🙌
 
"Wale wanaopenda tu kufujafuja kila kitu, wafuje lakini warudi nyuma, ukute mfujaji mwenyewe kazaliwa miaka ya 90 hajui tulikotoka, anafananisha na Marekani anakokuona na anataka Tanzania ifike kule bila kujua anaojifananisha nao wana miaka 200 ya maendeleo”

Rais Samia.
View attachment 2453377
Basi mwenyewe unaona kaongea bonge la pointi!! 🤔
 
Ndio maana viongozi kama Former PM Boris wa UK he carried his responsibility kwa kujiudhuru baada ya kushindwa kutatua shida za wananchi wa UK
Ni kweli Boris Johnson alijiudhuru Uwaziri Mkuu wa Uingereza, lakini si kwa kushindwa kutatua shida za wananchi.

Alifanya uteuzi wa Chris Pincher huku akijua kabisa ana tuhuma za ku-grope wanaume wenzie, sexual assault.

Aliandamwa pia na kashfa nyingine tu za kisiasa. Ila kero za wananchi alizitatua vizuri na hata sasa wananchi wengi wanampenda.

Alipinduliwa na wanasiasa wenzie.
 
You are just another ass licker!! Huna jipya
Leta hoja mkuu tushindane kwa hoja, hu umasikini watanzania umeletwa na sera mbovu za ujamaa za Nyerere kuhamisha watu kwenye vijiji kama wanyama, kulikua na haja gani kuingia kwenye vita ya 1978 ya Kagera mpaka sasa hivi tuko kwenye madeni ya hiyo vita.
 
Kumbe vijamaa vya 1990+ ndo vinapiga sana kipenga, vikae kwa kutulia hii nchi tumeitoa shimoni.....
 
Kwa jinsi hii Africa maendeleo tutaendelea kuyasikia kwenye redio tu.
 
Tanzania itaendelea akipatikana Rais wa kuanzia 90'S
Marekani hakukuwa mafisadi wa kujilimbikizia Mali,
Viongozi waliongia madarakani waliongia kwa lengo la kutatua shida za wananchi and not otherwise.

Ndio maana viongozi kama Former PM Boris wa UK he carried his responsibility kwa kujiudhuru baada ya kushindwa kutatua shida za wananchi wa UK

Huku kwetu bonde la Ihefu limepungua kutoka square meter 83,000 mpaka 10,000 na hakuna mtu atakaewajibika.

It's complete shame, seemingly that things Will change.

My fellow 90'S tuendelee kupinga tu[emoji2955]
Vijana wa 90s hamfai hata kidogo[emoji1787]
 
Leta hoja mkuu tushindane kwa hoja, hu umasikini watanzania umeletwa na sera mbovu za ujamaa za Nyerere kuhamisha watu kwenye vijiji kama wanyama, kulikua na haja gani kuingia kwenye vita ya 1978 ya Kagera mpaka sasa hivi tuko kwenye madeni ya hiyo vita.
WaTanzania hamko serious; kama wewe unaamini huyu mama ni Rais atakayekufikisha; basi you are another Mr. ZERO
 
Kumbe vijamaa vya 1990+ ndo vinapiga sana kipenga, vikae kwa kutulia hii nchi tumeitoa shimoni.....
Kwani kwenye safu yake ya mawaziri kuna kijama chochote cha miaka ya 90s.
 
Back
Top Bottom