Rais Samia: Wanaopinga mabahewa ni watoto waliozaliwa mwaka 1990

Mpuuzi wewe tunalala gizani tunashinda gizani, mfumuko wa bei vitu havishikiki, mafisadi yote yapo ndani ya chama na serikali, tuambie ni mradi gani wa kwake mpya kaanzisha? SGR, bwawa, ndege sijui nini ni zao la marehemu? yeye amefanya nini? kuongeza posho za kwao kutoka 120,000 - 250,000 katikati ya umasikini huu?
 
JPM aliturudisha nyuma kama taifa kwa miaka 20 na, nyie ni wale ambao mnaangalia majengo na barabara lakini micro economy yetu elisimama kipindi cha JPM alikua mbabe asio kua na dira wala sera inao julikana.
 
Hata robo hatujafikia
Uhuru wa US ni April 1775 kutoka uingereza ni miaka mingapi kwa sasa. Na Tz december 1961 lakini watoto walio zaliwa miaka ya 90 wanataka dar es salaam ifanane na Washington DC au Mwanza iwe kama NEWYORK morogoro iwe kama Lo sangers US
 
JPM aliturudisha nyuma kama taifa kwa miaka 20 na, nyie ni wale ambao mnaangalia majengo na barabara lakini micro economy yetu elisimama kipindi cha JPM alikua mbabe asio kua na dira wala sera inao julikana.
Lakini si alikuwa CCM mwenzenu?
 
Mpuuzi namba moja wewe. Ustaarabu ni kuanzisha miradi mipya au kumalizia iliyoanzishwa kwa wingi na mtangulizi wake? Halafu ulitaka aondoe tatizo la umeme ndani ya mwaka mmoja? Mkosa fursa mkubwa wewe. Utakonda sana awamu hii.
 
Kauli kama hizi zinatia aibu sana, kwamba vijana wa 1990 sio wananchi na hawana haki ya kuhoji serikali

Kumbuka hao wa 1990 pia ni wapiga kura
Ni wapiga kura, lakini umesahau jeuri ya tambo zote wanajua kura za wananchi sio zinazo amua mshindi. Tanzania mshindi anaamuliwa na tume ya uchaguzi.
 
Kwa hiyo uongozi apple mamako? Huyu mama anajitahidi sana, ndani ya muda mfupi amefanya mambo makubwa. Hizo hizi chuki mpelekee mamako
Matusi ni kukosa hoja. Viongozi wanakosa hoja kujibu malalamiko ya wananchi wanatoa maneno ya kwenye kanga, wapambe wao wanatumia matusi kuwatetea.
 
Ni wapiga kura, lakini umesahau jeuri ya tambo zote wanajua kura za wananchi sio zinazo amua mshindi. Tanzania mshindi anaamuliwa na tume ya uchaguzi.
Hapa ndio shida zooote zinapoanza, sijui tutaamka lini kwenye huu usingizi
 
Mama anapenda sana Reference za Marekani, maana hata bei ya Petrol alisema kwetu ni nafuu ukilinganisha na Marekani
Anasema tusijilinganishe na Marekani lakini yeye kila kukicha anajilinganisha na marekani, kwenye tozo alitukinganisja na marekani ila kwenye maendeleo hataki tujilinganishe nao

She is empy set aisee
 
Nenda kaishi Rwanda kama umepapenda sana. Tuondolee kelele hapa.

Tuliza kitobo wewe! hao wanaoenda kujifunza usafi waambie wakajifunze na Mengine Mengi kuhusu uwajibikaji na kuwa na uchungu na Nchi

tumia akili kufikiri na si Tundu. si kila post ni saiz yako Chawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…