Rais Samia wasikudanganye nikodishie Helicopter nikakuonyeshe Wakubwa Watano waliochepusha Maji ya Mto Ruvu

Mchina wa mboga mboga alikuwa anasingiziwa tuu..

Mwisho kama maji ya mtu huo hayaruhusiwi kufanyia shughuli za kilimo ielwzwe tuu watu wajue ila vinginevyo sioni kosa lao maana hayi maji yanaishia baharini..

Serikali inafanya uzembe tuu kwa nini wao wasichimbe mabwawa yao makubwa ya kuhifadhi maji ya matumizi badala yake watafute kisingizio kwa wawekezaji?
 
Aisee hili suala kubwa sana huu izi usipuuziwe ufaanyie kazi aweso njoo uku fuatilia huu ujumbe
Ukiona GENTAMYCINE The Great nakuja na Taarifa au Angalizo kama hivi nakushauri au nakuomba niamini au niamini tena kwa 100%.

Na kwa Kukusaidia tu Mkuu usidhani kuwa hata huyu Waziri husika Uliyemtaja hapa hajui hili ila ukweli ni kwamba nae pia ameshakuwa "fixed ' na hana la Kufanya au Kuwafanya kwani Mmoja wa Wachepushaji hayo Maji ni Mtu fulani Mstaafu mwenye Ushawishi mkubwa wa Kimaamuzi kwa aliyemteua Yeye kuwa hapo na katika 'Docket' yake hiyo.
 
Sasa mama samia atafanyaje wakati hao ni mentor wake??
 
Haya anayajua na file alishapewa kitambo. The problem of making a firm decission concerning the issue is eating her inside. Mama punguza yale majibu yako ya mkato na kukatisha tamaa pale unapopewa maelezo na kushauriwa na wanakamati wako.
Na hapa ndiyo maana GENTAMYCINE namkumbuka na nilimpenda sana Hayati Rais Dkt. Magufuli kwani aliheshimu mni Taarifa Nyeti za Wasaidizi wake na alikuwa hana Msalia Mtume kwa Wapumbavu na Wapuuzi wachache ambao wanaleta Usumbufu na Kero kwa 90% ya Watanzania.

Tafadhali Rais Samia hebu badilika Mama na anza kuwa Mkali kwani kuna Watu ( hasa Mafia ) wachache ila Matajiri wanatembelea Upole wako na Huruma yako ya Kizanzibari.

Watu wa TISS msaidieni sana Mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…