nyiokunda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 1,976
- 1,181
BataKwani mama Yuko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BataKwani mama Yuko wapi?
Hapo ndiyo tujue,kwanini JPM hakuwa akimshirikisha kwenye majukumu yake ya msingi hasa yanayohusu wananchi/jamii.Raisi hakupaswa kusafiri nje ya nchi kuonana na mabeberu wakati nchi iko kwenye maafa.
Halafu kuna mjinga mmoja alitangaza asubuhi kuwa eti kazi ya uokoaji inafanyika kwa ustadi mkubwa kuhakikisha wote wanatoka salama. Cha ajabu tunapewa taarifa za vifo!! Unaweza kudhania nchi imekosa watu.So painful kwa taarifa hizo za kupoteza wenzetu hao!
Lilitokea bado akiwa bongoRaisi Tayyip Erdogan wa Turkey, alikatisha ziara yake nchini Russia. Alipokuwa anahudhuria BRICS Summit. Nchini kwake kulitokea shambulio la risasi katika kiwanda.
Unaweza kuona mtu anapoguswa na wananchi wake. Halafu kuna ambaye anaona bora awe sehemu nyingine kuliko kurudi kuwafariji, wafiwa na majeruhi na kuhimiza kwa karibu waokoaji. Kazi ya Raisi ni kama kiranja kwa wananchi.
Yaani Nastaajabika sana kusikia hizi taarifa za zisizo na ukweli juu ya watu walio kufa.
Jpm hakuwa anajali kulipotokea maafa.Hapo ndiyo tujue,kwanini JPM hakuwa akimshirikisha kwenye majukumu yake ya msingi hasa yanayohusu wananchi/jamii.
Ni aibu sana kitaifa.
Wamefariki watu zaidi ya hao tunaojaribu kuaminishwa.Kivipi mkuu??
Mkuu heri tushukuru kwa hao 80 waliookolewa hai, nchi yetu hii likitokea la kutokea madhara yanakuwa mara dufu, uwajibikaji ji duni sana .Halafu kuna mjinga mmoja alitangaza asubuhi kuwa eti kazi ya uokoaji inafanyika kwa ustadi mkubwa kuhakikisha wote wanatoka salama. Cha ajabu tunapewa taarifa za vifo!! Unaweza kudhania nchi imekosa watu.
Pongeza hizi ni maalumu kwa Rais Dkt.Mxiuuuuu! Pambafu! So what?
Mama amelia sana? Bantu Lady where you at mama?NYie Wamama wanaumia nyie japo sijazaa ila namuonaga mama angu anavyoumia hata ukiumwa tu🥹
hataki kusikia hizi habari tangu jana
Wewe ulitaka isomeke kutokea wapi mkuu?Taarifa inasomwa ikitokea wapi wangu!!
Hili ni tatizo kubwa !
Alisafiri kabla ya maafa kutokesRaisi hakupaswa kusafiri nje ya nchi kuonana na mabeberu wakati nchi iko kwenye maafa.
Duuh punguzo jaziba mkuu, maneno yakitoka hua hayarudi huwezi kuyala matapishiHuyu Rais si ndio alisema kifo ni kifo. Ana roho mbaya Sana.