Rais Samia: Watu 13 wamefariki kwenye jengo lililoporomoka Kariakoo. Serikali kugharamia matibabu ya majeruhi na kuhakikisha waliofariki wanasitiriwa

Najiuliza tu, Mzee Philip Mpango yuko wapi? Nani amekasimiwa madaraka ya urais kwa sasa? Je, maagizo yanayotolewa baada ya muda anaotakiwa kukaimisha ni halali?

Nani amekaimishwa madaraka ya Urais kwa sasa?
 
Raisi Tayyip Erdogan wa Turkey, alikatisha ziara yake nchini Russia. Alipokuwa anahudhuria BRICS Summit. Nchini kwake kulitokea shambulio la risasi katika kiwanda.

Unaweza kuona mtu anapoguswa na wananchi wake. Halafu kuna ambaye anaona bora awe sehemu nyingine kuliko kurudi kuwafariji, wafiwa na majeruhi na kuhimiza kwa karibu waokoaji. Kazi ya Raisi ni kama kiranja kwa wananchi.
 
Lilitokea bado akiwa bongo
 
Halafu kuna mjinga mmoja alitangaza asubuhi kuwa eti kazi ya uokoaji inafanyika kwa ustadi mkubwa kuhakikisha wote wanatoka salama. Cha ajabu tunapewa taarifa za vifo!! Unaweza kudhania nchi imekosa watu.
Mkuu heri tushukuru kwa hao 80 waliookolewa hai, nchi yetu hii likitokea la kutokea madhara yanakuwa mara dufu, uwajibikaji ji duni sana .
 
Back
Top Bottom