Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi?
Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio kujitangaza.
Wamasai sio special katika taifa hili. Jamii ya Wawanji waliokuwa wakiishi kwenye hifadhi ya Kitulo kabla ya kuwa National Park waliondolewa kwenye hifadhi mara tu baada ya Kitulo kuwa hifadhi ya Taifa.
Miaka 100 mbele kwa kasi ya Wamasai kuzaliana kutakuwa na uhifafhi tena Ngorongoro?
Kila miaka 10 wanajidabo. Miaka 100 mbele watajidabo mara ngapi?
Rais una mamlaka kubadili matumizi ya ardhi kadri utakavyo kwa maslahi ya umma. Mtu ana kijumba cha udongo au mavi ya mbuzi unamjengea nyumba ya kisasa unamwamisha kwa gharama za serikali lakini wapuuzi wanasiasa uchwara wanakutilia kelele.
Ukibadili maamuzi kwasababu ya kelele za kisiasa ndipo sisi wananchi tunajua kuwa serikali ilikuwa haina nia njema na ule mpango au serikali ilikurupuka au wewe ulikuwa na maslahi binafsi na huo mpango.
Simamia unachokiamini, usitishwe na kauli za kwamba utapoteza kura. Kura ni nini mbele ya maslahi ya taifa? Vijiji vingapi wananchi wamesogezwa (kuhamishwa) mbali na hifadhi bila fidia?
Nitakachokipinga ni uuzwaji wa rasilimali tu lakini kama wanahamishwa kwa lengo la uhifafhi sawa. Wahamishwe, walipwe wakaazi wa zamani tu, kaya walizohamia hivi karibuni watimuliwe, wasipewe hata Senti.
Mbona kipindi cha Magufuli watu walikuwa wanatii amri haraka? Kama hutaki kutumia uamiri jeshi mkuu ulionao ni vyema upumzike. Watanzania bila kuwanyoosha hawanyooki. Hata ukigawa sembe kg 25 kila nyumba lazima Wapinzani tutakuparua. Usifanye jambo na baadaye kubadili kwasababu ya kelele.