Rais Samia wewe ni Amiri Jeshi mkuu, usibadili maamuzi kwasababu ya upepo wa kisiasa. Wamasai watimuliwe Ngorongoro

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi?

Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio kujitangaza.

Wamasai sio special katika taifa hili. Jamii ya Wawanji waliokuwa wakiishi kwenye hifadhi ya Kitulo kabla ya kuwa National Park waliondolewa kwenye hifadhi mara tu baada ya Kitulo kuwa hifadhi ya Taifa.
Miaka 100 mbele kwa kasi ya Wamasai kuzaliana kutakuwa na uhifafhi tena Ngorongoro?
Kila miaka 10 wanajidabo. Miaka 100 mbele watajidabo mara ngapi?
Rais una mamlaka kubadili matumizi ya ardhi kadri utakavyo kwa maslahi ya umma. Mtu ana kijumba cha udongo au mavi ya mbuzi unamjengea nyumba ya kisasa unamwamisha kwa gharama za serikali lakini wapuuzi wanasiasa uchwara wanakutilia kelele.

Ukibadili maamuzi kwasababu ya kelele za kisiasa ndipo sisi wananchi tunajua kuwa serikali ilikuwa haina nia njema na ule mpango au serikali ilikurupuka au wewe ulikuwa na maslahi binafsi na huo mpango.

Simamia unachokiamini, usitishwe na kauli za kwamba utapoteza kura. Kura ni nini mbele ya maslahi ya taifa? Vijiji vingapi wananchi wamesogezwa (kuhamishwa) mbali na hifadhi bila fidia?

Nitakachokipinga ni uuzwaji wa rasilimali tu lakini kama wanahamishwa kwa lengo la uhifafhi sawa. Wahamishwe, walipwe wakaazi wa zamani tu, kaya walizohamia hivi karibuni watimuliwe, wasipewe hata Senti.

Mbona kipindi cha Magufuli watu walikuwa wanatii amri haraka? Kama hutaki kutumia uamiri jeshi mkuu ulionao ni vyema upumzike. Watanzania bila kuwanyoosha hawanyooki. Hata ukigawa sembe kg 25 kila nyumba lazima Wapinzani tutakuparua. Usifanye jambo na baadaye kubadili kwasababu ya kelele.
 
Acha unafiki ww kwa nn wabongo tunakua wasaga sumu.Roho mbayaaa ww unaona wamasai kupelekwa mkoa mwingine ambako sio asili yao japo ni tz ni sawa!!!.Rais kapata ushauri mzuri sana waachwe wakae ilipo asili yao ww kinakuuma nn jitie dole basi😎
ila huyu mleta Uzi ukimfikiri kwa akili ya tatu utagundua ni "adui" wa Maza.
 
Hawa si ndio wanamuingiza chaka mama ili achukiwe.Jamani yule ni mama yetu tumhurumie sometime lawama tunazo mpa za maamzi anayo fanya ni ushauri mbaya wa wanafiki wanaompa ili aharibu na akiharibu wanaenda kuchekea chooni🤣
 
Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijirifhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi?
Jeshi halitakiwi kurudi nyuma.
Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio kujitangaza.
Wamasai sio special katika taifa hili.
Rais una mamlaka kubadili matumizi ya ardhi kadri utakavyo kwa maslahi ya umma
Mtu ana kijumba cha udongo au mavi ya mbuzi unamjengea nyumba ya kisasa unamwamisha kwa gharama za serikali lakini wapuuzi wanasiasa uchwara wanakutilia kelele.
Ukibadili maamuzi kwasababu ya kelele za kisiasa ndipo sisi wananchi tunajua kuwa serikali ilikuwa haina nia njema na ule mpango au serikali ilikurupuka au wewe ulikuwa na maslahi binafsi na huo mpango.
Simamia unachokiamini, usitishwe na kauli za kwamba utapoteza kura. Kura ni nini mbele ya maslahi ya taifa?
Vijiji vingapi wananchi wamesogezwa (kuhamishwa) mbali na hifadhi bila fidia?
Nitakachokipinga ni uuzwaji wa rasilimali tu lakini kama wanahamishwa kwa lengo la uhifafhi sawa. Wahamishwe, walipwe wakaazi wa zamani tu, kaya walizohamia hivi karibuni watimuliwe, wasipewe hata Senti .
Mbona kipindi cha Magufuli watu walikuwa wanatii amri haraka?
Kama hutaki kutumia uamiri jeshi mkuu ulionao ni vyema upumzike. Watanzania bila kuwanyoosha hawanyooki.
Hata ukigawa sembe kg 25 kila nyumba lazima Wapinzani tutakuparua. Usifanye jambo na baadaye kubadili kwasababu ya kelele.
Hakika huu waraka wako umenukuu falsafa za kidikteta za akina Kim wa Korea Kaskazini. Ni sera za kifashist za karne ziliyopita ambazo kamwe hazikubaliki ktk tawala zinazozingatia ustaarabu na haki za binadamu. Aidha maamuzi ya Waziri aliyetoa GN ya dhukma yafaa kulaaniwa na afutwe kazi. Maamuzi ya uchaguzi yafanywe na Tume huru na siyo Waziri anayejulikana kuwa ni kada wa CCM ambaye nia yake kunufaisha chama chake akitumia ubabe wa wizara yake. This is worst form of impunity! Shame on the Minister.
 
Acha unafiki ww kwa nn wabongo tunakua wasaga sumu!.Roho mbayaaa ww.. unaona wamasai kupelekwa mkoa mwingine ambako sio asili yao? japo ni tz ni sawa!!!.Rais kapata ushauri mzuri sana waachwe wakae ilipo asili yao ww kinakuuma nn jitie dole basi😎
Achana jibizana na mpumbavu , hawa ndo wale wow ,wow , kwa wingi
 
Wewe chawa, jifanye kama unamhamasisha Ili Bi "kizimkazi" akaze shingo.................

Yatakayomkuta asije akalaumu mtu😚
 
Ona hii mbuzi
Wawanji walioizunguka Kitulo miaka na miaka mbona walifukuzwa kwenye hifadhi?
Wamasai ni wakati wao sasa kuondolewa Ngorongoro.
Kwa kasi yao ya kuzaliana kila baada ya miaka 10 wanajidabo.
Maana yake miaka mia mbele watajidabo mara watakuwa million kadhaa . Haya hapo kutakuwa na hifadhi tena?
 
Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi?

Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio kujitangaza.

Wamasai sio special katika taifa hili. Jamii ya Wawanji waliokuwa wakiishi kwenye hifadhi ya Kitulo kabla ya kuwa National Park waliondolewa kwenye hifadhi mara tu baada ya Kitulo kuwa hifadhi ya Taifa.
Miaka 100 mbele kwa kasi ya Wamasai kuzaliana kutakuwa na uhifafhi tena Ngorongoro?
Kila miaka 10 wanajidabo. Miaka 100 mbele watajidabo mara ngapi?
Rais una mamlaka kubadili matumizi ya ardhi kadri utakavyo kwa maslahi ya umma. Mtu ana kijumba cha udongo au mavi ya mbuzi unamjengea nyumba ya kisasa unamwamisha kwa gharama za serikali lakini wapuuzi wanasiasa uchwara wanakutilia kelele.

Ukibadili maamuzi kwasababu ya kelele za kisiasa ndipo sisi wananchi tunajua kuwa serikali ilikuwa haina nia njema na ule mpango au serikali ilikurupuka au wewe ulikuwa na maslahi binafsi na huo mpango.

Simamia unachokiamini, usitishwe na kauli za kwamba utapoteza kura. Kura ni nini mbele ya maslahi ya taifa? Vijiji vingapi wananchi wamesogezwa (kuhamishwa) mbali na hifadhi bila fidia?

Nitakachokipinga ni uuzwaji wa rasilimali tu lakini kama wanahamishwa kwa lengo la uhifafhi sawa. Wahamishwe, walipwe wakaazi wa zamani tu, kaya walizohamia hivi karibuni watimuliwe, wasipewe hata Senti.

Mbona kipindi cha Magufuli watu walikuwa wanatii amri haraka? Kama hutaki kutumia uamiri jeshi mkuu ulionao ni vyema upumzike. Watanzania bila kuwanyoosha hawanyooki. Hata ukigawa sembe kg 25 kila nyumba lazima Wapinzani tutakuparua. Usifanye jambo na baadaye kubadili kwasababu ya kelele.
Kwani wakiendelea kuishi au wakihama wewe unanufaika na nini.wao wenyewe waliamua kuishi huko Leo unaleta chuki utazani wanaishi mgongoni kwako.
 
Hawa si ndio wanamuingiza chaka mama ili achukiwe.Jamani yule ni mama yetu tumhurumie sometime lawama tunazo mpa za maamzi anayo fanya ni ushauri mbaya wa wanafiki wanaompa ili aharibu na akiharibu wanaenda kuchekea chooni🤣
Likifanyika jema anasifiwa, ila huu ubaya unataka wasaidizi ndio waubebe. Rais samia anawajibika kwa kwa uovu wote unaotokea katika taifa hili.
 
Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi?

Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio kujitangaza.

Wamasai sio special katika taifa hili. Jamii ya Wawanji waliokuwa wakiishi kwenye hifadhi ya Kitulo kabla ya kuwa National Park waliondolewa kwenye hifadhi mara tu baada ya Kitulo kuwa hifadhi ya Taifa.
Miaka 100 mbele kwa kasi ya Wamasai kuzaliana kutakuwa na uhifafhi tena Ngorongoro?
Kila miaka 10 wanajidabo. Miaka 100 mbele watajidabo mara ngapi?
Rais una mamlaka kubadili matumizi ya ardhi kadri utakavyo kwa maslahi ya umma. Mtu ana kijumba cha udongo au mavi ya mbuzi unamjengea nyumba ya kisasa unamwamisha kwa gharama za serikali lakini wapuuzi wanasiasa uchwara wanakutilia kelele.

Ukibadili maamuzi kwasababu ya kelele za kisiasa ndipo sisi wananchi tunajua kuwa serikali ilikuwa haina nia njema na ule mpango au serikali ilikurupuka au wewe ulikuwa na maslahi binafsi na huo mpango.

Simamia unachokiamini, usitishwe na kauli za kwamba utapoteza kura. Kura ni nini mbele ya maslahi ya taifa? Vijiji vingapi wananchi wamesogezwa (kuhamishwa) mbali na hifadhi bila fidia?

Nitakachokipinga ni uuzwaji wa rasilimali tu lakini kama wanahamishwa kwa lengo la uhifafhi sawa. Wahamishwe, walipwe wakaazi wa zamani tu, kaya walizohamia hivi karibuni watimuliwe, wasipewe hata Senti.

Mbona kipindi cha Magufuli watu walikuwa wanatii amri haraka? Kama hutaki kutumia uamiri jeshi mkuu ulionao ni vyema upumzike. Watanzania bila kuwanyoosha hawanyooki. Hata ukigawa sembe kg 25 kila nyumba lazima Wapinzani tutakuparua. Usifanye jambo na baadaye kubadili kwasababu ya kelele.
samia ana akili sana hawezi kuufata ushauli wako maana ni ushauli unaoweza kumuondoa madarakani hata kabla ya uchaguzi.
 
Acha unafiki ww kwa nn wabongo tunakua wasaga sumu!.Roho mbayaaa ww.. unaona wamasai kupelekwa mkoa mwingine ambako sio asili yao japo ni tz ni sawa!!!.Rais kapata ushauri mzuri sana waachwe wakae ilipo asili yao ww kinakuuma nn jitie dole basi😎
Hili ulilo lisema hapa halina maana apo Dsm wapo watu kibao na hawana asili ya hapo Mimi nipo mbeya naishi .vyedi tu ila nilitokea Tanga
 
Mbona kipindi cha Magufuli watu walikuwa wanatii amri haraka? Kama hutaki kutumia uamiri jeshi mkuu ulionao ni vyema upumzike. Watanzania bila kuwanyoosha hawanyooki. Hata ukigawa sembe kg 25 kila nyumba lazima Wapinzani tutakuparua. Usifanye jambo na baadaye kubadili kwasababu ya kelele.
Wamasai sio special! Kelele za wapinzani Raisi zisikutoe kwenye reli.
 
Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi?

Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio kujitangaza.

Wamasai sio special katika taifa hili. Jamii ya Wawanji waliokuwa wakiishi kwenye hifadhi ya Kitulo kabla ya kuwa National Park waliondolewa kwenye hifadhi mara tu baada ya Kitulo kuwa hifadhi ya Taifa.
Miaka 100 mbele kwa kasi ya Wamasai kuzaliana kutakuwa na uhifafhi tena Ngorongoro?
Kila miaka 10 wanajidabo. Miaka 100 mbele watajidabo mara ngapi?
Rais una mamlaka kubadili matumizi ya ardhi kadri utakavyo kwa maslahi ya umma. Mtu ana kijumba cha udongo au mavi ya mbuzi unamjengea nyumba ya kisasa unamwamisha kwa gharama za serikali lakini wapuuzi wanasiasa uchwara wanakutilia kelele.

Ukibadili maamuzi kwasababu ya kelele za kisiasa ndipo sisi wananchi tunajua kuwa serikali ilikuwa haina nia njema na ule mpango au serikali ilikurupuka au wewe ulikuwa na maslahi binafsi na huo mpango.

Simamia unachokiamini, usitishwe na kauli za kwamba utapoteza kura. Kura ni nini mbele ya maslahi ya taifa? Vijiji vingapi wananchi wamesogezwa (kuhamishwa) mbali na hifadhi bila fidia?

Nitakachokipinga ni uuzwaji wa rasilimali tu lakini kama wanahamishwa kwa lengo la uhifafhi sawa. Wahamishwe, walipwe wakaazi wa zamani tu, kaya walizohamia hivi karibuni watimuliwe, wasipewe hata Senti.

Mbona kipindi cha Magufuli watu walikuwa wanatii amri haraka? Kama hutaki kutumia uamiri jeshi mkuu ulionao ni vyema upumzike. Watanzania bila kuwanyoosha hawanyooki. Hata ukigawa sembe kg 25 kila nyumba lazima Wapinzani tutakuparua. Usifanye jambo na baadaye kubadili kwasababu ya kelele.
muingizeni chaka tu huyo jini jexebel!
 
Back
Top Bottom