Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
-
- #41
Alivyofuta kata zote 11 hakuwa na akili timamu?samia ana akili sana hawezi kuufata ushauli wako maana ni ushauli unaoweza kumuondoa madarakani hata kabla ya uchaguzi.
Miaka 20 ijayo hifadhi itakua ni ya kazi gani unaona kabisa kufika huko maliasili zote zitakuwa mikononi mwa mataifa ya kigeni.Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi?
Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio kujitangaza.
Wamasai sio special katika taifa hili. Jamii ya Wawanji waliokuwa wakiishi kwenye hifadhi ya Kitulo kabla ya kuwa National Park waliondolewa kwenye hifadhi mara tu baada ya Kitulo kuwa hifadhi ya Taifa.
Miaka 100 mbele kwa kasi ya Wamasai kuzaliana kutakuwa na uhifafhi tena Ngorongoro?
Kila miaka 10 wanajidabo. Miaka 100 mbele watajidabo mara ngapi?
Rais una mamlaka kubadili matumizi ya ardhi kadri utakavyo kwa maslahi ya umma. Mtu ana kijumba cha udongo au mavi ya mbuzi unamjengea nyumba ya kisasa unamwamisha kwa gharama za serikali lakini wapuuzi wanasiasa uchwara wanakutilia kelele.
Ukibadili maamuzi kwasababu ya kelele za kisiasa ndipo sisi wananchi tunajua kuwa serikali ilikuwa haina nia njema na ule mpango au serikali ilikurupuka au wewe ulikuwa na maslahi binafsi na huo mpango.
Simamia unachokiamini, usitishwe na kauli za kwamba utapoteza kura. Kura ni nini mbele ya maslahi ya taifa? Vijiji vingapi wananchi wamesogezwa (kuhamishwa) mbali na hifadhi bila fidia?
Nitakachokipinga ni uuzwaji wa rasilimali tu lakini kama wanahamishwa kwa lengo la uhifafhi sawa. Wahamishwe, walipwe wakaazi wa zamani tu, kaya walizohamia hivi karibuni watimuliwe, wasipewe hata Senti.
Mbona kipindi cha Magufuli watu walikuwa wanatii amri haraka? Kama hutaki kutumia uamiri jeshi mkuu ulionao ni vyema upumzike. Watanzania bila kuwanyoosha hawanyooki. Hata ukigawa sembe kg 25 kila nyumba lazima Wapinzani tutakuparua. Usifanye jambo na baadaye kubadili kwasababu ya kelele.
Hawa watu usiasa umewatawala.Park maana yake ni baada ya uhuru na sisi tulipoanza kujitegemea ndipo Sasa tukaweka Authority ya kuweza kumanage hiyo Rasimali ambayo tumepewa na Mungu tokea zama na zama, besides hata kipindi Cha ukoloni mbuga hiyo ilikua inathaminiwa vile vile.
So,ni jukumu letu kuilinda mbuga hiyo ili wajukuu wa wajukuu wetu waweze nao kuja kunufaika nayo.
Hao wamasai hawana shule,waelimishwe zaidi wakiwa wakadi wapigwe bakora waondolewe hapo .
Najaribu kukuelewa mkuu ila nilitaka kujua tu hizo mamlaka mpk zinagawanywa ziliganywa ikiwa wa wamasai wanaishi hapo? Au baada ya kugawanywa na wao wakakita kambi hapoPark maana yake ni baada ya uhuru na sisi tulipoanza kujitegemea ndipo Sasa tukaweka Authority ya kuweza kumanage hiyo Rasimali ambayo tumepewa na Mungu tokea zama na zama, besides hata kipindi Cha ukoloni mbuga hiyo ilikua inathaminiwa vile vile.
So,ni jukumu letu kuilinda mbuga hiyo ili wajukuu wa wajukuu wetu waweze nao kuja kunufaika nayo.
Hao wamasai hawana shule,waelimishwe zaidi wakiwa wakadi wapigwe bakora waondolewe hapo .
Mimi sitaegemea upande wowote nitakaa kati kwenye ukweli, kuligana na katiba ya nchi yetu wamasai walipaswa kuondoka kama ni eneo nyeti kwa nchi yetu na serikali haiwezekani wakatae wao wengine wakubali,Nikuulize swali,
Wananchi Huwa wanampigia kura Amiri jeshi mkuu au Rais?
Amiri jeshi mkuu ni panapokuwa na vita, kuhusu wananchi lazima maridhiano na Sheria za nchi zifutwe.
Maasai ni wamiliki wa ardhi ya Ngorongoro kisheria, hayo mabavu ya kijeshi hayahitajiki Ngorongoro.
Tumia akili kama unazo!!
Eti mbona wakati wa Magufuli watu walikuwa wanatii, huyo Magufuli leo yuko wapi?Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi?
Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio kujitangaza.
Wamasai sio special katika taifa hili. Jamii ya Wawanji waliokuwa wakiishi kwenye hifadhi ya Kitulo kabla ya kuwa National Park waliondolewa kwenye hifadhi mara tu baada ya Kitulo kuwa hifadhi ya Taifa.
Miaka 100 mbele kwa kasi ya Wamasai kuzaliana kutakuwa na uhifafhi tena Ngorongoro?
Kila miaka 10 wanajidabo. Miaka 100 mbele watajidabo mara ngapi?
Rais una mamlaka kubadili matumizi ya ardhi kadri utakavyo kwa maslahi ya umma. Mtu ana kijumba cha udongo au mavi ya mbuzi unamjengea nyumba ya kisasa unamwamisha kwa gharama za serikali lakini wapuuzi wanasiasa uchwara wanakutilia kelele.
Ukibadili maamuzi kwasababu ya kelele za kisiasa ndipo sisi wananchi tunajua kuwa serikali ilikuwa haina nia njema na ule mpango au serikali ilikurupuka au wewe ulikuwa na maslahi binafsi na huo mpango.
Simamia unachokiamini, usitishwe na kauli za kwamba utapoteza kura. Kura ni nini mbele ya maslahi ya taifa? Vijiji vingapi wananchi wamesogezwa (kuhamishwa) mbali na hifadhi bila fidia?
Nitakachokipinga ni uuzwaji wa rasilimali tu lakini kama wanahamishwa kwa lengo la uhifafhi sawa. Wahamishwe, walipwe wakaazi wa zamani tu, kaya walizohamia hivi karibuni watimuliwe, wasipewe hata Senti.
Mbona kipindi cha Magufuli watu walikuwa wanatii amri haraka? Kama hutaki kutumia uamiri jeshi mkuu ulionao ni vyema upumzike. Watanzania bila kuwanyoosha hawanyooki. Hata ukigawa sembe kg 25 kila nyumba lazima Wapinzani tutakuparua. Usifanye jambo na baadaye kubadili kwasababu ya kelele.
Eti wao wamasai Gani waliokataa,na wale wenzao waliokubali ni wamasai Gani.Mimi sitaegemea upande wowote nitakaa kati kwenye ukweli, kuligana na katiba ya nchi yetu wamasai walipaswa kuondoka kama ni eneo nyeti kwa nchi yetu na serikali haiwezekani wakatae wao wengine wakubali,
Kwanza Unajua sababu ya kuwaamisha hao wamasai hifadhini au unaleta ubishibtuSwali je walihamishwa kuja dar? ama wamekuja wao kwa mapenzi yao..... kama ww ulivyo toka tanga ukaenda mbeya?
Kwanza Unajua sababu ya kuwaamisha hao wamasai hifadhini au unaleta ubishi
Dah acha dharau ww yaan nikae miaka kumi jf leo hii uje unizodoe sijui kwa nn wamasai wanatolewa ngorongoro ???dah hebu tuheshimiane basi.Kwanza Unajua sababu ya kuwaamisha hao wamasai hifadhini au unaleta ubishib
wanatest ukali wa sumu kwa kuionjaAlivyofuta kata zote 11 hakuwa na akili timamu?
Je, aliyemshauri kufuta kata na vijiji vyote vya Ngorongoro alikuwa na akili kubwa zaidi ya Samia?
Kipindi bwawa la umeme kule rufiji linaanza kutengenezwa upinzani walikuwa wanapinga Kwa sababu zile zile ambazo Leo serikal wanazitumi kuwaondoa wamasai lakini bado upinzan wanapinda tenaDah acha dharau ww yaan nikae miaka kumi jf leo hii uje unizodoe sijui kwa nn wamasai wanatolewa ngorongoro ???dah hebu tuheshimiane basi.
Utakua umetumwa na waarabu na wenzao wamarekani au pengine ni mnufaika kwenye huu mpango mkubwa kuwahamisha wamasai. Watanzania tunasema hamtafauli kunuua au kupora ardhi ya watanzania. Hili likitokea ndio mwanzo wa kuvurugika amani tanzania. Na wala watanzani hawatakubali kwa umoja wao vibaraka kugawa ardhi yao kwa wageni kwa kisingizio cha uwekezaji au lolote lile . Na ndio maana tunapinga mpango wa kuwapa wageni kuendesha bandari zetu au uwekezaji zozote za umma maana kwa hali ya sasa ni kisingizio tu cha kugawa au wageni kupora mali zetu asili. Wenyewe tunaamini chini wa serikali nzuri yenye uzalendo hatuwezi kushindwa kuongoza taasi zetu.Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi?
Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio kujitangaza.
Wamasai sio special katika taifa hili. Jamii ya Wawanji waliokuwa wakiishi kwenye hifadhi ya Kitulo kabla ya kuwa National Park waliondolewa kwenye hifadhi mara tu baada ya Kitulo kuwa hifadhi ya Taifa.
Miaka 100 mbele kwa kasi ya Wamasai kuzaliana kutakuwa na uhifafhi tena Ngorongoro?
Kila miaka 10 wanajidabo. Miaka 100 mbele watajidabo mara ngapi?
Rais una mamlaka kubadili matumizi ya ardhi kadri utakavyo kwa maslahi ya umma. Mtu ana kijumba cha udongo au mavi ya mbuzi unamjengea nyumba ya kisasa unamwamisha kwa gharama za serikali lakini wapuuzi wanasiasa uchwara wanakutilia kelele.
Ukibadili maamuzi kwasababu ya kelele za kisiasa ndipo sisi wananchi tunajua kuwa serikali ilikuwa haina nia njema na ule mpango au serikali ilikurupuka au wewe ulikuwa na maslahi binafsi na huo mpango.
Simamia unachokiamini, usitishwe na kauli za kwamba utapoteza kura. Kura ni nini mbele ya maslahi ya taifa? Vijiji vingapi wananchi wamesogezwa (kuhamishwa) mbali na hifadhi bila fidia?
Nitakachokipinga ni uuzwaji wa rasilimali tu lakini kama wanahamishwa kwa lengo la uhifafhi sawa. Wahamishwe, walipwe wakaazi wa zamani tu, kaya walizohamia hivi karibuni watimuliwe, wasipewe hata Senti.
Mbona kipindi cha Magufuli watu walikuwa wanatii amri haraka? Kama hutaki kutumia uamiri jeshi mkuu ulionao ni vyema upumzike. Watanzania bila kuwanyoosha hawanyooki. Hata ukigawa sembe kg 25 kila nyumba lazima Wapinzani tutakuparua. Usifanye jambo na baadaye kubadili kwasababu ya kelele.
Utakua umetumwa na waarabu na wenzao wamarekani au pengine ni mnufaika kwenye huu mpango mkubwa kuwahamisha wamasai. Watanzania tunasema hamtafauli kunuua au kupora ardhi ya watanzania. Hili likitokea ndio mwanzo wa kuvurugika amani tanzania. Na wala watanzani hawatakubali kwa umoja wao vibaraka kugawa ardhi yao kwa wageni kwa kisingizio cha uwekezaji au lolote lile . Na ndio maana tunapinga mpango wa kuwapa wageni kuendesha bandari zetu au uwekezaji zozote za umma maana kwa hali ya sasa ni kisingizio tu cha kugawa au wageni kupora mali zetu asili. Wenyewe tunaamini chini wa serikali nzuri yenye uzalendo hatuwezi kushindwa kuongoza taasi zetu.Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi?
Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio kujitangaza.
Wamasai sio special katika taifa hili. Jamii ya Wawanji waliokuwa wakiishi kwenye hifadhi ya Kitulo kabla ya kuwa National Park waliondolewa kwenye hifadhi mara tu baada ya Kitulo kuwa hifadhi ya Taifa.
Miaka 100 mbele kwa kasi ya Wamasai kuzaliana kutakuwa na uhifafhi tena Ngorongoro?
Kila miaka 10 wanajidabo. Miaka 100 mbele watajidabo mara ngapi?
Rais una mamlaka kubadili matumizi ya ardhi kadri utakavyo kwa maslahi ya umma. Mtu ana kijumba cha udongo au mavi ya mbuzi unamjengea nyumba ya kisasa unamwamisha kwa gharama za serikali lakini wapuuzi wanasiasa uchwara wanakutilia kelele.
Ukibadili maamuzi kwasababu ya kelele za kisiasa ndipo sisi wananchi tunajua kuwa serikali ilikuwa haina nia njema na ule mpango au serikali ilikurupuka au wewe ulikuwa na maslahi binafsi na huo mpango.
Simamia unachokiamini, usitishwe na kauli za kwamba utapoteza kura. Kura ni nini mbele ya maslahi ya taifa? Vijiji vingapi wananchi wamesogezwa (kuhamishwa) mbali na hifadhi bila fidia?
Nitakachokipinga ni uuzwaji wa rasilimali tu lakini kama wanahamishwa kwa lengo la uhifafhi sawa. Wahamishwe, walipwe wakaazi wa zamani tu, kaya walizohamia hivi karibuni watimuliwe, wasipewe hata Senti.
Mbona kipindi cha Magufuli watu walikuwa wanatii amri haraka? Kama hutaki kutumia uamiri jeshi mkuu ulionao ni vyema upumzike. Watanzania bila kuwanyoosha hawanyooki. Hata ukigawa sembe kg 25 kila nyumba lazima Wapinzani tutakuparua. Usifanye jambo na baadaye kubadili kwasababu ya kelele.
Utakua umetumwa na waarabu na wenzao wamarekani au pengine ni mnufaika kwenye huu mpango mkubwa kuwahamisha wamasai. Watanzania tunasema hamtafauli kunuua au kupora ardhi ya watanzania. Hili likitokea ndio mwanzo wa kuvurugika amani tanzania. Na wala watanzani hawatakubali kwa umoja wao vibaraka kugawa ardhi yao kwa wageni kwa kisingizio cha uwekezaji au lolote lile . Na ndio maana tunapinga mpango wa kuwapa wageni kuendesha bandari zetu au uwekezaji zozote za umma maana kwa hali ya sasa ni kisingizio tu cha kugawa au wageni kupora mali zetu asili. Wenyewe tunaamini chini wa serikali nzuri yenye uzalendo hatuwezi kushindwa kuongoza taasi zetu...nakuona let the scrip inKama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi?
Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio kujitangaza.
Wamasai sio special katika taifa hili. Jamii ya Wawanji waliokuwa wakiishi kwenye hifadhi ya Kitulo kabla ya kuwa National Park waliondolewa kwenye hifadhi mara tu baada ya Kitulo kuwa hifadhi ya Taifa.
Miaka 100 mbele kwa kasi ya Wamasai kuzaliana kutakuwa na uhifafhi tena Ngorongoro?
Kila miaka 10 wanajidabo. Miaka 100 mbele watajidabo mara ngapi?
Rais una mamlaka kubadili matumizi ya ardhi kadri utakavyo kwa maslahi ya umma. Mtu ana kijumba cha udongo au mavi ya mbuzi unamjengea nyumba ya kisasa unamwamisha kwa gharama za serikali lakini wapuuzi wanasiasa uchwara wanakutilia kelele.
Ukibadili maamuzi kwasababu ya kelele za kisiasa ndipo sisi wananchi tunajua kuwa serikali ilikuwa haina nia njema na ule mpango au serikali ilikurupuka au wewe ulikuwa na maslahi binafsi na huo mpango.
Simamia unachokiamini, usitishwe na kauli za kwamba utapoteza kura. Kura ni nini mbele ya maslahi ya taifa? Vijiji vingapi wananchi wamesogezwa (kuhamishwa) mbali na hifadhi bila fidia?
Nitakachokipinga ni uuzwaji wa rasilimali tu lakini kama wanahamishwa kwa lengo la uhifafhi sawa. Wahamishwe, walipwe wakaazi wa zamani tu, kaya walizohamia hivi karibuni watimuliwe, wasipewe hata Senti.
Mbona kipindi cha Magufuli watu walikuwa wanatii amri haraka? Kama hutaki kutumia uamiri jeshi mkuu ulionao ni vyema upumzike. Watanzania bila kuwanyoosha hawanyooki. Hata ukigawa sembe kg 25 kila nyumba lazima Wapinzani tutakuparua. Usifanye jambo na baadaye kubadili kwasababu ya kelele.
Utakua umetumwa na waarabu na wenzao wamarekani au pengine ni mnufaika kwenye huu mpango mkubwa kuwahamisha wamasai. Watanzania tunasema hamtafauli kunuua au kupora ardhi ya watanzania. Hili likitokea ndio mwanzo wa kuvurugika amani tanzania. Na wala watanzani hawatakubali kwa umoja wao vibaraka kugawa ardhi yao kwa wageni kwa kisingizio cha uwekezaji au lolote lile . Na ndio maana tunapinga mpango wa kuwapa wageni kuendesha bandari zetu au uwekezaji zozote za umma maana kwa hali ya sasa ni kisingizio tu cha kugawa au wageni kupora mali zetu asili. Wenyewe tunaamini chini wa serikali nzuri yenye uzalendo hatuwezi kushindwa kuongoza taasi zetu. Acha free speech wewe.Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi?