Rais Samia wewe ni Amiri Jeshi mkuu, usibadili maamuzi kwasababu ya upepo wa kisiasa. Wamasai watimuliwe Ngorongoro

samia ana akili sana hawezi kuufata ushauli wako maana ni ushauli unaoweza kumuondoa madarakani hata kabla ya uchaguzi.
Alivyofuta kata zote 11 hakuwa na akili timamu?
Je, aliyemshauri kufuta kata na vijiji vyote vya Ngorongoro alikuwa na akili kubwa zaidi ya Samia?
 
Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi?

Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio kujitangaza.

Wamasai sio special katika taifa hili. Jamii ya Wawanji waliokuwa wakiishi kwenye hifadhi ya Kitulo kabla ya kuwa National Park waliondolewa kwenye hifadhi mara tu baada ya Kitulo kuwa hifadhi ya Taifa.
Miaka 100 mbele kwa kasi ya Wamasai kuzaliana kutakuwa na uhifafhi tena Ngorongoro?
Kila miaka 10 wanajidabo. Miaka 100 mbele watajidabo mara ngapi?
Rais una mamlaka kubadili matumizi ya ardhi kadri utakavyo kwa maslahi ya umma. Mtu ana kijumba cha udongo au mavi ya mbuzi unamjengea nyumba ya kisasa unamwamisha kwa gharama za serikali lakini wapuuzi wanasiasa uchwara wanakutilia kelele.

Ukibadili maamuzi kwasababu ya kelele za kisiasa ndipo sisi wananchi tunajua kuwa serikali ilikuwa haina nia njema na ule mpango au serikali ilikurupuka au wewe ulikuwa na maslahi binafsi na huo mpango.

Simamia unachokiamini, usitishwe na kauli za kwamba utapoteza kura. Kura ni nini mbele ya maslahi ya taifa? Vijiji vingapi wananchi wamesogezwa (kuhamishwa) mbali na hifadhi bila fidia?

Nitakachokipinga ni uuzwaji wa rasilimali tu lakini kama wanahamishwa kwa lengo la uhifafhi sawa. Wahamishwe, walipwe wakaazi wa zamani tu, kaya walizohamia hivi karibuni watimuliwe, wasipewe hata Senti.

Mbona kipindi cha Magufuli watu walikuwa wanatii amri haraka? Kama hutaki kutumia uamiri jeshi mkuu ulionao ni vyema upumzike. Watanzania bila kuwanyoosha hawanyooki. Hata ukigawa sembe kg 25 kila nyumba lazima Wapinzani tutakuparua. Usifanye jambo na baadaye kubadili kwasababu ya kelele.
Miaka 20 ijayo hifadhi itakua ni ya kazi gani unaona kabisa kufika huko maliasili zote zitakuwa mikononi mwa mataifa ya kigeni.
Kama una cha kushauri basi shauri juu ya nchi kujitathmini na aiina ya mikataba inayoingia
 
Park maana yake ni baada ya uhuru na sisi tulipoanza kujitegemea ndipo Sasa tukaweka Authority ya kuweza kumanage hiyo Rasimali ambayo tumepewa na Mungu tokea zama na zama, besides hata kipindi Cha ukoloni mbuga hiyo ilikua inathaminiwa vile vile.

So,ni jukumu letu kuilinda mbuga hiyo ili wajukuu wa wajukuu wetu waweze nao kuja kunufaika nayo.

Hao wamasai hawana shule,waelimishwe zaidi wakiwa wakadi wapigwe bakora waondolewe hapo .
Hawa watu usiasa umewatawala.
Mimi sijawahi kuiunga mkono CCM kwenye mambo mengi, niko mlengo wa upinzani ila sipingi tu kwakuwa ni mpinzani.
Kwa kasi yao ya kuzaliana miaka 200 mbele Ngorongoro itakuwa bado hifadhi?
Maana kila atakayezaliwa atasema this is my home before independence.
Wahamishwe, tena ingekuwa kipindi cha Magufuli hata nyumba wasingejengewa, wangehamishwa kwa nguvu na bure kabisa.
Rais si tahira kiwango hicho kwamba akubali mabilioni yatumike kuhamisha wamasai Ngorongoro huku nchi isinufaike na chochote kutoka NCA
 
Park maana yake ni baada ya uhuru na sisi tulipoanza kujitegemea ndipo Sasa tukaweka Authority ya kuweza kumanage hiyo Rasimali ambayo tumepewa na Mungu tokea zama na zama, besides hata kipindi Cha ukoloni mbuga hiyo ilikua inathaminiwa vile vile.

So,ni jukumu letu kuilinda mbuga hiyo ili wajukuu wa wajukuu wetu waweze nao kuja kunufaika nayo.

Hao wamasai hawana shule,waelimishwe zaidi wakiwa wakadi wapigwe bakora waondolewe hapo .
Najaribu kukuelewa mkuu ila nilitaka kujua tu hizo mamlaka mpk zinagawanywa ziliganywa ikiwa wa wamasai wanaishi hapo? Au baada ya kugawanywa na wao wakakita kambi hapo
 
Nikuulize swali,

Wananchi Huwa wanampigia kura Amiri jeshi mkuu au Rais?

Amiri jeshi mkuu ni panapokuwa na vita, kuhusu wananchi lazima maridhiano na Sheria za nchi zifutwe.

Maasai ni wamiliki wa ardhi ya Ngorongoro kisheria, hayo mabavu ya kijeshi hayahitajiki Ngorongoro.

Tumia akili kama unazo!!
Mimi sitaegemea upande wowote nitakaa kati kwenye ukweli, kuligana na katiba ya nchi yetu wamasai walipaswa kuondoka kama ni eneo nyeti kwa nchi yetu na serikali haiwezekani wakatae wao wengine wakubali,
 
Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi?

Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio kujitangaza.

Wamasai sio special katika taifa hili. Jamii ya Wawanji waliokuwa wakiishi kwenye hifadhi ya Kitulo kabla ya kuwa National Park waliondolewa kwenye hifadhi mara tu baada ya Kitulo kuwa hifadhi ya Taifa.
Miaka 100 mbele kwa kasi ya Wamasai kuzaliana kutakuwa na uhifafhi tena Ngorongoro?
Kila miaka 10 wanajidabo. Miaka 100 mbele watajidabo mara ngapi?
Rais una mamlaka kubadili matumizi ya ardhi kadri utakavyo kwa maslahi ya umma. Mtu ana kijumba cha udongo au mavi ya mbuzi unamjengea nyumba ya kisasa unamwamisha kwa gharama za serikali lakini wapuuzi wanasiasa uchwara wanakutilia kelele.

Ukibadili maamuzi kwasababu ya kelele za kisiasa ndipo sisi wananchi tunajua kuwa serikali ilikuwa haina nia njema na ule mpango au serikali ilikurupuka au wewe ulikuwa na maslahi binafsi na huo mpango.

Simamia unachokiamini, usitishwe na kauli za kwamba utapoteza kura. Kura ni nini mbele ya maslahi ya taifa? Vijiji vingapi wananchi wamesogezwa (kuhamishwa) mbali na hifadhi bila fidia?

Nitakachokipinga ni uuzwaji wa rasilimali tu lakini kama wanahamishwa kwa lengo la uhifafhi sawa. Wahamishwe, walipwe wakaazi wa zamani tu, kaya walizohamia hivi karibuni watimuliwe, wasipewe hata Senti.

Mbona kipindi cha Magufuli watu walikuwa wanatii amri haraka? Kama hutaki kutumia uamiri jeshi mkuu ulionao ni vyema upumzike. Watanzania bila kuwanyoosha hawanyooki. Hata ukigawa sembe kg 25 kila nyumba lazima Wapinzani tutakuparua. Usifanye jambo na baadaye kubadili kwasababu ya kelele.
Eti mbona wakati wa Magufuli watu walikuwa wanatii, huyo Magufuli leo yuko wapi?
 
Ninyi ndio mnaopenda kumpotosha Rais. Rais Samia alipoanza alionesha uungwana wa hali juu kiasi kwamba alionekana kuwa chaguo la watu walio wengi ndani ya CCM na ndani ya vyama vya upinzani. Taratibu, ushauri wenu mbaya ukamfanya aanze kutenda tofauti ni dhamira yake ya awali.

Wamasai ni watu kama walivyo wengine. Nani angependa leo hii ahamishwe toka Morogoro mpaka Mpanda, au toka Tanga hadi Kigoma. Hata kama baadhi ya wamasai wa Ngorongoro walistahili kuhamishwa, nasi wangepelekwa maeneo yasiyo mbali sana na mazingira ya asili yao.

Nalenda niamini uamuzi wa Rais Samia ni wa dhati, na umezingatia utu, na kama ndivyo, nina imani watu wote ndani na nje ya Tanzania, wataunga mkono uamyzi wa Rais Samia.

Hongera Rais Samia kwa kuongozwa na hekima katika kubatilisha maamuzi yenye kuwaumiza wanadamu wenzetu.
 
Dah acha dharau ww yaan nikae miaka kumi jf leo hii uje unizodoe sijui kwa nn wamasai wanatolewa ngorongoro ???dah hebu tuheshimiane basi.
Kipindi bwawa la umeme kule rufiji linaanza kutengenezwa upinzani walikuwa wanapinga Kwa sababu zile zile ambazo Leo serikal wanazitumi kuwaondoa wamasai lakini bado upinzan wanapinda tena

Tz bado kwenye vyama vya siasa
 
Wimbo wa kuabudu na kumsifia mgombea baba Mobutu Sese Seko na chama tawala MPR cha iliyo kuwa nchi ya DR Congo (Zaire) chini ya utawala wa kidiktekta ambayo hata hivyo uliweza kung'olewa na askari watoto child (soldiers) waliongozwa na Mzee Laurent Kabila . ...

Candidat Papa Mobutu "Lokuta Monene MPR EKOKUFA "

View: https://m.youtube.com/watch?v=Hv_wCo5PBY4
 
Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi?

Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio kujitangaza.

Wamasai sio special katika taifa hili. Jamii ya Wawanji waliokuwa wakiishi kwenye hifadhi ya Kitulo kabla ya kuwa National Park waliondolewa kwenye hifadhi mara tu baada ya Kitulo kuwa hifadhi ya Taifa.
Miaka 100 mbele kwa kasi ya Wamasai kuzaliana kutakuwa na uhifafhi tena Ngorongoro?
Kila miaka 10 wanajidabo. Miaka 100 mbele watajidabo mara ngapi?
Rais una mamlaka kubadili matumizi ya ardhi kadri utakavyo kwa maslahi ya umma. Mtu ana kijumba cha udongo au mavi ya mbuzi unamjengea nyumba ya kisasa unamwamisha kwa gharama za serikali lakini wapuuzi wanasiasa uchwara wanakutilia kelele.

Ukibadili maamuzi kwasababu ya kelele za kisiasa ndipo sisi wananchi tunajua kuwa serikali ilikuwa haina nia njema na ule mpango au serikali ilikurupuka au wewe ulikuwa na maslahi binafsi na huo mpango.

Simamia unachokiamini, usitishwe na kauli za kwamba utapoteza kura. Kura ni nini mbele ya maslahi ya taifa? Vijiji vingapi wananchi wamesogezwa (kuhamishwa) mbali na hifadhi bila fidia?

Nitakachokipinga ni uuzwaji wa rasilimali tu lakini kama wanahamishwa kwa lengo la uhifafhi sawa. Wahamishwe, walipwe wakaazi wa zamani tu, kaya walizohamia hivi karibuni watimuliwe, wasipewe hata Senti.

Mbona kipindi cha Magufuli watu walikuwa wanatii amri haraka? Kama hutaki kutumia uamiri jeshi mkuu ulionao ni vyema upumzike. Watanzania bila kuwanyoosha hawanyooki. Hata ukigawa sembe kg 25 kila nyumba lazima Wapinzani tutakuparua. Usifanye jambo na baadaye kubadili kwasababu ya kelele.
Utakua umetumwa na waarabu na wenzao wamarekani au pengine ni mnufaika kwenye huu mpango mkubwa kuwahamisha wamasai. Watanzania tunasema hamtafauli kunuua au kupora ardhi ya watanzania. Hili likitokea ndio mwanzo wa kuvurugika amani tanzania. Na wala watanzani hawatakubali kwa umoja wao vibaraka kugawa ardhi yao kwa wageni kwa kisingizio cha uwekezaji au lolote lile . Na ndio maana tunapinga mpango wa kuwapa wageni kuendesha bandari zetu au uwekezaji zozote za umma maana kwa hali ya sasa ni kisingizio tu cha kugawa au wageni kupora mali zetu asili. Wenyewe tunaamini chini wa serikali nzuri yenye uzalendo hatuwezi kushindwa kuongoza taasi zetu.
 
Utakua umetumwa na waarabu na wenzao wamarekani au pengine ni mnufaika kwenye huu mpango mkubwa kuwahamisha wamasai. Watanzania tunasema hamtafauli kunuua au kupora ardhi ya watanzania. Hili likitokea ndio mwanzo wa kuvurugika amani tanzania. Na wala watanzani hawatakubali kwa umoja wao vibaraka kugawa ardhi yao kwa wageni kwa kisingizio cha uwekezaji au lolote lile . Na ndio maana tunapinga mpango wa kuwapa wageni kuendesha bandari zetu au uwekezaji zozote za umma maana kwa hali ya sasa ni kisingizio tu cha kugawa au wageni kupora mali zetu asili. Wenyewe tunaamini chini wa serikali nzuri yenye uzalendo hatuwezi kushindwa kuongoza taasi zetu...nakuona let the scrip in
 
Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi?

Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio kujitangaza.

Wamasai sio special katika taifa hili. Jamii ya Wawanji waliokuwa wakiishi kwenye hifadhi ya Kitulo kabla ya kuwa National Park waliondolewa kwenye hifadhi mara tu baada ya Kitulo kuwa hifadhi ya Taifa.
Miaka 100 mbele kwa kasi ya Wamasai kuzaliana kutakuwa na uhifafhi tena Ngorongoro?
Kila miaka 10 wanajidabo. Miaka 100 mbele watajidabo mara ngapi?
Rais una mamlaka kubadili matumizi ya ardhi kadri utakavyo kwa maslahi ya umma. Mtu ana kijumba cha udongo au mavi ya mbuzi unamjengea nyumba ya kisasa unamwamisha kwa gharama za serikali lakini wapuuzi wanasiasa uchwara wanakutilia kelele.

Ukibadili maamuzi kwasababu ya kelele za kisiasa ndipo sisi wananchi tunajua kuwa serikali ilikuwa haina nia njema na ule mpango au serikali ilikurupuka au wewe ulikuwa na maslahi binafsi na huo mpango.

Simamia unachokiamini, usitishwe na kauli za kwamba utapoteza kura. Kura ni nini mbele ya maslahi ya taifa? Vijiji vingapi wananchi wamesogezwa (kuhamishwa) mbali na hifadhi bila fidia?

Nitakachokipinga ni uuzwaji wa rasilimali tu lakini kama wanahamishwa kwa lengo la uhifafhi sawa. Wahamishwe, walipwe wakaazi wa zamani tu, kaya walizohamia hivi karibuni watimuliwe, wasipewe hata Senti.

Mbona kipindi cha Magufuli watu walikuwa wanatii amri haraka? Kama hutaki kutumia uamiri jeshi mkuu ulionao ni vyema upumzike. Watanzania bila kuwanyoosha hawanyooki. Hata ukigawa sembe kg 25 kila nyumba lazima Wapinzani tutakuparua. Usifanye jambo na baadaye kubadili kwasababu ya kelele.
Utakua umetumwa na waarabu na wenzao wamarekani au pengine ni mnufaika kwenye huu mpango mkubwa kuwahamisha wamasai. Watanzania tunasema hamtafauli kunuua au kupora ardhi ya watanzania. Hili likitokea ndio mwanzo wa kuvurugika amani tanzania. Na wala watanzani hawatakubali kwa umoja wao vibaraka kugawa ardhi yao kwa wageni kwa kisingizio cha uwekezaji au lolote lile . Na ndio maana tunapinga mpango wa kuwapa wageni kuendesha bandari zetu au uwekezaji zozote za umma maana kwa hali ya sasa ni kisingizio tu cha kugawa au wageni kupora mali zetu asili. Wenyewe tunaamini chini wa serikali nzuri yenye uzalendo hatuwezi kushindwa kuongoza taasi zetu. Acha free speech wewe.
 
Back
Top Bottom