PostGE2025 Rais Samia: Yaliyotokea yametutia DOA tuna kazi ya kutafuta fedha wenyewe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ili Mradi tu msiende kuwapa waarabu kuchimba dhahabu Serengeti... kama ndivyo kututayarisha kwamba tuanze kuwaleta watuunge katikati...
 
Tunaondoaje hilo doa bila kuanza upya? Hata tukibanana ndani kwa ndani hatutoboi
 
Nani kakulazimisha akupe msaada?.
. Si nyie ndio huwa mnaenda kujibebisha mpewe misaada kumbe tena huwa mnabinuliwa kwanza?
Hatuombi wao ndo hutubembeleza kwa kutuwekea condition kama hizo ili watupe ni mpaka turuhusu akina crimea mfilwe!!
 
Mkuu, push hii agenda. Na akina Mange na Sativa na Maria Sarungi waipush
Inavyoonekana, huwenda watu wakaanza kuibiwa hela na serikal kwenye account zao
Yeah ndio maana nimeomba watu waanze kuiweka akilini...

Inawezekana pia walianza kuchapisha hela kipindi cha uchaguzi
 
Damu za watu huwa haziendi bure
Kwanzia majuzi anafanya maamuzi ya kustaajabisha na kushangaza, Kwa lile la kumteua mwanaye kuwa naibu waziri, lingine speche zake amekuwa akijikanganya Sana, mara walio andamana siyo watanzania, mara yaliyotokea yametutia doa, all in all hii meli inaenda kugonga mwamba soon
 
Nani kakulazimisha akupe msaada?.
. Si nyie ndio huwa mnaenda kujibebisha mpewe misaada kumbe tena huwa mnabinuliwa kwanza?
Hatuombi wao ndo hutubembeleza kwa kutuwekea condition kama hizo ili watupe ni mpaka turuhusu akina crimea mfilwe!
 
Video inajieleza.
Halafu hiki kimama kishamba sana.

Yani anaacha kunyoosha maelezo kusema askari niliowatuma waue wameitia doa serikali anasema tumeitia doa serikali.

Kaitia doa ye na nani zaidi ya askari wake wauaji na yeye mwenyewe.

Na bado sisi tutaendelea kui sabotage serikali yake kwa kadri ya uwezo wetu.
 
haaahaaa na bado maji ataita mmaa hakuna tena fedha za anasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…