Moja kitaa watu wameshapigika balaa hata mlo mmoja sio wa uhakika; matozo kila kona na bado watu wana impunity na kufuja mali left, right and center...; Hilo mkuu nilikuwa najua tangia zamani litakuja hususan Gen Alpha wakiwa wakubwa... (Hata kabla ya kutokea yaliyotokea i.e. matatizo ya politically; economically hatuna majibu ya kesho yetu);In economic crisis watu wengi huungana
"yametutia doa kidogo" kumbe hili ni DOA DOGO ?Rais Samia Suluhu amesema hali iliyotokea nchini wakati wa uchaguzi mkuu imeitia doa nchi, na kwamba huenda ikapunguza sifa ya kupata mikopo kirahisi, hivyo ameagiza viongozi kutafuta zaidi fedha za ndani ili kutekeleza miradi.
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza baada ya kuwaapisha Mawaziri wateule, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 18 Novemba, 2025.
Nimepa taarifa kuwa hata yeye mwenyewe hapo awali alifichwa idadi sahihi ya vifo na amekuja kujua uhalisia wa vifo hivi karibuni na ameshangaa sana..Damu za watu huwa haziendi bure
Kwanzia majuzi anafanya maamuzi ya kustaajabisha na kushangaza, Kwa lile la kumteua mwanaye kuwa naibu waziri, lingine speche zake amekuwa akijikanganya Sana, mara walio andamana siyo watanzania, mara yaliyotokea yametutia doa, all in all hii meli inaenda kugonga mwamba soon
Rais Samia Suluhu amesema hali iliyotokea nchini wakati wa uchaguzi mkuu imeitia doa nchi, na kwamba huenda ikapunguza sifa ya kupata mikopo kirahisi, hivyo ameagiza viongozi kutafuta zaidi fedha za ndani ili kutekeleza miradi.
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza baada ya kuwaapisha Mawaziri wateule, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 18 Novemba, 2025.
Yaani huko anakokopa tayari wameona yaliyotokea sasa wanapata wasiwasi wa kutukopesha na Hilo ni shida sana nchi bila mkopo ni ngumu kuiendesha mfano marekani ni super power lakiniwanakopa madenk makubwa kwenye benki ya Dunia na Hilo Bado hata upande wa watalii watapungua sana kuja na hata wawekezaji wengi watakimbia na wengine hawatakujaMbona hanyooshi maelezo? Ni mambo gani hayo yametutia doa? Huyu ataropoka kila kitu siku sio nyingi
Miaka yake mitano itakuwa migumu sana na sijui kama itakwisha huwezi ukaendesha nchi kwa kutegemea Kodi na pesa za ndani nchi kama marekani ni super power lakiniwao wanakopa pesa nyingi kwenye benki ya DuniaNimesoma tu comment zenu
Mimi kauli imekata!
Pole sana ..tafuta sana hela utakufa mapemaNa bado mpaka akome na hivi Anaweka wakwe zake
Tulikuwa tunapata Nje, tunatumia ama tunaweka akiba? Sasa kama tulikuwa tuna weka akiba Kuna haja ya kutafuta au ni kurejea kwenye akiba na kutoa kisha kutumia!!! ? Wasiwasi wa nini? Tutoe tulipowekeza!!? Hivi kwa miaka bajeti ya mishahara na uendeshaji ilikuwa inategemea wafadhili? Wafadhili si walikuwa wanahusika na miradi mikubwa!!Au sielewi masuala haya nieleweshwe vizuritarehe
Wafazili walikuwa wanatoa mikopo mikubwa mimgi ilikuwa inaishia kwa Wala kamba kwa urefu kiasi kilikuws kinakwenda kwenye miradi sasa ripoti za cag huwa huzofatilii mkuu pesa nyingi zinapigwa na hakuna kinachofatiliwa sasa mikopo hio kama wafazili hawatatoa Wala keki ya taifa itakuwa ngumu na hakuna nchi Dunia ambayo haikopi kuiendesha miradi pesa ya kutegemea Kodi haiwezi kuiendesha nchiTulikuwa tunapata Nje, tunatumia ama tunaweka akiba? Sasa kama tulikuwa tuna weka akiba Kuna haja ya kutafuta au ni kurejea kwenye akiba na kutoa kisha kutumia!!! ? Wasiwasi wa nini? Tutoe tulipowekeza!!? Hivi kwa miaka bajeti ya mishahara na uendeshaji ilikuwa inategemea wafadhili? Wafadhili si walikuwa wanahusika na miradi mikubwa!!Au sielewi masuala haya nieleweshwe vizuri
Akiba ipi iliyowekwa Kuna magoli ya mama analipa pesa Kuna msanii anapanda jukwani dakika 5 analipwa million 700 Kuna watu walikuwa wanalipwa posho kwa kazi maalumu kwa siku million 200 hukumsikia majaliwa anahoji/Tulikuwa tunapata Nje, tunatumia ama tunaweka akiba? Sasa kama tulikuwa tuna weka akiba Kuna haja ya kutafuta au ni kurejea kwenye akiba na kutoa kisha kutumia!!! ? Wasiwasi wa nini? Tutoe tulipowekeza!!? Hivi kwa miaka bajeti ya mishahara na uendeshaji ilikuwa inategemea wafadhili? Wafadhili si walikuwa wanahusika na miradi mikubwa!!Au sielewi masuala haya nieleweshwe vizuri
Rasilimali gani, wakati mzanzibari amekwishauza karibia zote kwa waarabu? Ameuza bandari, ameuza mbuga za wanyama, ameuza hifadhi za misitu, ameuza mwendokasi, ameuza viwanja vya ndege, ameuza madini ya almas na makaa ya mawe kwa RA, nini kilichobakia?Tufungieni Mikanda wakuu, Hela za operations zinatakiwa zitoke ndani
Mambo yalikuwa yanaonekana marahisi kwasababu donors walikuwa wanamwaga tu Hela
Sasa tufungeni Mikanda au tuuze rasilimali zetu
Duh! Hakuna namna wazirudishe!u kwa siku million 200 hukumsikia majaliwa anahoji/