PostGE2025 Rais Samia: Yaliyotokea yametutia DOA tuna kazi ya kutafuta fedha wenyewe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Akiba ipi kama deni la taifa limefika trilion107 na Bado Kuna miradi mikubwa Bado haijaisha Bado Kuna magoli ya mama hapo hapo msaniianapanda jukwani dakika 5 analipwa million 700 hio akiba Iko wap
 
Hii Nchi bado ni tajiri wa rasilimali, We have abundant resources as a country
 
Wataongeza kodi, huu utawala wa kisultani hauwezi kupunguza matumizi ya anasa na ufujaji.
 
sahivi wanachuo wameambiwa ili usajioiwe inakubidi ulipie ada nusu aiseee kwamaana hiyo hela ya kutoa boom haitoshi daaah imasikitisha sana
Chuo gan hicho, au tamko limetoka lin mkuu
 
Na akileta kodi kandamizi kwa wananchi hiyo ndo itakua mbaya zaidi watu Wataingia mtaani wengi maadamano yatakua makubwa mno
Na ndio inavyotakiwa kuwa ,life inatakiwa kuwa horrible and unbearable mpaka ******* machoko machawa waone moto
 
Huyu fazafaka anasubiri nini kutuachia nchi yetu tuiweke kwenye mikono salama?
 
Mkuu, push hii agenda. Na akina Mange na Sativa na Maria Sarungi waipush
Inavyoonekana, huwenda watu wakaanza kuibiwa hela na serikal kwenye account zao
Huu ni uhaini na uhujumu uchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…