Rais shtuka! Soon utapigiwa kura ya kutokuwa na Imani na wewe. Spika ana-mobilize wabunge kwa kasi sana, kumbuka hakupendi

Rais shtuka! Soon utapigiwa kura ya kutokuwa na Imani na wewe. Spika ana-mobilize wabunge kwa kasi sana, kumbuka hakupendi

Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa Kasi sana na ndugui ndo engineer wa Hilo kwa kupitia wabunge na ameanda wachangiaji wa kukushtumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono
Mkuu utakuwa huwapendi hawa watu! Wasije wakarogwa kufanya ujinga huo, kama walishindwa kwa mwendazake mkuu, kwa huyu mama wasirogwe kabisa! Mama atawawahi hawatakaa wasahau na hivi wengi waliingia kwa mabavu mwendazake mkuu hawatarudi!
 
Uchonganishi, vijana Acheni fitina. Mlichopanga hakitakua abadan.
Kila karata mtakayocheza itabuma. Mmekua wachawi siku hizi. Na Mungu atawachapa na kuwasambaratisha kila mtu njia yake.
Hili kundi lipo ndani ya CCM na linaongozwa na wana CCM kuhujumu wana CCM wenzao kisa ukabila
 
Uko sahihi!

Kuna mtandao wa hatari wa kumhujumu mama. Wanajifanya watetezi wa Magufuli lakini wana ajenda yao nyuma ya pazia ya kuhujumu utawala wa mama.

Mama anatakiwa ashitukemapema,vinginevyo hiyo movement atashindwa kuidhibiti.
Hao watu ni wasaliti
 
Watu wanavyo ongea utadhani hiyo kura inapigwa na hapo hapo rais anaachia urais hahaaaaa

Wakasome katiba vizuri waone kama ni rahisi hivyo kutekeleza hilo

Mchakato wa hilo jambo unampa nafasi kubwa sana rais kufanya maamuzi yake kabla hata ya kupiga hiyo kura kwa hiyo hilo haliwezekani kabisaaaaaaa muwe na amani
Hilo ni kundi lililopo ndani ya CCM na linaratibiwa na viongozi kumhujumu mama yetu
 
Uko sahihi!

Kuna mtandao wa hatari wa kumhujumu mama. Wanajifanya watetezi wa Magufuli lakini wana ajenda yao nyuma ya pazia ya kuhujumu utawala wa mama.

Mama anatakiwa ashitukemapema,vinginevyo hiyo movement atashindwa kuidhibiti.

WAKIFANYA MCHEZO UCHAGUZI UNAWEZA KURUDIWA NA NDIO UTAKUWA MWISHO WA NDUGAI KWANI KULE KONGWA HAWAMTAKI KABISA!!
 
Alafu watu wazima na akili zao humu wanasoma na kuamini huu upuuzi...maana naona komenti za kijinga kabisa yaani mtu hajishughulishi kufikiri
 
Back
Top Bottom