Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Spika hafai kabsaHii mbaya sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Spika hafai kabsaHii mbaya sana.
PointHao wabunge hawanana ubavu huo wakifanya hivyo bunge litavunjwa na wote wanarudi kwenye uchaguzi na ningumu kupita vile wengi walibebwa na beleko.
Siyo rahisi kihivyo kumbuka watu wa system wapo macho muda woteSuppose wakamwahi mama kabla ya kulivunja! So atakuwa ametolewa kiulaini
Mkuu utakuwa huwapendi hawa watu! Wasije wakarogwa kufanya ujinga huo, kama walishindwa kwa mwendazake mkuu, kwa huyu mama wasirogwe kabisa! Mama atawawahi hawatakaa wasahau na hivi wengi waliingia kwa mabavu mwendazake mkuu hawatarudi!Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa Kasi sana na ndugui ndo engineer wa Hilo kwa kupitia wabunge na ameanda wachangiaji wa kukushtumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono
Ningumu kutokea kwa TanzaniaTanzania hii amirijeshi mkuu atolewe na bunge?
Unaota?
Ni hali hatarishi sanaNduguy achunguzwe kwa karibu huenda ikawa ameacha matumizi ya dozi!
Kabisa naamini hakutaharibika nenoMama tuko pamoja nawe
Naona unamtafuta Zitto Kabwe weweMsalimie muha mwenzako Dr. Philp.
Unamwambiaje akae kimya kwenye jukwaa huru?Tatizo huijui ccm, kaa kimya
Ewe Mola wetu Mtukufu, uliyeumba mbingu na nchi tuna nyanyuwa mikono yetu juu kukuelekea wewe kukuomba bunge hili livunjwe turudi kwenye uchaguzi ili tupate viongozi tunaoridhika nao.Hii ni hujuma, Kama ndivyo soon Bunge litavunjwa tuRejee kwenye uchaguzi.
Hakuna kitu Ndugai hataki kusikia kama uchaguziHao wabunge hawanana ubavu huo wakifanya hivyo bunge litavunjwa na wote wanarudi kwenye uchaguzi na ningumu kupita vile wengi walibebwa na beleko.
Hili kundi lipo ndani ya CCM na linaongozwa na wana CCM kuhujumu wana CCM wenzao kisa ukabilaUchonganishi, vijana Acheni fitina. Mlichopanga hakitakua abadan.
Kila karata mtakayocheza itabuma. Mmekua wachawi siku hizi. Na Mungu atawachapa na kuwasambaratisha kila mtu njia yake.
Hao watu ni wasalitiUko sahihi!
Kuna mtandao wa hatari wa kumhujumu mama. Wanajifanya watetezi wa Magufuli lakini wana ajenda yao nyuma ya pazia ya kuhujumu utawala wa mama.
Mama anatakiwa ashitukemapema,vinginevyo hiyo movement atashindwa kuidhibiti.
Kumbuka huyu hajapewa uenyekiti wa chama. Huwa ni ngumu akiwa na kofia mbili....ya chama na serikali.Tanzania hii amirijeshi mkuu atolewe na bunge?
Unaota?
Hilo ni kundi lililopo ndani ya CCM na linaratibiwa na viongozi kumhujumu mama yetuWatu wanavyo ongea utadhani hiyo kura inapigwa na hapo hapo rais anaachia urais hahaaaaa
Wakasome katiba vizuri waone kama ni rahisi hivyo kutekeleza hilo
Mchakato wa hilo jambo unampa nafasi kubwa sana rais kufanya maamuzi yake kabla hata ya kupiga hiyo kura kwa hiyo hilo haliwezekani kabisaaaaaaa muwe na amani
Uko sahihi!
Kuna mtandao wa hatari wa kumhujumu mama. Wanajifanya watetezi wa Magufuli lakini wana ajenda yao nyuma ya pazia ya kuhujumu utawala wa mama.
Mama anatakiwa ashitukemapema,vinginevyo hiyo movement atashindwa kuidhibiti.
Kwanza anajua kuwa hawezi kurudi bungeni bila kubebwaNdugai ni mweupen na muoga hana gats za kutupeleka kwenye uchaguzi.
Wammalizeuyo ndugai kama nikweli Tiss watakulanae sahani moja soon