Rais Tshisekedi siku zake zinahesabika

Nilivyoona Zimbabwe, Chad na Sudan zipo ndan ya list afu Tanzania haimo basi nimeona hii list imetengenezwa na wa congo wenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Halafu huyo Mzairwaa anasema Jeshi la Kongo linaiwezo kuliko Jeshi letu la JWTZ πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Wewe unaandika ugolo hapa,unajua vita vyq ndani vilivyo vigumu?,Boko haram wako wapi?,si wako Nigeria,Jeshi la Nigeria lilishawahi wanaliza Boko haram?,so unataka kusema Jeshi la Nigeria ni dhaifu?
 
Kwahiyo unataka kusema Serikali ya Kihutu imewaua Wahutu ili kuwamaliza Wahutu kwenye Mauaji ya Kimbari ya Wahutu?πŸ€ͺ
Rpf walidungua ndege ya rais,means walikuwepo Kigali,baada ya hapo kilichofuata baada ya hapo ni vurugu,na wenye silaha hawakuwa raia wahutu Bali waasi watusi,namba zinaongea ukweli
 
Halafu huyo Mzairwaa anasema Jeshi la Kongo linaiwezo kuliko Jeshi letu la JWTZ πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Afu eti jeshi lenye uwezo (Congo) likitaka kupigana na M23 linakuja kwanza kuomba msaada wa kijeshi kwa jeshi lisilokuwa na uwezo M23.

Vijana wa dalii kimoko wanachekesha sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe unaandika ugolo hapa,unajua vita vyq ndani vilivyo vigumu?,Boko haram wako wapi?,si wako Nigeria,Jeshi la Nigeria lilishawahi wanaliza Boko haram?,so unataka kusema Jeshi la Nigeria ni dhaifu?
Sasa hao hao M23 wanaosababisha vita ya ndani iwe ngumu, ndio watakaotumiwa kuwaangamiza wacheza chamukware mama pesa mbongo.
We fikiria mwanajeshi anaenda vitani huku amebeba mafuta yake ya mkorogo na memory card yenye nyimbo za fally pupa.
 
Wende uka Google alafu ulete liste apa tuone
Google siku hizi huwa haina fact za kweli. Hata wewe unaweza kujiandikia lolote huko google, afu watu ambao hawaelewi ulichoandika watachukulia taarifa uliyoandika kuwa ni ya kweli.
 
DEMOKRASIA KONGO TEGEMEZI LAKE KUBWA NI TZA..
Hapa umeongea ukweli. Ushindi wowote wa Congo kwenye vita utatokana na msaada wa jeshi la Tanzania. Ila wakienda wenyew kina papa lubunga na style yao ya bolingo, wallah watachanwa chanwa vibaya sana mpaka dunia ishangae.
 
Waende tu, na pia M23 wakikimbilia Rwanda inabidi Majeshi ya Kenya na Uganda yawafuate huko huko kwa baba yao anaewatuma..., vinginevyo ni kusukuma ukuta hewa
Majeshi ya Kenya na Uganda hayawezi kuvuka mpaka wa Rwanda kwa sababu hayakwenda kule kupigana na nchi ya Rwanda. Bali kuyakimbiza makundi ya waasi yaliopo Congo.

Ndo maana mwaka 2012 Tanzania na nchi nyingine zilipokwenda kupambana na makundi hayo, M23 na makundi mengine yalipokimbilia Rwanda na Uganda hawakuyafata.

Mkuu kwa uzoefu wako hapa JF sikutegemea kama ungeweza kuandika namna hii. Eti nchi hizo ziingine kwenye ardhi ya nchi nyingine kwa ajili ya kuwafuata waasi, hata sheria za kimataifa haziruhusu hili.

Rwanda kila siku inadai kuwa warundi wanawahifadhi waasi wa Rwanda katika ardhi yao, lkn haikuwahi hata siku 1 kutuma jeshi lake kuingia Burundi kuwasaka waasi hao. Halikadhalika na Burundi nayo inadai kuwa wanyarwanda wanawahifadhi watu waliotaka kupindua serikali yao mwaka 2015 lkn hata siku 1 Burundi haujawai kupelekea jeshi lake Rwanda kuwasaka waasi hao.

Sasa kama nchi husika ambazo zinapeana mpaka zinashindwa kuingiliana iweje nchi inayotoka huko mbali kama vile Kenya nk ziingize jeshi katika ardhi ya nchi nyingine bila ruhusa ya nchi husika?
 
Afu eti jeshi lenye uwezo (Congo) likitaka kupigana na M23 linakuja kwanza kuomba msaada wa kijeshi kwa jeshi lisilokuwa na uwezo M23.

Vijana wa dalii kimoko wanachekesha sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tena napenda Jeshi letu lisitangazwe tangazwe kwenye Internate ili Maadui watuUnderastimate ili tuweze kutoa dozi kwa ufasaha.
 
Na Tz tegemeo letu kubwa ni SA, hapo sasa
Watanzania tunaamini msemo usemao 'mtegemea cha ndugu hufa masikini'.
Wa SA walitutegemea kwenye ukombozi na tulipambana kuwakomboa. Ila sisi hatuwategei wao kwa lolote. Japo tunashirikiana katika maswala mengi ya kikanda kwa vile sisi wote ni SADC.
 
Tatizo la ndugu zetu wakongo ukiwaambia ukweli wanaona unawatukana.
Wao washazoea kudanganywa na kina papa mobimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…