zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Tuache kulaumu mabeberu Kila kitu mbona Zimbabwe walipoenda kumuokoa Kabila Mkubwa waliiba Dhahabu pamoja na majenerali wa Angola??Rwanda ni dalali tu wa kuina madini DRC kupitia M23. Wezi ni mabeberu na Uganda, DRC hawezi kupigana vita na Mabeberu
Pia hapo DRC tayari Kuna kampuni halali kabisa za mabeberu zinachimba madini Sasa why walete vita wakati mkataba wanao tayari?
Huwa sielewi hii dhana hata kidogo, hata Uganda tayari Total Energy Wana mkataba wa kuchimba mafuta ila juzi tu imetokea Ebola watu wanadai eti mabeberu wanataka kupora mafuta kupitia Ebola?? Yaani anaporaje kitu alichomilikishwa tayari??