Rais Uhuru Kenyatta: Nchi jirani zinahitaji siasa ambazo ushindani si uadui na vita

Kweli tuna hali mbaya, yaani tumefikia hatua ya kushauriwa na Kenya kuhusu Demokrasia na Utawala bora kweli??? CCM, CCM lawama zote hizi ni zenu.... Mungu anawaona!!!
Mr Uhuru is simply and clearly jealous of the fact that Tanzania is being covered internationally because it has conducted a largely peaceful, fair and credible election, while all we hear about his own country is just Covid-19 pandemic & corona virus and unending drama in the parliamnet and senate.

So, he is trying to fabricate a different picture peradventure he can divert & redirect our keen thoughts, and even score some cheap political popularity. No way, Mr Uhuru! The world demands solid answers for the disgraceful management of Covid-19 funds and the reckless bombings and harassments that your VP, Mr Rutto, is constantly going through. By the way, why is Sakaya Tuju disrepecting the VP and you do not seem to not second him nor care?
 
Mr Uhuru is simply and clearly jealous of the fact that Tanzania is being covered internationally because it has conducted a largely peaceful, fair and credible election
ha ha ha, Mkuu nakufananisha na yule Waziri wa Ulinzi wa Iraq enzi za vita vya Saddam Hussein..... kwa fix.
 
Kitu hicho. Madini hayo. You are the President. Magharibi utusitusi. Kusini-magharibi giza totoro! Karibuni Kenya itakuwa kisiwa cha amani chini ya jemedari Kenyatta.
 
Yes ,hujui,hutaki au huelewi ...media Kenya ipo vizuri Sana ,kuanzia Uhuru,weledi na ubora!
Wanna Uhuru, sijui weledi sijui Nini for whose interests?! Hizo media zinaandika Nini kuhusu elites wa Kenya wanaomiliki millions of acres of land while millions of Kenyans are languishing in poverty without a piece of land? Hizo media za Kenya zinaandika Nini kuhusu millions of shillings zinazoliwa na few elites kwa kisingizio Cha covud-19? Freedom of the media is not absolute...freedom of the media Haina maana ya kuandika Mambo ya uzushi dhidi ya serikali...
 
Kweli tuna hali mbaya, yaani tumefikia hatua ya kushauriwa na Kenya kuhusu Demokrasia na Utawala bora kweli??? CCM, CCM lawama zote hizi ni zenu.... Mungu anawaona!!!
Kenya haiwezi kushauri TZ kuhusu demokraeia kwa kuwa Kenya kwenyewe hakuna demokraeia and the media is not free...
 
Anza wewe na familia yako kuingia mitaani. Au Waite BBC na media yoyote ya Kenya watatangaza everything you vomit, they will never ask for evidence. Talk, talk, talk.
Siku yakikukuta ndipo utakuwa na akili na hautakuwa na wa kumlilia .Utabaki mwenyewe ukilaum utawala
 
Bonge la hutuba. Kweli kuna haja kwa leo hii kujifunza toka kwa wenzetu. Tulizoea kuwa walimu. lakini leo subirini tupewe darasa.

Ni salamu tosha kwa serikali ya Tanzania.
 
For their interest of course! What we are trying is to make a comparison between Dodoma and Nairobi as far as Freedom of speech is concerned !
And arguing in that context does not guarantee Kenya to be a paradize!
Hivi unafikiri Nini kilisababisha watu kuingia hofu na kuanza kusokomeza makaratasi"yaliyafanana na karatasi za kura kwenye masanduku na baadaye yakahesabiwa Kama kura!
Ni kukosekana kwa Uhuru...wa kutambuliwa na kuthaminiwa utu wa Ubinadamu!
 
Hata iweje huwezi kufanya comparison Kati ya TZ na Kenya na ukasema eti Kenya Kuna freedom of Speech kuliko TZ ...no way ..haliwezekani...Kenya is nation led by few elites wanaowakandamiza wananchi...kuhusu unachosema makaratasi yanayofanana na karatasi za kura, ni vizuri ujiulize hayo makaratasi walikuja nayo wapiga kura? Je waliambizana waende na makaratasi hayo? Je ni Nani alipiga picha ya wapiga kura wanaosokomeza makaratasi hayo? Hizo picha ni za uongo..ni fabrication..ni picha za kuengenezwa...kule kawe Kuna picha zilioneshwa vijana wanadai wanachoma kura fake...yaani baadala ya kupeleka polisi eti wao wanadai wanachoma..that was staged...Kuna Watz wa ajabu Sana na hasa wanaoitwa wapinzani baadhi yao ....wanafanya mambo ya ajabu na ya kutisha just to tarnish the image of our country..they are doomed to fail..
 
Siku yakikukuta ndipo utakuwa na akili na hautakuwa na wa kumlilia .Utabaki mwenyewe ukilaum utawala
Siwezi kulaumu uongozi wa nchi hi kwa masuala haya ya uchaguzi...binafsi nilikuwa sijawahi kupiga kura fo a number of years...but this time I voted...I did so because of Lissu ...I voted against Lissu ...
 
Siasa za Kenya kama huna Ngawira hupenyi popote, huku kwetu kuna wabunge hawana hata heka moja ya Shamba, sasa ni waheshimiwa na wanatunga Sheria.
 
Maneno ambayo Tanzania imekuwa ikiwaambia jirani zake....
Leo tunaambiwa sisi..

And it looks Ok!! Damnn..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…