Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mr Uhuru is simply and clearly jealous of the fact that Tanzania is being covered internationally because it has conducted a largely peaceful, fair and credible election, while all we hear about his own country is just Covid-19 pandemic & corona virus and unending drama in the parliamnet and senate.Kweli tuna hali mbaya, yaani tumefikia hatua ya kushauriwa na Kenya kuhusu Demokrasia na Utawala bora kweli??? CCM, CCM lawama zote hizi ni zenu.... Mungu anawaona!!!
ha ha ha, Mkuu nakufananisha na yule Waziri wa Ulinzi wa Iraq enzi za vita vya Saddam Hussein..... kwa fix.Mr Uhuru is simply and clearly jealous of the fact that Tanzania is being covered internationally because it has conducted a largely peaceful, fair and credible election
Tukubari tumetia aibu. Hakukuwa na uchaguzi
Maoni ya jirani yako una haki ya kuzingatia au kuyapuuza. Chaguo ni lako.
Yes ,hujui,hutaki au huelewi ...media Kenya ipo vizuri Sana ,kuanzia Uhuru,weledi na ubora!Ukweli gani?
Eti Kenya wanna uwazi wa habari duh. Watu mmekaririshwa na mkakubali.
Kitu hicho. Madini hayo. You are the President. Magharibi utusitusi. Kusini-magharibi giza totoro! Karibuni Kenya itakuwa kisiwa cha amani chini ya jemedari Kenyatta.Katika kile unachoweza kutafsiri kama ni Kenya kuguswa na siasa mpya za Tanzania, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesistiza ustahimilivu wa kisiasa hasa kwa nchi zilizoizunguka. Amesema uchaguzi unafaa kuleta utangamano wa nchi na siyo kinyume chake.
Amedai kuwa siyo siri nchi zinazoizunguka Kenya hazina utulivu mzuri wa kisiasa kama ilivyozoeleka. Amedai kuwa kukosekana kwa utulivu kwa jirani ni hatari kwa Kenya.
Huku akipigiwa makofi na wabunge Rais Kenyatta, amesisitiza kuwa wanasiasa wazee wasiwachokoze wanasiasa vijana badala yake wawalee kwa upendo.
=======
Katika hotuba yake Bungeni, Rais Kenyatta amesema:
Nchi nyingi jirani zetu leo zinahitaji kupeana mikono. Wanahitaji siasa ambazo ushindani haugeuki uadui na vita. Wanahitaji viongozi wa kisiasa waliolenga kujumuisha vijana na waliokata tamaa, bila kuwachochea kuasi dhidi ya nchi zao na wazee wao.
Tumejifunza kama Wakenya kwamba uchaguzi pekee hauwezi kuleta amani na umoja kwa watu waliogawanyika. Kwa hilo, viongozi lazima waafikiane na kuwa madaraja ya kuwavusha watu keuelekea kwenye usalama na ustawi.
------------
Many neighboring countries today need a handshake. They need politics in which competition is not turned into enmity and war. They need political leaders focused on including the young and desperate, not inciting them to revolt against their countries and their elders.
We have learned as Kenyans that elections alone cannot bring peace and unity to a divided people. For that, leaders must reach out to each other and build bridges over turbulent waters to allow the people to cross into safety and prosperity.
Wanna Uhuru, sijui weledi sijui Nini for whose interests?! Hizo media zinaandika Nini kuhusu elites wa Kenya wanaomiliki millions of acres of land while millions of Kenyans are languishing in poverty without a piece of land? Hizo media za Kenya zinaandika Nini kuhusu millions of shillings zinazoliwa na few elites kwa kisingizio Cha covud-19? Freedom of the media is not absolute...freedom of the media Haina maana ya kuandika Mambo ya uzushi dhidi ya serikali...Yes ,hujui,hutaki au huelewi ...media Kenya ipo vizuri Sana ,kuanzia Uhuru,weledi na ubora!
Kenya haiwezi kushauri TZ kuhusu demokraeia kwa kuwa Kenya kwenyewe hakuna demokraeia and the media is not free...Kweli tuna hali mbaya, yaani tumefikia hatua ya kushauriwa na Kenya kuhusu Demokrasia na Utawala bora kweli??? CCM, CCM lawama zote hizi ni zenu.... Mungu anawaona!!!
Siku yakikukuta ndipo utakuwa na akili na hautakuwa na wa kumlilia .Utabaki mwenyewe ukilaum utawalaAnza wewe na familia yako kuingia mitaani. Au Waite BBC na media yoyote ya Kenya watatangaza everything you vomit, they will never ask for evidence. Talk, talk, talk.
Bonge la hutuba. Kweli kuna haja kwa leo hii kujifunza toka kwa wenzetu. Tulizoea kuwa walimu. lakini leo subirini tupewe darasa.Katika kile unachoweza kutafsiri kama ni Kenya kuguswa na siasa mpya za Tanzania, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesistiza ustahimilivu wa kisiasa hasa kwa nchi zilizoizunguka. Amesema uchaguzi unafaa kuleta utangamano wa nchi na siyo kinyume chake.
Amedai kuwa siyo siri nchi zinazoizunguka Kenya hazina utulivu mzuri wa kisiasa kama ilivyozoeleka. Amedai kuwa kukosekana kwa utulivu kwa jirani ni hatari kwa Kenya.
Huku akipigiwa makofi na wabunge Rais Kenyatta, amesisitiza kuwa wanasiasa wazee wasiwachokoze wanasiasa vijana badala yake wawalee kwa upendo.
=======
Katika hotuba yake Bungeni, Rais Kenyatta amesema:
Nchi nyingi jirani zetu leo zinahitaji kupeana mikono. Wanahitaji siasa ambazo ushindani haugeuki uadui na vita. Wanahitaji viongozi wa kisiasa waliolenga kujumuisha vijana na waliokata tamaa, bila kuwachochea kuasi dhidi ya nchi zao na wazee wao.
Tumejifunza kama Wakenya kwamba uchaguzi pekee hauwezi kuleta amani na umoja kwa watu waliogawanyika. Kwa hilo, viongozi lazima waafikiane na kuwa madaraja ya kuwavusha watu keuelekea kwenye usalama na ustawi.
------------
Many neighboring countries today need a handshake. They need politics in which competition is not turned into enmity and war. They need political leaders focused on including the young and desperate, not inciting them to revolt against their countries and their elders.
We have learned as Kenyans that elections alone cannot bring peace and unity to a divided people. For that, leaders must reach out to each other and build bridges over turbulent waters to allow the people to cross into safety and prosperity.
For their interest of course! What we are trying is to make a comparison between Dodoma and Nairobi as far as Freedom of speech is concerned !Wanna Uhuru, sijui weledi sijui Nini for whose interests?! Hizo media zinaandika Nini kuhusu elites wa Kenya wanaomiliki millions of acres of land while millions of Kenyans are languishing in poverty without a piece of land? Hizo media za Kenya zinaandika Nini kuhusu millions of shillings zinazoliwa na few elites kwa kisingizio Cha covud-19? Freedom of the media is not absolute...freedom of the media Haina maana ya kuandika Mambo ya uzushi dhidi ya serikali...
Hata iweje huwezi kufanya comparison Kati ya TZ na Kenya na ukasema eti Kenya Kuna freedom of Speech kuliko TZ ...no way ..haliwezekani...Kenya is nation led by few elites wanaowakandamiza wananchi...kuhusu unachosema makaratasi yanayofanana na karatasi za kura, ni vizuri ujiulize hayo makaratasi walikuja nayo wapiga kura? Je waliambizana waende na makaratasi hayo? Je ni Nani alipiga picha ya wapiga kura wanaosokomeza makaratasi hayo? Hizo picha ni za uongo..ni fabrication..ni picha za kuengenezwa...kule kawe Kuna picha zilioneshwa vijana wanadai wanachoma kura fake...yaani baadala ya kupeleka polisi eti wao wanadai wanachoma..that was staged...Kuna Watz wa ajabu Sana na hasa wanaoitwa wapinzani baadhi yao ....wanafanya mambo ya ajabu na ya kutisha just to tarnish the image of our country..they are doomed to fail..For their interest of course! What we are trying is to make a comparison between Dodoma and Nairobi as far as Freedom of speech is concerned !
And arguing in that context does not guarantee Kenya to be a paradize!
Hivi unafikiri Nini kilisababisha watu kuingia hofu na kuanza kusokomeza makaratasi"yaliyafanana na karatasi za kura kwenye masanduku na baadaye yakahesabiwa Kama kura!
Ni kukosekana kwa Uhuru...wa kutambuliwa na kuthaminiwa utu wa Ubinadamu!
Siwezi kulaumu uongozi wa nchi hi kwa masuala haya ya uchaguzi...binafsi nilikuwa sijawahi kupiga kura fo a number of years...but this time I voted...I did so because of Lissu ...I voted against Lissu ...Siku yakikukuta ndipo utakuwa na akili na hautakuwa na wa kumlilia .Utabaki mwenyewe ukilaum utawala
nyookoHamia Kenya dogo achana na tz.
Jiwe lenyewe limetupwa kwa lugha ya Malkia, hilo jiwe haliwezi kueleweka mpaka livunjwe vunjwe liwe mchanga (kiswahili).Natumai jiwe limetupwa kwa jiwe.
Katika kile unachoweza kutafsiri kama ni Kenya kuguswa na siasa mpya za Tanzania, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesistiza ustahimilivu wa kisiasa hasa kwa nchi zilizoizunguka. Amesema uchaguzi unafaa kuleta utangamano wa nchi na siyo kinyume chake.