The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Kweli kabisa. Hii nchi toka Nyerere aondoke kila mtu anajifanyia lake.Tume huru itakuja siku tukichapana kwanza na dola. Kama ilivyokuwa Kenya. As far as kuna amani tume huru tusahau. Nyerere alikosea sana kutuacha bila katiba mpya.
Zanzibar wamekufa 13,Lissu alipigwa risasi zaidi ya 16 mchana kweupe makazi ya viongozi,wapinzani awamu hii wamekaa mahabusu sana kwa kesi zisizo na kichwa wala miguu,akina Nusrat Henje wanataabika mahabusu.Nani kawindwa?
I hope unaishi nje au chanzo chako cha fedha kipo nje ya Tanzania la sivyo utakuwa una akili mbovu kudhani vikwazo havitaadhiri maisha yako na ndugu zako.Subiri pigo la Jumuia ya Madola ( UN), EU na USA... nao useme the same!!
Kamwe unafiki haujawahi kumwacha mtu salama.Siasa zetu zemekua za kishamba sana, kura zilizoandaliwa kwaajili ya watu fulani zinapenyezwa kwenye sanduku la kura na tukihoji tunapewa kibano na vyombo vya dola.
Wameshavuka hayo na ndio maana sasa wanafanya siasa safi!Wakiona watu wanataka kutumbukia huko,wanatoa angalizo kwani wao wameyaishi hayo!Vipi ameongelea pia yale mauaji ya watu 1500 yaliyosababishwa na yeye ile 2007?
Kwa hiyo unaminya haki ya wengine kwa kigezo tu kwamba hata hivyo vikwazo vikija vitawaumiza na wao siyo!!I hope unaishi nje au chanzo chako cha fedha kipo nje ya Tanzania la sivyo utakuwa una akili mbovu kudhani vikwazo havitaadhiri maisha yako na ndugu zako.
Unaongea kishujaa Sana [emoji122][emoji122][emoji122]Kenya mmekomaa kisiasa. Sisi pia inabidi tuingie mtaani ndo viongozi watapata akili. Ila siku itafika tu ambayo wananchi wengi watasema sasa yatosha kuvumilia. Wenyewe wataingia mtaani.
Tatizo kuingia mtaani kwa sasa tumeshashindwa bado tunavumilia.Hivyo for the time being wabunge waende tu bungeni. Hii ya kuingia mtaani itakuja yenyewe pale Magufuli atakuwa katika mwaka wake wa 14 akitawala. Hata wana CCM wenyewe wengi watakuwa wamemchoka. Hapo ndo saa ya ukombozi wa kweli itatimia.
Unenikumbusha story moja ya kufukuzwa usumbwani na kukimbilia Chato ilikuwa ni tuhuma za uchawi.you are very Uhuru, ni hatari nchi kuongozwa na mtu aliyekulia kwenye mazingira ya ufukara na uchawi
Tumekosea sana kuchagua kutoka huko wale watu wana ukurutu usiosafishika.Unenikumbusha story moja ya kufukuzwa usumbwani na kukimbilia Chato ilikuwa ni tuhuma za uchawi.
Hapa Kenya tunasema Tanzania imekomaa kisiasa, sijui tumuamini yupi?Kenya mmekomaa kisiasa. Sisi pia inabidi tuingie mtaani ndo viongozi watapata akili. Ila siku itafika tu ambayo wananchi wengi watasema sasa yatosha kuvumilia. Wenyewe wataingia mtaani.
Michango ya kusema tumeshindwa kisayansi, huku tumeona vyombo vya dola vikisimamia kura za wizi na umwagaji damu? Labda wapinzani nao waingie msituni tayari kutafuta uongozi.Unapendeza tufanye nini katika hii hali mpya kisiasa?. Michango ya mawazo ni lazima katika hali kama hii kisiasa.
Wachangiaji Utopolo kama we were wakati huu hatakiwi. Sasa hivi tunazungumzia tukio ambalo lipo mbele yetu na lazima tukabiliane nalo. Suala la kuonewa halina maana tena, kama kuonewa tumekwisha kuonewa.Hiyo ni kweli kama ushindani huo ungefanyika kisiasa na sio kutumia vyombo vya dola. Ni sawa na Tyson ajisifie kuwa ni bonge la bondia kwa kumn'gata Evander Hollyfield! Na unathubutu kabisa kujisifia mbele ya wanaume kuwa umeshinda, halafu huwa unajiita msomi! Huwa sishangai Wazungu wakituita manyani, maana hakuna tofauti kati ya msomi na ambaye hajasoma.
Kenya hawana siasa zaidi ya ukabila na 2022 watauana. mark my words.
Una akili ndogo sana.Kwa hiyo unaminya haki ya wengine kwa kigezo tu kwamba hata hivyo vikwazo vikija vitawaumiza na wao siyo!!
Subiri mapigo yaja..!!
Magufuli will never seek for a third term But, atakakayeingia baada ya Magufuli atakuwa zaidi yake Mara 10...ombea uishi Hadi 2025 itakuwa ballaa nakwambia...nchi hii inahitaji a no nonsense leader. And I am also thinking Burundi will become part and parcel of Tanzania...watch out for the major changes and Dynamics of politics in this region of AfricaSasa hivi tunavumilia mwaka 2028 wenyewe tutaingia barabarani pale Magufuli atakuwa anamalizia muhula wa tatu kuingia wa nne. Hatutahitaji kina Mbowe wala Zitto.Wenyewe tutatoka.