Huu uzalendo gani wa kijinga mnaofundisha watu siku hizi?!Tatizo watanzania wengi wamekosa uzalendo wa nchi yetu. Naagalia watu wengi humu mnakoment kwa mhemko. Alafu mbaya zaidi vijana wengi humu hajawahi vuka Tanzania japo mkae nje ya tanzania angalau mwaka mmoja. Kifupi tanzania ni nchi yetu sote lazima tuilinde na kuitetea.
Huu uzalendo gani wa kijinga mnaofundisha watu siku hizi?!
Watanzania wenzenu wanalazimishwa kikimbia nchi yao kisa itikadi zao tofauti za kisiasa wewe unaita huo ndio uzalendo? wamepigwa risasi, wametekwa, wamebambikiwa kesi.
Huu ujinga sijui mmejifunza shule gani.
Uhuru nchi imemshinda inabidi asaidiwe na Raila Oginga. Rais mlevi chodo hajitambui. Hawezi kuja mbele ya hadhara akaongea kuhutubia ampaka anywe gongo za kizungu eti wisky. Gongo ni gongo tu.Kweli nchi ya Kistaarabu imebaki kwa eneo la Maziwa Makuu na Pembe ya Afrika imebaki Kenya tu, hili lijinga la hapa kwetu sijui lilitokea wapi
Acheni kupiga kelele zenu, siku zote jambo baya ni baya tu, haijalishi limefanywa na nani, wewe na wenzako mnaotetea huo ujinga mnaonesha mlivyo na akili ndogo.Mambo haya walianzisha Kambona na Abrahamani Babu, Nyerere hakuendekezaga na kuulea ujinga ujinga. Lissu na Lema ni nini kati ya Watanzania milioni 60 na ushee eti eti eti etiii ujinga wao ulelewe na kubemendwa kwa gharama ya Taifa zima?
Huyo wa kwenu asiekunywa chochote mbona anafanya mambo ya hovyo zaidi, huwezi kuweka rehani roho za unaowaongoza halafu unajiita ...wa wanyonge! maigizo ya kishamba kabisa.Uhuru nchi imeshinda inabidi asaidiwe na Raila Oginga. Rais mlevi chodo hajitambui. Hawezi kuja mbele ya hadhara akaongea kuhutubia ampaka anywe gongo za kizungu eti wisky. Gongo ni gongo tu.
Acheni kupiga kelele zenu, siku zote jambo baya ni baya tu, haijalishi limefanywa na nani, wewe na wenzako mnaotetea huo ujinga mnaonesha mlivyo na akili ndogo.
Kiongozi wa taifa anazidi kudharauliwa na wanaojitambua huko duniani.
Huyo wa kwenu asiekunywa chochote mbona anafanya mambo ya hovyo zaidi, huwezi kuweka rehani roho za unaowaongoza halafu unajiita ...wa wanyonge! maigizo ya kishamba kabisa.
Watanzania au mabegi meusi yaliyojaa kura zilizokuwa na tiki kwa jpm? hayo maigizo yenu ndio maana Kenyatta anawaona manyani.JPM anaheshimiwa na Watanzania walio muamini na kumpa kazi ya nchi atuongoze. Hahitaji kuheshimiwa huko nje. Heshima ya mashoga ina thamani gani?
Kumbe ww ni mjinga sana, hujui hiyo serikali yako inapokea misaada toka kwa hao hao mashoga, ataingizaje taifa zima kwenye ushoga?!Roho za wajinga wachache tangu zama za manabii na wafalme ziliwekwa Rehani ili kuponya Roho za walio wengi. Mtu ambaye yuko radhi aingize Taifa zima kwenye ushoga ili tu apate support ya kushinda uchaguzi unamteteaje kwa mfano?
Watanzania au mabegi meusi yaliyojaa kura zilizokuwa na tiki kwa jpm? hayo maigizo yenu ndio maana Kenyatta anawaona manyani.
Hili lipo lakini bado, yaonekana wengi bado hawajui haki zao kikatiba na hajafeel ile pinch ya pale kiongozi anapoamua kufanya yanayompendeza yeye huku wananchi wakiumia. Ipo sikuKenya mmekomaa kisiasa. Sisi pia inabidi tuingie mtaani ndo viongozi watapata akili. Ila siku itafika tu ambayo wananchi wengi watasema sasa yatosha kuvumilia. Wenyewe wataingia mtaani.
Tafadhali lugha, mimi sio mjinga mjinga, elewa hilo. Hakuna ninacho kitafuta mbali ya furaha, nina viwanda, finacial institutions,lead consultant, adviser and consultant of Betton wood institution ( World Bank, African development Group, European Development bank Group ) na ni muajiri wa wasomi zaidi ya 500. Ni Chairman wa Board kubwa zaidi ya tafu na mmoja ni ya Africa Nzima.
Tuzungumzie points muhimu za matatizo yetu chamani, never be personal. Ule uchangiaji wa kuanza na ujinga ujinga usilete kwangu, tuzungumzie matatizo ya uchaguzi na kitu gani cha kufanya kuweza mabadiliko.
Tafadhali lugha, mimi sio mjinga mjinga, elewa hilo. Hakuna ninacho kitafuta mbali ya furaha, nina viwanda, finacial institutions,lead consultant, adviser and consultant of Betton wood institution ( World Bank, African development Group, European Development bank Group ) na ni muajiri wa wasomi zaidi ya 500. Ni Chairman wa Board kubwa zaidi ya tafu na mmoja ni ya Africa Nzima.
Tuzungumzie points muhimu za matatizo yetu chamani, never be personal. Ule uchangiaji wa kuanza na ujinga ujinga usilete kwangu, tuzungumzie matatizo ya uchaguzi na kitu gani cha kufanya kuweza mabadiliko.
Lakini hawa utopolo wana ona ni sawa sawa kabisa.Sijui Tunaelekea Wapi?
Nakubaliana nawe, itafikia kipindi mbinu zote zitajulikana na hapo ndipo mtu atashikwa shati na kuvutwa nyuma.Yaliyokea kwenye uchaguzi uliopita 2020, ni matokeo ya kawaida tuu kisiasa. Kila tukio kisiasa ni somo katika elimu pana katika siasa. Na makubwa yanakuja.