Binti Sayuni Tz
Senior Member
- Nov 25, 2015
- 156
- 238
Tunasubiri 2022 si mbali tutawaona walivyokomaa si kuleta maneno. Kati ya Kenya na Tanzania kweli unasema Kenya imekomaa kisiasa, kukomaa ni kuwa na uvumilivu. Tanzania tumekomaa, siasa si swala kupewa kipaumbele kuliko amani na maendeleo.Kenya mmekomaa kisiasa. Sisi pia inabidi tuingie mtaani ndo viongozi watapata akili. Ila siku itafika tu ambayo wananchi wengi watasema sasa yatosha kuvumilia. Wenyewe wataingia mtaani.
Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app