Rais umewasikiliza wanaotaka katiba mpya! Je, sisi tusiotaka katiba mpya utatusikiliza lini? Tuna hoja!

Mjinga mwingine huyu hapa. Mabadiliko madogo sawa ila kubadili kabisa ni tatizo? Wapi pameandikwa lazima Katiba mpya itamke kuwa Wakuu wa Wilaya, Mikoa wawepo achilia huo hayo mawazo yako ya kipumbavu kuwa watapigiwa kura? Kuna muda tumieni akili zenu sio matope.
 

Idadi yenu vs wanaotaka katiba mpya ikoje
 
Mi niko na wewe. Sijaona shida ya katiba iliyopo zaidi ya shida ya wananchi wenyewe. Ni kupitia Katiba hii mimi wa Nakapanya naweza kwenda Ngara na kuoa, na kupewa Shamba bure na kulima na kufanya maisha na mtoto wangu akaamua kwenda kuishi chakechake peacefully. Nadhani kama nchi tatizo letu sio katiba bali malezi kuanzia ngazi ya familia, unless niambiwe katiba mpya itasaidiaje kuwafanya wahadzabe wasiishi naporini.
 
Watu wa hovyo hawataisha katika nchi hii! Mtoa mada mwenyewe ni zao la hii katiba mbovu si ajabu yuko hivi! Kinachotokea Kenya ni uhuru wa kidemokrasia! Huku kwetu kila kitu ni kwa ridhaa ya Rais hata kufanya mikutano ya hadhara mpaka rais aamue!
 
Idadi yenu vs wanaotaka katiba mpya ikoje
Tupo wengi sana. Hata kwa wanaotaka wengi wao ni kufuata mkumbo tu lakini hakuna hoja za msingi za kutaka katiba mpya zaidi ya madaraka ya Rais ambayo yanaweza kurekebishwa bila kuandika katiba mpya.
 
Hoja Yako ni nzuri

Naona unakhofia katiba mpya ikija utaukosa huo ideas,uDC au uRC
 
Watu wa hovyo hawataisha katika nchi hii! Mtoa mada mwenyewe ni zao la hii katiba mbovu si ajabu yuko hivi! Kinachotokea Kenya ni uhuru wa kidemokrasia! Huku kwetu kila kitu ni kwa ridhaa ya Rais hata kufanya mikutano ya hadhara mpaka rais aamue!
Afadhali umeliona hilo. Majitu yote ni mavi! katiba ndiyo inayompa Samia Umungu mtu, linasahau kuwa akiamua leo kuwa kesho ufe, linakufa. Kenye siyo kirahisi hivyo! Utashitakiwa. Majitu ya hovyo kabisa. Liko hapa na fake ID kwa vile linaogopa Umungu mtu wa Samia, vinginevyo unabwatuka hoja zako bila matusi na jina lako halisi and you are safe. Tunataka katiba ya hivyo!
 
Umeandika vizuri
Ila Galileo hakuuwawa Bali alikufa Kwa ugonjwa
 

Attachments

  • Screenshot_20230326-085617.png
    41 KB · Views: 1
Sio lazima tuwe na fikra Moja mtu anae waza tofauti na wewe sio mpumbavu .. mpumbavu ni yule anaedhani ni yeye TU ndie mwenye maoni sawa
Bora uwe na fikra tofauti za maana kwa ajili ya kujenga sio kama hizi zako za kijinga.
 
Nafaidika na utulivu uliopo na sijaona nitakachopata kwa katiba nyingine
Unadhani utaishi milele?.Nchi itaendelea kuwepo ata baada ya wewe kufa.unawaza utulivu wa leo unasahau ya kesho ambapo utakua haupo na watakaokua wanateseka ni wajukuu zako.
 
Katiba Ina mambo mengi Sana, tuache ubishi. Wewe unawaza siasa, lakini Kuna uchumi, maadili, muundo wa serikali, ushirikiano wa kimataifa, haki za binadamu, mahakama, bunge, Kodi, ulinzi na usalama nk. Usiwaze negative kila saa.
Nchi za kiafrika ujinga ni urithi wetu.Ndo kama hivyo jitu zima bado halijui umuhimu wa katiba bora.linafikiria usawa wa pua inapoishia.
 
Usiwasemee wananchi hivi wewe huoni Kama muundo tu wa serikali ni mkubwa mno na pesa nyingi zinapotea bila sababu ya msingi Kila kitu ni kuanzisha mikoa
 

Wazo lako ni sawa na wakulima wanataka kuwekewa mfumo wa Kunywesha mashamba yao wanakataa kwa kusema wasikilizwe kwani Mvua ya Mungu inatosha...
Ninachotaka kusema ni kuwa, rudi darasani au fanya utafiti kujua kwa nini watu wanataka katiba mpya; ukishapata hojazao; utanielewa ninachokisema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…