Rais, viongozi na watu wengine watakaoguswa na jambo hili naombeni msaada wa kupata passport

Una docs ulizofanya malipo
Na docs zako zingine vyeti vya kuzaliwa ama kiapo nk
 
Aseee kaka pole sanaa ....i feel unachopitia mzee baba na inatia hasira sanaa yan wanaopewa ma mlaka wakiamua jambo lao watalifany kwa ushirikiano sanaa na hayo mambo bado yapo na yanatokea sanaa ..usikate tamaa Mzee baba keep going japo n pesa na muda unaondk ila pambania mzeee ...lakn ukumbuke Oct usifanye makosa kweny maamuzi yako....
 
labda post pia kwenye page zao za mitandaoni, instagram, X(twitter) etc.

Ila kabla ya kufanya hivyo jirishishe na suala la uraia wako na wa wazazi wako... inawezekana kuna jambo halipo sawa ndo linawapa uchochoro wa kukupiga hela
 
Hii ndio raha ya serikali ya chama chetu hiki pendwa.
 
Sasa kwa sababu nilipata namba kule makao makuu Dodoma ilikuulizia nini kinaendelee .basi kila siku napigwa kalenda naambiwa inafanyiwa kazi nikiwatafuta wanipe status nini kinaendelea wanatupiana mpira Mara mtafute huyu Mara huyu kwahyo najikuta nina namba nyingi za watu hasa viongozi utazania Mimi ni usalama hivyo hali hii unanitesa sana hata kumpa mtu simu yangu akiangalia majina na akiona namba unakuta wanaogopa wakizania Mimi ni mtu wa system hivyo ingawa now sina ajira permanent lakini nimekosa sana kazi wakinishuku kwamba labda mm ni usalama. Ukweli Mimi ni kijana mdogo nina miaka 26 natamani kupambania ndoto hakika ni maumivu sana kuona taifa lako linakukana sababu ya rushwa .hivyo imepelekea ile scholarship kupita mda wake sababu sina passport.
 
Hautofundishwa kila kitu ila jifunze kuzitumia vizuri stationeries zilizopo karibu na ofisi za serikali.
 
Una docs ulizofanya malipo
Na docs zako zingine vyeti vya kuzaliwa ama kiapo nk
Zote zipo mkuu.tena ikabidi nijitasimini nione kama Mimi ndo tatizo ikabidi niende kimyakimya kuomba tena passport pale posta ili niangalie je documents zangu ndo shida au watu.basi nakumbuka posta pale nikifanya maombi nikamaliza nikapewa na talehe yakuchukua kwahyo nikaona tatizo siyo Mimi.lkn kwa kuwa nilishaomba hapo mwanzo majina yalikutana kwenye system ikabidi niitwe posta kuhojiwa why nimeomba Mara 2 nakumbuka afisa ambaye alinihoji alitoa machozi akaniambia nakuruhusu ondoka tu ila tuoandike barua hata rais akiiona atajua kuna jambo haliko sawa .hivyo akaniambia nirudi tena kurasini sababu ndo ombi limekwama kule
 
Kijana hauna ile kadi ya kijani yenye jembe na nyundo ....? Siku nyingine ukienda uamiaji tafuta zile nguo za kijani na ile kadi ya kuchambia yenye jembe na nyundo na tai ya bendera ya taifa kisha ukiingia ofisini mwao waambie unataka passport ndani ya siku 2... wakikuambia vyeti wewe toa tu kitambulisho cha ccm ...hapo badala ya wewe kudaiwa milioni 1 wewe ndiyo utaletewa na chai na mandazi tena kwa pesa zao mifukono hata ukiwa na mafua watakununulia resso kwa pesa zao.....bora ungeenda kwa mtu wa ccm kutafuta hiyo passport ...ndani ya ccm hata wasiokuwa raia wanapassport .....
 
Unavyo vyote kweli je KADI YA CCM NA MAGWANDA YA KIJANI NA CHUPI YA CCM NA TAI YA BENDERA YA TAIFA UNAVYO ?....
 
Watu wa kigoma wanataby sana kupata ganda ukituliwa mashaka tu kazi unayo pia dogo umefanya issue yako kuwa ngumu zaid namba ya nida ya mama na baba huna kwani? Kama huna issue inakuwa ngumu zaid pia iyo 1ml waliropoka tu we ungewashusha maana unashida wangegoma ndo ungeenda mbele
 
Kama hauna hivyo basi faini yake ndiyo hiyo milioni 1 wanayo kudai😁 kama na hiyo hauna mtafute JOKETI AU MAREHEMU WASIRA HARAKA SANA.
Nimemtafuta hadi comred kawaida kwenye kiti wa uvccm taifa lakini bado wako kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…