DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Sawa mkuu haina tatizo..Naomba unisamehe mkuu mimi niliandika kabla yakutagazwa kwa taarifa ya kifo.niliandika pale ilipotolewa taarifa kuwa Mh Rais ataongea usiku huu.hata hivyo baada ya taarifa nimerekebisha haraka sana andiko langu na kufuta hilo la awali.
Umeonyesha uungwana sana kuomba msamaha Mimi ni nani hata nisikusamehe..
Lucas mwashambwa