TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia
Rest in Eternal Peace Mzee wa Ruksa

Wakati wako:
  • Tulipata uwezo wa kununua nguo madukani
  • Tukaacha kuvaa Bora shoes, na kuanza kuvaa mocassin shoes
  • Tukafunguliwa vituo vya TV na magazeti kedekede
  • Kula wali haikuwa anasa tena
  • Kila mtanzania aliruhusiwa kwenda kuzurura au kujitafutia riziki popote anapotaka, tukapata Mtaa wa Congo na Wamachinga ambao ndio chimbuko la Enterprenuership nchini.
  • Daladala zikaruhusiwa kupunguza adha ya usafiri, miaka ya tisini kuliwa hakuna nyomi vituoni.
 
Pole kwa wote waliofikwa na msiba
Hakika siku za mwanadamu si nyingi Ayubu/JOB 14:1-2 ni vyema
tuishi maisha ya kumpendeza MUNGU
Huyu kala bonus za kutosha, miaka mingi kapata tabu sana. Hata Mungu amesema kuishi miaka hiyo ni taabu.
 
Kafa tarehe 29 mwezi wa pili hii ina maana kumbukumbu ya kifo chake itakuwa kila baada ya miaka 4

Pumzika kwa amani mzee mwinyi
 
Back
Top Bottom