TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia
Pumzika Mzee wetu msalimie Julius mwambie Manya"au yamezidi kututafuna ila dawa ya kuyatimuwa imekaribia...
 
Naomba unisamehe na wote mnisamehe sanaa .niliandika kabla yakutagazwa kwa kifo cha mzee wetu.ndio maana nimerudi kurekebisha haraka sana baada ya kupata taarifa za huzuni kwa Taifa letu juu ya msiba wa mzee wetu.naomba mnisamehe sana
Wekapo basi kwenye hii comment namba yako simu.
 
Back
Top Bottom