Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Msechu na Mpoto najua usiku huu au kesho asubuhi kabla ya saa sita mchana watakuwa tayari wameshatoa nyimbo zao walizo rekodi.
Apumzike panapo stahili.
Apumzike panapo stahili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kumuona Mwinyi uso Kwa uso Wala kuishi awamu yake sawa na Mwalimu so namtakia mapumziko memaView attachment 2920520
Rais mstaafu wa awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amefariki leo, Februari 29, 2024 saa 11:30 Jioni katika hospitali ya Mzena, Dar es Salaam alipokuwa anapatiwa matibabu ya ugonjwa wa Saratani ya Mapafu.
Tangu Novemba 2023, alikuwa anapatiwa matibabu huko London, Uingereza na baadaye kurejeshwa nchini kuendelea na Matibabu katika hospitali ya Mzena hadi leo ambapo amepatwa na mauti.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza siku 7 za maombolezo ambapo kuanzia Machi 1, 2024, bendera zitapepea nusu mlingoti.
Atazikwa Machi 2, 2024 Unguja, Zanzibar.
View attachment 2920484
Taarifa za kuugua kwake, soma: Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi alazwa kwa maradhi ya kifua
Waislamu hadi raha hawataki mambo mengi.
Natamani nikifa nizikwe mapema kuliko kuchoshwa
Uchawa huwa ni stage za mwisho kuwa shoga yaan hili jamaa sijui nani amwambie mama hapendi unafiki wskeMkuu mbona unaandika mambo yasiohusiana na thread
Uzi unaongelea msiba wa Rais Mstaafu Mwinyi,Wewe unaongelea habari za Samia
Are u mentally ok?
Kuna wakati kama huna cha kuongea ni heri ukanywa maji na kulala
Kuna maswali mtu unataka kuuliza, lakini unaamua kukaa kimya. Sijui kama kuna mtu ana ka clip ka Mzee Makamba kale ka kuhusu "Watu Wazuri! RIP Mzee wetu!!!View attachment 2920520
Rais mstaafu wa awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amefariki leo, Februari 29, 2024 saa 11:30 Jioni katika hospitali ya Mzena, Dar es Salaam alipokuwa anapatiwa matibabu ya ugonjwa wa Saratani ya Mapafu.
Tangu Novemba 2023, alikuwa anapatiwa matibabu huko London, Uingereza na baadaye kurejeshwa nchini kuendelea na Matibabu katika hospitali ya Mzena hadi leo ambapo amepatwa na mauti.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza siku 7 za maombolezo ambapo kuanzia Machi 1, 2024, bendera zitapepea nusu mlingoti.
Atazikwa Machi 2, 2024 Unguja, Zanzibar.
View attachment 2920484
Taarifa za kuugua kwake, soma: Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi alazwa kwa maradhi ya kifua
Ni tatizo huyu mwehukwahio nahuu msiba mama ndio kasababisha?
Nimeshangaa pia aiseeeDirector wa Video.ya Rais Alaaniwe kwanini ameachip.footage ambazo haziruhusiwi kuingia mtaani..
View attachment 2920521
View attachment 2920522
Mkuu pia genes, genetics hereditary. Kuna watu wameumbwa na Gene's nzuri hususan hawa watu wa pwani.Mzee yule alkua fiti sn,
mwaka juz nmepiga nae marathon[emoji4]
Mgao wa Umeme Friji linaweza kuzima ikawa ni mtafutano.At last wametangaza
Apumzike kwa Amani Mpendwa wetu Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi. AmenView attachment 2920520
Rais mstaafu wa awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amefariki leo, Februari 29, 2024 saa 11:30 Jioni katika hospitali ya Mzena, Dar es Salaam alipokuwa anapatiwa matibabu ya ugonjwa wa Saratani ya Mapafu.
Tangu Novemba 2023, alikuwa anapatiwa matibabu huko London, Uingereza na baadaye kurejeshwa nchini kuendelea na Matibabu katika hospitali ya Mzena hadi leo ambapo amepatwa na mauti.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza siku 7 za maombolezo ambapo kuanzia Machi 1, 2024, bendera zitapepea nusu mlingoti.
Atazikwa Machi 2, 2024 Unguja, Zanzibar.
View attachment 2920484
Taarifa za kuugua kwake, soma: Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi alazwa kwa maradhi ya kifua
Anaenda kubaki peke yake naona Mshauri atafanwa Makonda au nimekosea?Nchi inazazidi kuondokewa na washauri.