Naomba unisamehe mkuu mimi niliandika kabla yakutagazwa kwa taarifa ya kifo.niliandika pale ilipotolewa taarifa kuwa Mh Rais ataongea usiku huu.hata hivyo baada ya taarifa nimerekebisha haraka sana andiko langu na kufuta hilo la awali.
Sawa mkuu haina tatizo..
Umeonyesha uungwana sana kuomba msamaha Mimi ni nani hata nisikusamehe..
Lucas mwashambwa
 
Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. Tunalo tumaini la kuonana na wapendwa wetu waliolala mavumbini Kristo arudipo

Pole kwa familia ndugu jamaa na marafiki na Taifa kwa ujumla kwa msiba huu mzito Bwana atufariji
 
Pumbavu wewe Mshenzi wewe na mwanga jamii forums sio kanisani mbwa wewe nyoko usitake nikuporomoshee matusi ya nguoni mbwa wewe
 
Pole sana Hussein Mwinyi, pole sana wanafamilia wote.

Tumshukuru Mungu kwa maisha ya mzee wetu Ali Hassan Mwinyi. Mungu wa huruma, kwa huruma yake, tunaomba amjalie pumziko jema mzee wetu Mwinyi.
 
Nilimwahi muuliza mzee wangu " umekuwepo tangu enzi za uhuru Hadi Sasa 2020,Nani umemkubali Sana Sera zake,uongozi wake?? Bila kupepesa macho Wala kuuma maneno akasema MZEE RUKSA ...RIP Mzee ruksa
Yuko Kama Babu yangu,
Alimwelewa sn mzee ruksa,

Alikua hampendi kbs mwalimu mpk anafariki, anamlaumu kuwaondolea mkoloni,

Anadai maisha awamu ya mwalimu yalikua magumu kuliko ata alivokuepo mkoloni[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…