Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Nisamehe mkuu niliandika kabla na hata hivyo nimeshabadilisha haraka sanaMkuu mbona unaandika mambo yasiohusiana na thread
Uzi unaongelea msiba wa Rais Mstaafu Mwinyi,Wewe unaongelea habari za Samia
Are u mentally ok?
Kuna wakati kama huna cha kuongea ni heri ukanywa maji na kulala
Matrako yako yani nirudi kuangalia ujinga wako.Samahani Niliandika kabla ya kutangazwa kwa kifo cha mzee wenu na tayari nimeshabadilisha. Rudi ukaangalie post yangu
Kiembembuzi na viunga vyakeHapatakalika narudia tena hapatakalika
Anazikwa tar 2, ni serikali mkuuSahihi
😇😇😇😇Apumzike sasa, maisha aliyoishi nadhani ni zaidi ya alivyotegemea.
Om shanti shanti shantiPunzika mzee mwinyi. Innallillah waynnaillayh rajiuun
Who is nextMSIBA MZITO Kwa Taifa.
Rais Mstaafu wa JMT.
Baba mzazi wa M.Kiti wa Baraza la Mapinduzi.
Mkuu wa chuo bora cha Afya Tanzania (Muhimbili).
View attachment 2920492
Hii picha ili trend kipindi cha msiba wa Rais John Pombe.
At last wametangazaRais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia akiwa na umri wa miaka 98.
Taarifa hii imetolewa usiku huu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
View attachment 2920484
Rip Mzee Ruksa...Rais Mstaafu wa awamu ya pili, ALI HASSAN MWINYI AMEFARIKI DUNIA.
Yule sio tu muislam, ni rais mstaafu so Protokali pale ni za kinchi sio za msikitiDuh !
Sheria za dini haziruhusu kuchelewesha kuzikwa mwislamu kama ameshafariki. !!