TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia
IMG-20240229-WA0069.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mpaka nimeona aibu. Huna uchungu hata na msiba wa mzee Mwinyi ? Umemsifiaa samia mwanzo mwisho bila hata kumkumbuka marehemu kwa mazuri yake. Kweli pepo ngumu machawa mna kazi.
Samahani mkuu.mimi niliandika kabla ya kutangazwa kwa kifo cha mzee wetu aliyetangulia mbele za haki.nisamehe na tayari nimeshabadilisha haraka sana
 
Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia akiwa na umri wa miaka 98.

Taarifa hii imetolewa usiku huu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.

View attachment 2920484
Baada angeliondoka Kikwete anaondoka Mzee Mwinyi maana Kikwete ndiye chanzo cha matatizo tunayoyapitia Sasahivi,ila basi tu kazi ya Mungu aina makosa.Rip Mzee Mwinyi umekula mema ya nchi.
 
Kiukweli Demokrasia ya Vyama Vingi ilijengwa na Mzee Mwinyi japo baadae waliomfatia waliichakachua

Hapa Iringa tulipata Mbunge wa NCCR mageuzi Mwalimu wangu Kibasa

Wewe utamkumbuka kwa lipi?

Mungu wa mbinguni mrehemu Mzee Mwinyi
Nitamkumbuka kwa kusema Jiwe atawale milele
 
Back
Top Bottom