Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
R.I.P Ali Hassan Mwinyi.Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia akiwa na umri wa miaka 98.
Taarifa hii imetolewa usiku huu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
View attachment 2920484
Mwendo umeumaliza, pumzika kwa Amani Baba Rais mstaafu.