Kwanini Marekan wasiifute kabisa hiyo Gaza, kwani kubwa kiasi gani ili ili jambo lifike mahali liishe. Kobazi ukimuacha hata mmoja watazaliana tena na kuja kusumbua. Dawa ni kufuta woteMarekani ,Israeli na washirika wake wanaona sawa watoto na wanawake wasiokua na silaha kuuwawa na wanamchukia yeyote anaepinga mauaji yao zaidi ya watoto 70,000 wameuliwa na Israeli, bado haitoshi wanezuia misaada ya chakula na dawa kuingia ,wanaua waandishi wa habari ili dunia isione uovu wao.
Yeyote anaeyefurahia haya ni muuaji ambaye hajapata nafasi kuishika silaha
RabaikaView attachment 3480217
Rais wa Colombia, Gustavo Petro, amekosoa vikali Marekani baada ya kufutiwa viza kwa sababu ya msimamo wake dhidi ya vita vya Gaza.
Gustavo alionekana mjini Newyork akiungana na waandamaji kupinga mauaji yanayofanywa na Israeli ,Pia amenukuliwa akikosoa Marekani na Israeli kwenye ushirika wao wa vita vya gaza.
"There is no superior race.. There is no ‘chosen people of God. It is neither the United States nor Israel. The ‘chosen people of God’ is all of humanity.” ~Petro
Pia amezitaka inchi ziungane zitengeneze jeshi kubwa ikarudishe amani gaza, Baada ya kauli hizo Marekani ikamfutia visa yake, Gustavo akasema kufuatia hilo:
“Kuomba Marekani na Israeli wasisaidie mauaji ya halaiki ambayo ni uhalifu dhidi ya ubinadamu sio kosa. Ni wajibu wa kimaadili.”
“Kuna kinga kamili kwa marais wanaohudhuria Baraza Kuu la UN. Serikali ya Marekani haiwezi kuweka masharti juu ya maoni ya viongozi wa dunia.”~Petro
Pia Petro amekosoa Marekani kuinyima ruhusa Palestina kushiriki kwenye mkutano huo. Amesema kuwa kitendo cha Mamlaka ya Palestina kunyimwa ruhusa ya kuingia, na yeye kufutiwa viza, ni uthibitisho kwamba Marekani haitii tena sheria za kimataifa.
Marekani inatumia vibaya wenyeji wake kudhibiti nani anaingia au na useme nini, Petro anasema makao makuu ya Umoja wa Mataifa hayapaswi tena kubaki New York bali yahamishwe kwenye nchi isiyo na upendeleo wa kisiasa.
Wengi wanasuport ni Wakristo na sababu kubwa zinawasukuma na mbili (naandika thread kuhusu hilo )M nawashangaa humu wanosupport mauaji GAZA kwa kweli hya mambo yanaumiza sanàaa kuona binadamu wenzako wakiuliwa kama siafu waloingia mitaani
Kwanini Marekan wasiifute kabisa hiyo Gaza, kwani kubwa kiasi gani ili ili jambo lifike mahali liishe. Kobazi ukimuacha hata mmoja watazaliana tena na kuja kusumbua. Dawa ni kufuta wote
Historia ya nchi haiondoi thamani ya hoja ya haki za kibinadamu hali ya kiuchimi ,kisiasa ya Colombia au taifa lolote, haihusiani na kukemea kuangamizwa kwa raia na kuzuia misaada ya kibinadamu.Colombia hii hii iliyokaliwa na wauzaji sugu wa madawa ya kulevya enzi hizo, leo hii wamekuwa malaika!.
Hata iweje siwezi kumkemea Benja Nyau ni ndugu yangu utanisamehe kwa hilo.Historia ya nchi haiondoi thamani ya hoja ya haki za kibinadamu hali ya kiuchimi ,kisiasa ya Colombia au taifa lolote, haihusiani na kukemea kuangamizwa kwa raia na kuzuia misaada ya kibinadamu.
Kemea maovu haijalishi hali yako
Hata iweje siwezi kumkemea Benja Nyau ni ndugu yangu utanisamehe kwa hilo.
Nafikiri tuyaache hayo sis wenyewe tunamajanga yetu nchini, kuhusu undugu na Benja Nyau ni ukoo mmoja katika tabia...Hakuna anayemlazimisha kukemea kama ameshindwa kuona uovu basi hakuna atakae weza kukuonyesha ni juu yako na mtazamo wako, lakini hakibadilishi kitu kwa kinachotokea gaza ,na inchi zote zikiwemo za Kikristo haziwezi zote kuwa makosani kama unavyotuona sisi tunakosea kumkemea mauaji,
Lakini uovu unabaki kuwa uovu bila kujali kafanya ndugu yako
Na labda utumbie huo undugu wenu na Netanyahu unatokana na nini?
Wafute hapa Tanzania pia ili wabakie Vipedo watupu basi.Kwanini Marekan wasiifute kabisa hiyo Gaza, kwani kubwa kiasi gani ili ili jambo lifike mahali liishe. Kobazi ukimuacha hata mmoja watazaliana tena na kuja kusumbua. Dawa ni kufuta wote
Sisi sote tumetokana na Adam je unamsapoti kuuwa wasio husikaHata iweje siwezi kumkemea Benja Nyau ni ndugu yangu utanisamehe kwa hilo.
😁😁Hivi unajiona upo Sayari gani tofauti nasisi au huko hakuna Oksijeni.Makao makuu ya Umoja wa Mataifa yalitakuwa kuwa kwenye kisiwa kinachoendeshwa na Umoja wa mataifa.
Hawa marais wanavyokuja New York City hata wakazi wa New York City hatupendi kwa sababu wana haribu traffic sana.
Hii ni inferiority complex yako tu.😁😁Hivi unajiona upo Sayari gani tofauti nasisi au huko hakuna Oksijeni.
🤣🤣 Usijali Mkuu nilikuwa najifariji tu pia na kukumbusha usisahau nyumbani usichulie siliaz sana hatahivyo na kupongeza kwa kutumia jukwaa hili la JfHii ni inferiority complex yako tu.
New York City iko sayari hii hii ni wewe tu na fikra zako za kichawi mtu akisema fact ya kawaida tu unajisikia kama umetukanwa.
Yani mtu kusema yupo New York City tu hapa ushaona issue?
Una matatizo gani wewe?
Tuma Salamu kwa watu watatu kutokea NewyorkMakao makuu ya Umoja wa Mataifa yalitakuwa kuwa kwenye kisiwa kinachoendeshwa na Umoja wa mataifa.
Hawa marais wanavyokuja New York City hata wakazi wa New York City hatupendi kwa sababu wana haribu traffic sana.
Una hasira na maisha. Punguza hasira.🤣🤣 Usijali Mkuu nilikuwa najifariji tu pia na kukumbusha usisahau nyumbani usichulie siliaz sana hatahivyo na kupongeza kwa kutumia jukwaa hili la Jf
Kwa sasa hao washaujua huo ujanja wa kuitetea Gaza ili kuonekana msafi kimataifa.Colombia hii hii iliyokaliwa na wauzaji sugu wa madawa ya kulevya enzi hizo, leo hii wamekuwa malaika!.